Muda ni Mwalimu mzuri sana: Siasa ni kama upepo, hubadilika wakati wowote

Nafahamu jinsi hili dude linavyofanya kazi NJE-NDANI, na sidhani hao wanaojiita watoto wa mjini kama kuna hata mmoja angenishinda mimi. Hata siku moja. Awe ni Rostam, Jakaya, Makamba, Kinana, Rugemalila, Mufti Mkuu au Kadinali, wasingenithubutu hata kuinua kidole. Never On Earth!!! Kiukweli mnapowalalamikia wahuni wa nchi hii na WANAMTANDAO huwa nawashangaa mno. Binafsi nisingewasazia hata mjusi anayekaa kwenye dari za nyumba zao.

Sema tu, UPELE HUWA HAUMKUTI MWENYE KUCHA........
Kwa hiyo Mkuu ungelitumia ile mbinu ya Joseph Stalin dhidi ya GPU na OGPU?
 
Heche is better ila bado hajafikia level ya hao wawili.
Lissu kinachomgharimu ni hicho, anapendwa na wengi lakini lugha yake ni ya kisomi. Ndio maana kesi yake ilipooneshwa live alipata fans zaidi kwa sababu alikuwa mwalimu zaidi kuliko muonesha articles za sheria.

Hata sera ya katiba mpya kwa CHADEMA walishindwa kuiuza vile Mange aliiuza kabla ya October 29. Natumai CHADEMA kitengo cha mawasiliano imejifunza kitu

Elites ni wengi lakini wasio elites ni wengi zaidi hivyo, wajifunze language of the poor kama CCM ili kwenda nao sawa
Sidhani kama CCM wanna language of the poor kumzidi Heche. Ukitazama vizuri. CCCm hakuna strategist kama alivyokuwa kipindi Cha kina Mukama kurudi nyuma. Aliyebakia peke yake ni Polepole ingawa na madhaifu yake mengi him alone would have tackled well the current opposition politics. Ndiyo maana akataka kuzima matobo mengi ambayo kimkakati yangempa ground kipambana na upinzani. Yakamkuta yamkumkuta. Bado, hao jamaa waliopo wanacheza ngoma ya CDM. Eti CDM wakianza mikutano na wao wanaanza. CDM wakifungiwa na wao wanatulia. Hamna planners. Huwezi kumchukua Mzee wa miaka 80 apambane na kijana kama Mahinyila mwisho wa siku Mzee atashindwa tu majukwaani na kupelekwa kutibiwa.
 
Mwaka 2024 ungefanya majadiliano na makada wa CCM na Maafisa Usalama wa Tanzania kwamba kuna siku watanganyika wanaweza kufanya vurugu za kutisha, na serikali kufanya mauaji makubwa ya kutisha kwa raia wake, wanufaika wakubwa wa mfumo kama Kikwete, Rostam, Harbinder, pamoja na walinda malango wa mfumo kama Mkuchika, Luhavi, Mombo, Sirro, Mafwele, Nkunda, Makonda na wengine wangekucheka na hata kukuita mwendawazimu. Hayo mambo yaliaminika ni ya Rwanda, Kongo, Somalia, Kenya, Burundi na Sudan, sisi watanzania amani ni haki yetu ya kuzaliwa hivyo hayawezi kabisa kutokea.

Mwaka 2020 ungeonana na kina Humprey Polepole, Bashiru Kakurwa, John Kijazi, Diwani Msuya na wafuasi wao wengine, na kuwaambia kwamba huu uchaguzi ambao mnatumia nguvu sana kuuvuruga na hii mifumo mnayoitengeneza itakuja kuwaumiza na Raisi Magufuli hawezi kuvuka 2021 ungeonekana Mwendawazimu. Nakumbuka mwaka 2019 kuna Mzee aliwahi kuniambia kwamba Uchaguzi wa 2020 hautakuwa na vurugu kwasababu pande zote hasimu zina cha kupoteza, na wanafahamu fika kwamba wakilianzisha basi wanaweza wakamshindwa JPM kwasababu alikuwa ni mtu asiyeogopa kumwaga damu. Raisi kufia madaraka ni jambo ambalo Tanzania lilikuwa haliwaingii kabisa kichwani watawala, zaidi-zaidi raisi kufariki kwa kifo chenye utata. Ugonjwa mkali kuwaruka watu wa MBAGALA na kumfikia yeye aliyekuwa kwenye SAFE-ZONE QUARANTINE.

