CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
Ndio umepatikana na wanadai watakabidhiwa ndugu wa marehemu wiki hii.Balaa, mbona RPC anasema fedha ni 33m? Mwili wa marehemu umepatikana?
Kuhusu pesa, Taarifa kutoka huko ni MIL 70 kwenda juu, na wanadai walienda hadi huko Nachingwea kuchukua zingine.