Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani alikuwa na waziri?Comment ya Kifara sana hii. Mbona kesi ya Mchongo ya Mbowe aliitisha press conference?
Kweli kabisa.Kuwa makini ukikutana na polisi usiku na una pesa. Ni bora vibaka. Ila polisi lazma wakuue hata ukiwa na 5 million
In traffic, I don't panic when I see them police lights ,I got them pigs in my pockets like Jody Weis.Yale Yale ya wakina Abdallah Zombe kwa wale wafanyabiashara ya Madini wa Mahenge.
Jeshi letu la Polisi Nchini,linaongoza kwa uhalifu....
Katiba mpya ndio Suluhu ya haya madhira
Kila siku mauaji ya raia yanayofanywa na polisi yanaongezeka . Na imekuwa too much maana hatuoni IGP akichukua hatua.
Sio haba ujumbe umefika vizuri suala la mwandiko asamehewe burempila, adhalani,mtwala, rahia,aya,uyu,nazani,idala.
umeniudhi sana wewe jamaa
Mkuu nimeona kwa jicho la mwewe rpc anatoa taarifa huku akiwa mwenye wasiwasi wa ajabu nadhani.. wazi anaona kuwa naye anatuhusishwa iwapo upepelezi wakina ukifanyika kwa taarifa za ndugu.Kwa mazingira yalivyokuwa na kwa muda uliopita toka tukio la mauaji litokee naamini Mhe. Waziri Mkuu ambaye ni mzaliwa Lindi anapotoka marehemu alishirikishwa na wananchi. Yawezekana Polisi walimdanganya kuhusu ukweli lakini kwa hiki kinachoendelea naamini kwa Nafasi yake anao uwezo wakuelekeza kuhamishwa Kwa RPC ambaye sidhani kama kwake malalamiko ya Ndugu wa marehemu akuyasikia...