Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Huu uvulugaji umeasisiwa na jiwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuliwa naniliu tena? Hiyo siyo poa kiongozi!Na wakifungwa huko jela naamrisha wafanyiwe wanavyowafanyia wengine hata kuliwa kiboga.
Tumechoka watu kuonewa ningese hivi.
Ndio tuendelee nao?Huu uvulugaji umeasisiwa na jiwe.
Insikitisha sana,nawapa pole wafiwa mungu awatie nguvu kwenye kipindi hiki kigumu.View attachment 2095724
JESHI la Polisi Mkoani Mtwara limewakamata na kuwafikisha mahakamani Maafisa wa Polisi saba kwa tuhuma za mauaji ya Mussa Hamisi Hamisi (25) mkazi wa Kijiji cha Ruponda wilayani Nachingwea Mkoani Lindi aliyekuwa akiwadai askari hao zaidi ya Sh milioni 33.7.
Inadaiwa maafisa hao wa polisi walijipatia kiasi hicho cha pesa wakati wakimfanyia upekuzi mfanyabiashara huyo.
Taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara, ACP Marck Njera imesema mauaji hayo yalifanyika Januari 5, 2022 na mwili wa marehemu ulitupwa kitongoji cha Majengo kijiji cha Hiari Wilayani Mtwara.
Maafisa wanaoshikiriwa ni Mrakibu wa Polisi Gilbert Kalanje -Mkuu wa Upelelezi wa wilaya ya Mtwara, Mrakibu Msaidizi wa Polisi Charles Onyango - Mkuu wa Kituo cha Polisi Mtwara, Mrakibu wa Polisi Msaidizi Nicholaus Kisinza - Mkuu wa Kikosi cha Intelejensia ya Jinai mkoa wa Mtwara, Mkaguzi wa Polisi John Msuya Mganga - Mkuu wa Zahanati ya Polisi Mtwara, Mkaguzi wa Polisi Msaidizi Marco Mbuta, Mkaguzi wa Polisi Shirazi Mkupa na Koplo Salimu Juma Mbalu.
Uchunguzi wa tukio hilo bado unaendelea.
Chanzo: Habari leo
He's Next !!Ukiangalia video ya press yake ni wazi ni mtu mwenye mashaka makuu.
Balaa, mbona RPC anasema fedha ni 33m? Mwili wa marehemu umepatikana?Inasemekana ALIYEUAWA ni NDUGU wa PM
RPC kuhusishwa kwenye ishu kama hizo ni ngumu sana, yaan ngumu sana. RPC sio mtu mdogo na mara nyingi hufatiliwa na vyombo vingine vya usalama muda wote.Kwa mazingira yalivyokuwa na kwa muda uliopita toka tukio la mauaji litokee naamini Mhe. Waziri Mkuu ambaye ni mzaliwa Lindi anapotoka marehemu alishirikishwa na wananchi. Yawezekana ...
Ishu ilifanya ya SIRI sana. Hao watu wamerukwa mazee.Ishu tangu tarehe tano ni kwa vipi RPC anakosekana kuwa ndani? Jee OCD Yuki wapi? Kiufupi hao wote ni wahusika wanatakiwa kuwa ndani mahabusu na kesi yao iendeshwe mapema na haraka wanyongwe ili kuleta nidhamu kwa jeshi la polisi.
Kesi Iendeshwe Haraka Tuujue UkweliIkithibitika kama ni kweli wameua.. wauliwe tu na wao.. tusichoshane
Maafisa wanaoshikiriwa ni Mrakibu wa Polisi Gilbert Kalanje -Mkuu wa Upelelezi wa wilaya ya Mtwara, Mrakibu Msaidizi wa Polisi Charles Onyango - Mkuu wa Kituo cha Polisi Mtwara, Mrakibu wa Polisi Msaidizi Nicholaus Kisinza - Mkuu wa Kikosi cha Intelejensia ya Jinai mkoa wa Mtwara, Mkaguzi wa Polisi John Msuya Mganga - Mkuu wa Zahanati ya Polisi Mtwara, Mkaguzi wa Polisi Msaidizi Marco Mbuta, Mkaguzi wa Polisi Shirazi Mkupa na Koplo Salimu Juma Mbalu.
JESHI la Polisi Mkoani Mtwara limewakamata na kuwafikisha mahakamani Maafisa wa Polisi saba kwa tuhuma za mauaji ya Mussa Hamisi Hamisi (25) mkazi wa Kijiji cha Ruponda wilayani Nachingwea Mkoani Lindi aliyekuwa akiwadai askari hao zaidi ya Sh milioni 33.7...
Ni swala la muda tu kabla naye hajapandishwa kizimbaniMkuu nimeona kwa jicho la mwewe rpc anatoa taarifa huku akiwa mwenye wasiwasi wa ajabu nadhani.. wazi anaona kuwa naye anatuhusishwa iwapo upepelezi wakina ukifanyika kwa taarifa za ndugu.
Hamza kumbe alikuwa sahihi kuwabutua hao polisi 🤣
Hapana mkuu, kwa taarifa niliyoipata RPC alipoambiwa tu mara moja akawakamata, na ikumbukwe hao Askari wamekamatwa wiki 2 sasa hivi zinapita. Mbaya zaidi huyu mganga wa zahanati ya POLISI inasemekana alimchoma sindano ya SUMU huyo kijana na kupelekea kifo chake.Ni swala la muda tu kabla naye hajapandishwa kizimbani
Hawawezi kuwa wapumbavu kiasi hiki,kwamba wamuue mtu kwa milioni tano kila mtu.Kama kweli walihusika na.waligawana hizo pesa kila mmoja alipata millioni 5 kasoro tu!
Ni pesa kidogo sana!
GT.Hao polisi wanazidi kuwa vibaka bila hofu yoyote kwakuwa kwa sasa ni kama wako juu ya sheria, wanafanya kazi bila kufuata sheria bali vitisho na ubabe, na hawajali lolote maana ndio wanaotumika kuweka viongozi madarakani. Utaona kabisa polisi wamekuwa na kiburi kwakuwa wana mahusiano ya kihalifu baina yao na viongozi walioko madarakani. Bila machafuko na katiba hii hawa polisi wataendelea kufanya unyama hivi bila kudhibitiwa, kwani kuna mahusiano ya kihalifu baina yao na watawala.