Muda huo kuna goli la mama, ila maisha!

Muda huo kuna goli la mama, ila maisha!

Jumanne Mwita

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2014
Posts
530
Reaction score
1,446
Sio huyu tu wapo wengi wenye shida zaidi ya huyu Mzee nikwamba hamjakutana nao tu ila Mungu atupe akili sisi wa Africa.

Kuna post moja niliisoma inasema Tanzania ni nchi pekee ambayo unaenda kufanya kazi ukipata pesa pesa yote inaishia kwenye madeni Kila siku kwasababu pesa imekosa thamani
 
Nasemaga waafrika hatuna uwezo wa kujiongoza kwa sbb ndani yetu hamna utu.
 
Link za picha hazionekani in JF app. Rekebisheni hili tatizo developers.
 
Back
Top Bottom