Mtwara: Kamati ya Uchunguzi matukio ya mauaji yadai kubaini Polisi walimpora fedha mfanyabiashara wa madini

Kuanzia ss hana cku 90 ofcn read my lips!
Laahh, siku 90 naona nyingi sana. Ingebidi awe tayari nje ya ofisi ili wengine wajue namna ya kuzitumia ofisi. Aliongea kwa kujiamini na kwa hasira sana kwamba polisi wana ushahidi wa uhakika. Hadi leo hajatuonesha huo ushahidi. Pamoja na kudanganywa na Kingai na kundi lake, nadhani huyu Sirro alikua na chuki binafsi na Mbowe.
 
Nilijua kuwa najadiliana na mjinga anayeweza kuelimika kumbe kweli ni mpumbavu maana yeye ndiye huyo anayejifanya anajua kumbe hajui kitu na hata akielimishwa haelimiki.

Pale mahakamani ulisikia jina dpp au samia? Ok inawezekana haukusikia, je ni sheria gani inampa mamlaka samia kufuta Kesi zinazoendelea mahakamani?
Aliyefuta kesi NI DPP AU SAMIA?
 
HAKUNA ushahidi wa kumtia hatiani?
Kumbe wewe akili huna.
Alipoambiwa ana kesi ya kujibu maana yake Nini?
Ulitegemea nini kisemwe baada ya ile interview ya BBC? Angalau kuhifadhi kiasi kuliko kuacha hali ibaki vile. Unafikiri kwa nini mara tu baada ya Mbowe kutoka gerezani alipelekwa Ikulu? Hao makomandoo unaosema haikua sahihi kupewa kazi ya ulinzi na Mbowe, sasahivi wako wapi?

Ndugu, ficha aibu yako.
 
Taarifa ya Kamati ya uchunguzi wa matukio ya mauaji yanayodaiwa kufanywa na baadhi ya askari mkoani Mtwara inadaiwa kubaini Jeshi la polisi lilishindwa kuteleza wajibu wake wa kulinda usalama wa Raia na mali zake badala yake likageuka kumpora fedha mfanyabiashara wa madini.

Pia soma
- Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7 (25/01/2022)
So nini kinafuata?
 
Kuna mwingine ameua Kigoma huko.
Askari wanaingia na Ak 47 kwenye Match.
Nilishakataa kuingiq viwanjani kwa ujinga kama huo.

Akili ikimponyoka Askari kama yule wa Kigoma ujue mnakufa wengi.
Halafu wanasema eti alikuwa anakanyagwa na raia..akaamua kurusha risasi Tisa hewani ili kutoa onyo.
Matokeo yake akaau na yeye kapona..mpirani hapo
 
Sasa wewe una uhakika gani mbowe hana HATIA?
Wakati mahakama haijatoa hukumu?
Kama wewe umesoma ni FURUSHI
Kama wangeachwa waanze kutoa utetezi, ndipo ungeona aibu kubwa ingewapata walioaminishwa kwamba kuna ugaidi. Hii ya DPP kuiondoa kesi ilishafikiwa, lakini ilibidi kuliweka kwanza hivyo lilivyowekwa kwamba "kuna kesi ya kujibu"

Huoni hiyo "kuna kesi ya kujibu" inakupa nafuu hata wewe unayetumia ID fake!? Ulitegemea nini kwa watu wakubwa tunaowafahamu?
 
Hapa IGP inabidi aachie ngazi mwenyewe kabla ya kushinikizwa kuachia.
 
Laahh, siku 90 naona nyingi sana. Ingebidi awe tayari nje ya ofisi ili wengine wajue namna ya kuzitumia ofisi. Aliongea kwa kujiamini na kwa hasira sana kwamba polisi wana ushahidi wa uhakika. Hadi leo hajatuonesha huo ushahidi. Pamoja na kudanganywa na Kingai na kundi lake, nadhani huyu Sirro alikua na chuki binafsi na Mbowe.
Ile commital(kukutwa na kosa la kujibu) unadhani ilikuja kwa ndondokela.
 
Mtu uliyetegemea akulinde anakuuwa
Mi naona suala la ulinzi wa raia hapa tz ss wapewe viongozi wa kidini 😃😃😃
Inapotokea kumkamata mtu ndio polisi waitwe maana ss hakuna namna
 
Shida haikuwa makomandoo bali nia ya mbowe aliyomwambia urio
pia calls,chats na miamala ya simu.
Ulitegemea nini kisemwe baada ya ile interview ya BBC? Angalau kuhifadhi kiasi kuliko kuacha hali ibaki vile. Unafikiri kwa nini mara tu baada ya Mbowe kutoka gerezani alipelekwa Ikulu? Hao makomandoo unaosema haikua sahihi kupewa kazi ya ulinzi na Mbowe, sasahivi wako wapi?

Ndugu, ficha aibu yako.
 
Na ingekuwa busara sana Kama kesi ingeachwa ili tujue UKWELI.
unapata wapi nguvu ya kusema mbowe hakuwa na hatia wakati mahakama haijatoa hukumu?
Kama wangeachwa waanze kutoa utetezi, ndipo ungeona aibu kubwa ingewapata walioaminishwa kwamba kuna ugaidi. Hii ya DPP kuiondoa kesi ilishafikiwa, lakini ilibidi kuliweka kwanza hivyo lilivyowekwa kwamba "kuna kesi ya kujibu"

Huoni hiyo "kuna kesi ya kujibu" inakupa nafuu hata wewe unayetumia ID fake!? Ulitegemea nini kwa watu wakubwa tunaowafahamu?
 
Taarifa ya Kamati ya uchunguzi wa matukio ya mauaji yanayodaiwa kufanywa na baadhi ya askari mkoani Mtwara inadaiwa kubaini Jeshi la polisi lilishindwa kuteleza wajibu wake wa kulinda usalama wa Raia na mali zake badala yake likageuka kumpora fedha mfanyabiashara wa madini.

Pia soma
- Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7 (25/01/2022)
Hatari sana jamani sasa tutakimbilia wapi?
 
Hatua zichukuliwe kwa waliohusika na waliufumbia macho Hilo swala.

Nashauri,
Waanze na kule top layer kushuka huku chini[emoji4]
Ofisi ya rpc mtwara yote iwajibishwe kwa wale wenye maamuzi.
 
Na ingekuwa busara sana Kama kesi ingeachwa ili tujue UKWELI.
unapata wapi nguvu ya kusema mbowe hakuwa na hatia wakati mahakama haijatoa hukumu?
Muulize DPP kwa nini aliamua kufuta kesi kabla utetezi hawajaanza kutoa utetezi wao.
 
Taarifa ya Kamati ya uchunguzi wa matukio ya mauaji yanayodaiwa kufanywa na baadhi ya askari mkoani Mtwara inadaiwa kubaini Jeshi la polisi lilishindwa kuteleza wajibu wake wa kulinda usalama wa Raia na mali zake badala yake likageuka kumpora fedha mfanyabiashara wa madini.

Pia soma
- Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7 (25/01/2022)
Hapakuwa na sababu ya kupoteza raslimali kuunda kamati maana ukweli ulikuwa wazi tangia mwanzo.
Wananchi wa Tanzania siyo wajinga!
 
Taarifa ya awali iliyotupwa ilisema "Polisi ndio walioporwa pesa na mfanyabiashara na katika hali ya kujitetea wakamuua kwa bahati mbaya.
Polisi Tanzania ni mbwa wezi
 
Back
Top Bottom