Aliniambia vita ya JPM itakuwa baada ya uchaguzi, wakati ametulia, amejisahahu na kudhani kwamba ameshashinda kabisa vita hapo ndipo atashambuliwa vibaya. Huu ni wakati mzuri kwasababu joto la uchaguzi huwa linakuwa limeshuka na kile kohoro na kimuhemuhe cha ushindi kinakuwa kimewakaa watawala kichwani. Kama ambavyo alisema Shakespeare "Beware of the Odes of March" JPM alichomoka, na hakuna aliyeamini mpaka leo. Mimi niliposikia nikaona labda huyu Mzee anasema tu, lakini yalipotokea alikaa kimya na katika kumuuliza kwangu hajajibu mpaka leo kama hakuwahi kuongea na mimi. Nilifahamu kwamba kuna watu WAKO MBELE YA MUDA.

=============================================================================
Kuna msemo uko kwenye kitabu cha "The Art of War" ambapo Sun Tzu aliandika hivi "After Crossing the river, you should get far away from it". Jambo ambalo MAMA YENU na wenzake halijawaingia vizuri kichwani. Wameshavuka mto, lakini bado wamejenga mahema kwenye ukingo wa mto.

Mwaka 2021, mwezi MAY, ungemfuata Membe, Makamba, January, Nape, Rostam, Ridhiwani, Kikwete na kuwaambia kwamba kufika MAY 2026, watu wataikumbuka Tanzania na JPM na kutamani hata ule ukatili wake urudi kuliko hii serikali yenye matumanini ambayo imegeuka kuwa serikali inayochukiwa na kudharaurika ndani na nje ya mipaka ya Tanzania, sidhani kama kuna mtu angeamini. Ungemwambia Membe na January, binadamu ambao walikuwa na tamaa kali ya Uraisi wa JMT, kwamba miaka michache ninyi mtageuka kuwa wahanga wa hii serikali ambayo mnaamini uwepo wake ni tiketi zenu kisiasa, basi wangekuona una wazimu na kichaa. Membe na Makamba, walivuka mto, lakini bado wakajenga mahema kwenye ukingo wa mto (YAKAWAKATUKA WOTE)

Wachache ndani na nje ya mfumo mbali na kumchukia JPM, walipovuka mto waliondoka kabisa lile eneo na kufahamu hatari yake. Marehemu Lukuvi mbali na madhaifu yake, alikuwa moja kati ya watu waliousoma mchezo wiki chache tu baada ya JPM kufa, kwamba nchi inaenda kupoteza mwelekeo. Mbali na ujehuri (Kidada cha kihehe), tamaa za kupenda fedha na roho ya choyo, Lukuvi was an extemely competent and effective bureaucrat. He understood how systems work. Alifahamu fika kwamba MAMA YENU is a bad Gambit. Alivuka mto, akaenda mbali ya ukingo, lakini tamaa zikamrudisha pale-pale. Angekuwa na hekima angestaafu, maana alikuwa na ukwasi, heshima na mali. (YAKAMKUTA)

Mwingine ni Tundu Lissu, alimsoma MAMA YENU mapema kabisa na kumpa jina Malkia Mdanganyifu Mwenye Maneno Mazuri. Aliingia kwenye mtafaruku mkali, lakini huyu ni moja kati ya binadamu wachache mno hapa nchini Tanganyika mwenye uwezo wa kuyatazama mambo kama yalivyo, hata kama ni machungu. Hii sifa watanganyika asilimia 99% hawana. Bwana amevuka mto, na akaondoka kwenye ukingo. Mpaka sasa kuna jitihada za kumrudisha ukingoni lakini hazijafanikiwa.

Mwezi April 2022, akipokelewa Marekani na wabunge na msululu mkubwa wa vigogo wa dunia, MAMA YENU ungemwambia kwamba kuna siku hawa hawatataka kuzungumza nawewe asingekuamini. Marekani alipokelewa na Makamu wa Raisi Kamala Harris kwa bashasha na upendo. Kwenye mkutano wa WTO na IMF alipokelewa na Kristalina Gorgieva kwa kumbato kubwa la upendo. Akapokelewa na Ngozi Okonjo-Iweala kwa furaha kubwa mno. MAMA YENU, wafuasi wake na dunia ikaamini kwamba yeye ni viwango vya kina Kamala Harrs, Kristalina Gorgieva, Ngozi Okonjo-Iweala na Mia Motley. Lakini mwaka 2026 inakuwa ngumu kuamini kwamba MAMA YENU yuko kiwango kimoja na wahuni wa ukanda huu kama Rutto, Musseveni, Kagame, Munangagwa na Tinubu.

