Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7


Sasa una maana mtuumiwa akiwa na taarifa Za kina kuhusu tukio atakuwa shahidi WA jamhuri kujikaanga?
 
Luka 3:14 (BHN)
Nao askari wakamwuliza, “Na sisi tufanye nini?” Naye akawajibu, “Msichukue vitu vya mtu yeyote kwa nguvu wala kumshtaki yeyote kwa uongo. Toshekeni na mishahara yenu.”
 
huyu marco mbuta ni mwanangu sana, kapata nyota moja juzi tu. ni mtu poa sana, nashangaa imekuaje kuwa kwenye ishu hii
 
Licenced killers/robbers.
 
Ukiwa na pesa nyingi mfukoni waogope sana polisi.
Jeshi la polisi la Tanzania, vitendo vyake vingi vimeegemea kwenye uovu kuliko matendo mema. Kikundi hiki cha uhalifu, ni aheri kingefutwa ili lianzishwe jeshi la Polisi. Hawa tulio nao kuwaita polisi ni kudhalilisha taaluma hii ambayo ipo na ni muhimu kwa Dunia nzima.
 
Mbna wala kitimoto weng hv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…