Muda huu Hizbullah yazichakaza airbases za Israel. China yasema ipo pamoja na Lebanon kujilinda

Muda huu Hizbullah yazichakaza airbases za Israel. China yasema ipo pamoja na Lebanon kujilinda

Baada ya mashambulizi makubwa hapo jana yaliyofanywa Lebanon na jeshi La Israel kwenye maeneo IDF iliyosema ni zaidi ya 1300.Muda huu Hizbullah wanarusha mvua ya maroketi kuelekea vituo vya kijeshi vya Israel.
Kwa mujibu wa matangazo hayo ya moja kwa moja makombora mawili kati ya hayo yameangukia baharini uwelekeo zilipo meli za kivita za Marekani kwenye bahari ya Mediterranean.
Waziri wa mambo ya nje ya China amesema taifa lake liko pamoja na Lebanon katika kulinda heshima yake.
Kwa upande wa Uturuki japo vita vimeanza rasimi na kuua watu karibu 500 bado inatoa tahadhari kuwa vita hivi vinatishia kuliingiza eneo zima la mashariki ya kati katika vita vipana z aidi.

Israel attacks Lebanon live: Hezbollah fires missiles at Israeli airbases

Video na picha ziko wapi au ni stori za masjid unatuletea
 
Israel akipiga tunaona video na picha!

Nyie video na picha ziko wapi?
Screenshot_2024-09-24-07-38-30-77_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Rais Masoud Pezeshkian wa Iran kasema nchi yake haitaingia kwenye mgogoro huu ingawa ni kama Israel inalazimisha Irani kuingia kwenye vita hii.

China imesema kuwa inasimama na Lebanon kwenye kulinda Uhuru wa nchi hiyo (Haijasema itaisaidia Lebanon kijeshi) kama Taifa Huru

Halafu hizi habari unazoleta wewe ambazo hata Al Jazeera hawana, umezitoa wapi?
 
Aljazeera wamefungiwa wamevamiwa juzi.
 
Israel akipiga tunaona video na picha!

Nyie video na picha ziko wapi?
Swali zuri sana, Juzi tumeshuhudia jeshi la Israel wakivamia kituo cha habari cha Aljazeer kilichoko Haifa ili wasitoe habari zinazowasibu Israel baada ya kichapo kutoka kwa Lebanon, waliwapa dakika 10 tu kukunja mambo yao na kituo kimefungwa sasa unategemea habari zitapenya kutoka wapi
 
Unashabikia vifo kwa sababu za kidini ,ambapo hiyo dini inakutaka usiue pia uwe na upendo , ndio maana huwa nawaona mnao amini uwepo wa Mungu ni matakataka[emoji706]
Hivi kuna taifa duniani litakubali miji yake irushiwe maroketi ? Kuna dini zinafuga haya makundi ya kigaidi kwenda kuichokoza israel
 
Back
Top Bottom