Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7

Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7

Aise huyo mschana wa benki nae ni mhusika. Na itakuwa ndio tabia yake wateja wakifanya transaction kubwa yeye ndio wa kwanza kuwapigia.Ilitakiwa kabla ya kukamata hao polisi wangeaza nae.I guess kashaacha kazi kaenda kujificha somewhere!
 
Ni muda wa Siro kupumzika sasa hizi taarifa za polisi kuiba na kuua watu zipo kila siku. Inaamaanisha wameshazoea na hawaogopi kutokana na uongozi uliopo
 
Hao polisi wanazidi kuwa vibaka bila hofu yoyote kwakuwa kwa sasa ni kama wako juu ya sheria, wanafanya kazi bila kufuata sheria bali vitisho na ubabe, na hawajali lolote maana ndio wanaotumika kuweka viongozi madarakani.

Utaona kabisa polisi wamekuwa na kiburi kwakuwa wana mahusiano ya kihalifu baina yao na viongozi walioko madarakani. Bila machafuko na katiba hii hawa polisi wataendelea kufanya unyama hivi bila kudhibitiwa, kwani kuna mahusiano ya kihalifu baina yao na watawala.
 
Wanyongwe haraka hivyo mkuu bila substantial evidence,sheria itawafikia na haki itatendeka tu ilimradi kesi ipo kwenye mkondo sahihi
Ishu tangu tarehe tano ni kwa vipi RPC anakosekana kuwa ndani? Jee OCD Yuki wapi? Kiufupi hao wote ni wahusika wanatakiwa kuwa ndani mahabusu na kesi yao iendeshwe mapema na haraka wanyongwe ili kuleta nidhamu kwa jeshi la polisi.
 
View attachment 2095724

JESHI la Polisi Mkoani Mtwara limewakamata na kuwafikisha mahakamani Maafisa wa Polisi saba kwa tuhuma za mauaji ya Mussa Hamisi Hamisi (25) mkazi wa Kijiji cha Ruponda wilayani Nachingwea Mkoani Lindi aliyekuwa akiwadai askari hao zaidi ya Sh milioni 33.7...
Uchunguzi unaendeleaje wakati taarifa hizi zinajisholeza
 
In service alafu wanafanya vitu vya kijinga sasa 33m inawapeleka wap....

Kupitia tukio hili napata doubt watu walio pewa dhamana ya kulinda usalama wa raia na mali Zao wanapo geuka na kua wavunja amani.....Napata doubt ni watanzania wangap walio dhulumiwa uhai na hawa walinda amani wataifa.....Hili tukio limevua nguo jeshi la polisi
 
Wayanyonge. Kabla ya kuyanyonga wayapeleke jela wakakutane na waliowabambikia kesi wakawalawiti kwanza kufidia uchungu waliowasababishia.
Polisi hata kama ni ndugu yako chunga sana asikujuejue. Ni mijahilia hii mijaa laana.
inawezekena ni mashoga wakipelekwa kulawitiwa watainjoy bora wawalete kitaa tuwapige. minataka niwajue wake zao nikajisavie mmoja niendelee kumsaidia kulea mjane
 
R.I.P Hamza, ona waliokuita gaidi wanachokifanya huku duniani....
 
Swali la kizushi!

Kada ipi kati ya hizi ni namba moja kwa matukio hasi katika jamii?
Manesi, waalimu, madaktari, wanajeshi, watendaji wa mitaa, vijiji na kata, polisi, askari magereza, nk.

Tupange namba moja mpaka mwisho!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hawa jamaa ni majambazi na wana chain ya ujambazi ni basi tu wananchi ni wapole siraha zinaingiaje kirahisi hivo, matukio uporaji na wao wenyewe huhusika
 
Back
Top Bottom