Ng'wale
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 4,690
- 3,399
Laahh, siku 90 naona nyingi sana. Ingebidi awe tayari nje ya ofisi ili wengine wajue namna ya kuzitumia ofisi. Aliongea kwa kujiamini na kwa hasira sana kwamba polisi wana ushahidi wa uhakika. Hadi leo hajatuonesha huo ushahidi. Pamoja na kudanganywa na Kingai na kundi lake, nadhani huyu Sirro alikua na chuki binafsi na Mbowe.Kuanzia ss hana cku 90 ofcn read my lips!