===================================================================================
Jambo ambalo wenzetu wa Magharibi walipewa NEEMA NA MUNGU kulichunguza, kulifahamuni, kulielewa na kuliheshimu sana ni suala zima linaloitwa MUDA. Hii ni rasilimali ya bure ambayo hairudi mara mbili. Hii rasilimali huleta kitu kinachoitwa MABADILIKO (Changes). Kitaalamu hakuna mwanadamu ambaye anaweza kupinga mabadiliko. Awe MWEMA au Awe MBAYA, lazima atakutwa na MABADILIKO.

Wenzetu wazungu walichotushinda ni hapa tu: NIDHAMU KWENYE MUDA, kwasababu wanafahamu muda huleta kitu kinachoitwa MABADILIKO katika nyanja zote za maisha: Binafsi, Kijamii, Kisiasa, Kiroho, Kiuchumi na Kitamaduni. Hivyo basi kuweza kukabiliana na MABADILIKO yanayoletwa na MUDA, wenzetu wakabuni kitu kinaitwa MPANGO MKAKATI (STRATEGIC PLANNING). Wenzetu walifahamu kwamba hawawezi kuzuia MABADILIKO lakini wanaweza kuyaratibu (MANAGE). You cannot stop changes, but you can manage and mitigate them.
================================================================================

Tanzania tumefika hapa tulipo kwasababu ya haya yafuatayo:
1. Hatutambui kwamba MUDA (An Independent Unit) ni rasimali inayoshikilia rasilimali zote.
2. Hatuukomboi MUDA/WAKATI (Sisi ni bora liende, ponda mali kufa kwaja)
3. Mabadiliko yanayoletwa na MUDA/WAKATI huwa yanatukuta tumelele usingizi wa pono.
4. Tunaamini kwamba utajiri wa nchi ni rasilimali watu na rasimali asilia pekee.
5. Hatufahamu kwamba, kama binadamu taifa nalo lina MUDA wa kuishi na kufariki.

Ndiyo maana wenzetu baada ya kufahamu haya, wakaanzisha taasisi za PREDICTIVE SCIENCES ambazo zina wataalamu ambao kazi yao kubwa ni kuweza kutengeneza PREDICTIVE MATHEMATICAL MODELS zilizojikita kwenye Wealth (Economy), Health and Weather ambayo wanasayansi wanaviita viashiria vikubwa mno vya maisha ya binadamu kwa miaka ijayo. Mwaka 2007, Prof David Orrell alindika kitabu kiitwacho
"Apollo's Arrow: The Science of Prediction and The Future of Everything" ambacho kimechambua vitu vingi sana na kuonesha jinsi gani MABADILIKO yanaweza kumvamia binadamu hata yule ambaye amejipanga vizuri kwa kutaka kutabiri nini kitatokea.

Hichi kitabu kilileta ushawishi mkubwa sana nchini Marekani, hadi kupelekea baadhi ya vyuo vikuu na taasisi kukifundisha kama kozi maalumu na hata baadaye idara nyeti za nchi zikaanza kufuatilia mapendekezo yake. Ukweli mchungu hata ambao Proff David Orrell anasema kuhusu MABADILIKO ni kwamba huwa hayagondi hodi. Akitolea mifano mingi kama Venezuela ya Hugo Chavez na majanga ya hali ya hewa yaliyoikumbwa nchi hiyo mwaka 2001. Kitu kama hichi msomi Philipp Coggan ambaye ni mchumi na mwandishi wa habari nguli kutoka The Financial Times/The Economist anasema kwamba huwezi kubashiri uchumi kwa asilimia 70% sahihi, mabadiliko huja bila hodi.
=================================================================================

Hivyo nini kifanyike hata kama hatuwezi kubashiri kwa usahihi nini kitakachotokea ???

Ni lazima tujipange, ili MABDILIKO yakifika tusichanganyikiwe na kuleta taharuki. Watawala wasiokuwa na ufahamu na uelewa huwa wanajidanganya kwamba watazuia mabadiliko. Kilichotokea 29 OKTOBA 2025 ni sehemu ya mabadiliko. Bahati mbaya serikali haikujipanga endapo jambo kama lile lingetokea, ikaadhimu kuua watu wake kikatili kwasababu ilichanganyikiwa (Panicked) kwasababu ilikutwa imelela usingizi wa pono.

