Laahh, siku 90 naona nyingi sana. Ingebidi awe tayari nje ya ofisi ili wengine wajue namna ya kuzitumia ofisi. Aliongea kwa kujiamini na kwa hasira sana kwamba polisi wana ushahidi wa uhakika. Hadi leo hajatuonesha huo ushahidi. Pamoja na kudanganywa na Kingai na kundi lake, nadhani huyu Sirro alikua na chuki binafsi na Mbowe.Kuanzia ss hana cku 90 ofcn read my lips!
Aliyefuta kesi NI DPP AU SAMIA?
Ulitegemea nini kisemwe baada ya ile interview ya BBC? Angalau kuhifadhi kiasi kuliko kuacha hali ibaki vile. Unafikiri kwa nini mara tu baada ya Mbowe kutoka gerezani alipelekwa Ikulu? Hao makomandoo unaosema haikua sahihi kupewa kazi ya ulinzi na Mbowe, sasahivi wako wapi?HAKUNA ushahidi wa kumtia hatiani?
Kumbe wewe akili huna.
Alipoambiwa ana kesi ya kujibu maana yake Nini?
So nini kinafuata?Taarifa ya Kamati ya uchunguzi wa matukio ya mauaji yanayodaiwa kufanywa na baadhi ya askari mkoani Mtwara inadaiwa kubaini Jeshi la polisi lilishindwa kuteleza wajibu wake wa kulinda usalama wa Raia na mali zake badala yake likageuka kumpora fedha mfanyabiashara wa madini.
Pia soma
- Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7 (25/01/2022)
Reforms reforms reforms and Sirro must goPolice force should be reformed Tobe police service
Kama wangeachwa waanze kutoa utetezi, ndipo ungeona aibu kubwa ingewapata walioaminishwa kwamba kuna ugaidi. Hii ya DPP kuiondoa kesi ilishafikiwa, lakini ilibidi kuliweka kwanza hivyo lilivyowekwa kwamba "kuna kesi ya kujibu"Sasa wewe una uhakika gani mbowe hana HATIA?
Wakati mahakama haijatoa hukumu?
Kama wewe umesoma ni FURUSHI
DPP.Aliyefuta kesi NI DPP AU SAMIA?
Ile commital(kukutwa na kosa la kujibu) unadhani ilikuja kwa ndondokela.Laahh, siku 90 naona nyingi sana. Ingebidi awe tayari nje ya ofisi ili wengine wajue namna ya kuzitumia ofisi. Aliongea kwa kujiamini na kwa hasira sana kwamba polisi wana ushahidi wa uhakika. Hadi leo hajatuonesha huo ushahidi. Pamoja na kudanganywa na Kingai na kundi lake, nadhani huyu Sirro alikua na chuki binafsi na Mbowe.
Ulitegemea nini kisemwe baada ya ile interview ya BBC? Angalau kuhifadhi kiasi kuliko kuacha hali ibaki vile. Unafikiri kwa nini mara tu baada ya Mbowe kutoka gerezani alipelekwa Ikulu? Hao makomandoo unaosema haikua sahihi kupewa kazi ya ulinzi na Mbowe, sasahivi wako wapi?
Ndugu, ficha aibu yako.
Kama wangeachwa waanze kutoa utetezi, ndipo ungeona aibu kubwa ingewapata walioaminishwa kwamba kuna ugaidi. Hii ya DPP kuiondoa kesi ilishafikiwa, lakini ilibidi kuliweka kwanza hivyo lilivyowekwa kwamba "kuna kesi ya kujibu"
Huoni hiyo "kuna kesi ya kujibu" inakupa nafuu hata wewe unayetumia ID fake!? Ulitegemea nini kwa watu wakubwa tunaowafahamu?
Hatari sana jamani sasa tutakimbilia wapi?Taarifa ya Kamati ya uchunguzi wa matukio ya mauaji yanayodaiwa kufanywa na baadhi ya askari mkoani Mtwara inadaiwa kubaini Jeshi la polisi lilishindwa kuteleza wajibu wake wa kulinda usalama wa Raia na mali zake badala yake likageuka kumpora fedha mfanyabiashara wa madini.
Pia soma
- Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7 (25/01/2022)
Ofisi ya rpc mtwara yote iwajibishwe kwa wale wenye maamuzi.Hatua zichukuliwe kwa waliohusika na waliufumbia macho Hilo swala.
Nashauri,
Waanze na kule top layer kushuka huku chini[emoji4]
Mwacheni jamani babu astaafu kwa amaniSiro ana subiri nini ofisini?
Muulize DPP kwa nini aliamua kufuta kesi kabla utetezi hawajaanza kutoa utetezi wao.Na ingekuwa busara sana Kama kesi ingeachwa ili tujue UKWELI.
unapata wapi nguvu ya kusema mbowe hakuwa na hatia wakati mahakama haijatoa hukumu?
Hapakuwa na sababu ya kupoteza raslimali kuunda kamati maana ukweli ulikuwa wazi tangia mwanzo.Taarifa ya Kamati ya uchunguzi wa matukio ya mauaji yanayodaiwa kufanywa na baadhi ya askari mkoani Mtwara inadaiwa kubaini Jeshi la polisi lilishindwa kuteleza wajibu wake wa kulinda usalama wa Raia na mali zake badala yake likageuka kumpora fedha mfanyabiashara wa madini.
Pia soma
- Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7 (25/01/2022)