Hili la vikwazo limewakuta vibaya, mmelala kwenye ukingo wa mto. Sasa imetokea taharuki kubwa ambayo badala ya kupunguza tatizo, inaonesha wazi kabisa kwamba serikali haina mbinu mbadala zaidi ya kuhonga madini na rasilimali. Hatujajipanga, na tumelela kando ya mto.

Hebu fikiria ikatokea kweli Marekani imepitisha ule MUSWADA kuwa sheria. Tanzania mmejipanga namna gani kukabiliana na hizi changamoto ??? Binafsi nasema ombeni sana isitokeaa, maana ikitokea, sijui aiseeeh.

ENIWEI najua mada hii ni ngumu, lakini naamini wahusika wataelewa nachokisema.

Lakini ombeni sana maana yajayo yanafurahisha.

View attachment 3596335
​
Paukwa pakawa,blah blah za hapa na pale
Waambieni huko vigangoni wamuache mama wa watu atawale aondoke
 
nielewacho ni kwamba muslims ni communists na communists ni wajanja sana, angalia tu jinsi kwa mf. mamdani alivyoshinda u-mayor wa New York City jamaa (mammdani ni muhindi/iranian) ila alikampeni kama muafrika na siyo indian/irani kwamba asili yake ni uganda na jina lake ni kwame (for real anaitwa kwame remmember kwame nkrumah?) ofcourse ni muongo hakuna muhindi anayeweza kuchukua jina la kiafrika si tunaishi nao hapa na tumekuwa nao ulishawahi kusikia hata mmoja ana jina la kibantu? sasa kwa nini mamadani kachukuwa jina la kiafrika? ni ili kupata black votes ambazo alizihitaji ili kushinda that's how smart communists and muslims are i.e wanajua jinsi ya kuishi tanzagiza, wanaendesha fatwa against non muslims huku waki-claim wao ni victims, ukiwa-call out wanakuita "mdini", they accuse you of what they are doing to you, clever tactic.

hivyo hii vita ni ngumu sana kwani muslims wako kisayansi zaidi na wamejipanga for last 100 years against the so called "mfumo Kristo" whereas adui wa muslims wala hata haelewi kama yeye ni adui anafikiri ni vita ya demokrasia, uhuru sijui vyama hivyo adui wa muslims yuko neutral na anajaribu kuwa objective na hamjui adui yake lkn muslim anamjua adui yake na ame laser focus kummaliza.

mwisho wa siku muslims na communist (ndani ya commnunist kuna adui wa muslim pia hivyo adui wa muslim anamsadidia muslims kumamaliza adui wa muslim), after all said and done arabs, iranian, pakis wamemilikishwa uchumi wote, serikali imekopa deni la taifa limeongezeka kwa kasi ya ajabu fedha zilikoenda hatujui lkn ununuzi na uwekezaji wa kufuru unafanywa na muslims worth of hundreds of million of dollars (usd) ndani ya kipindi kifupi sana, hauna business wanayoweza ndani ya miaka 4 kuweza kufanya investments walizofanya.

mwenye financial musle ndiyo anayeshinda vita (mara nyingi), hivyo mwisho wa siku muslims ataishinda hii ngoma na kuanzisha caliphate in tanzagiza na road map ya caliphate tanzagiza tayari imeshawekwa, mambo mengi sana tayari yameshabadilihswa kuwa islamic au islam friendly ndani ya miaka 4 tu, what about 10 -20 years under islam.

wengi labda hawafahamu au hawalipi uzito sana hili swala lkn sasa hivi al kaida, isis na ilsamists wote waliokuwa middle east wamehamia afrika sahel region imegeuka middle east, hivyo vita kubwa islam vs civilized world inapiganiwa ndani ya afrika na tanzagiza ni islamic through through kupitia zanzibar na hiyo line inakwenda mpaka msumbiji.

wengi pia hawafahamu labda au hawajaambiwa ukweli, sababu kuu hasa ya Christians na kuja Afrika inayoitwa ukoloni ilikuwa ni to push back on islam, western Chnristians wamekuwa vitani against islam kuanzia kuanzishwa kwa islam karne ya 7, muslims walishachukuwa north afrika yote na west na ndiyo sababu ya unaoitwa ukoloni, ilikuwa ni kuzuia na kuikoa afrika na islamization, lkn kama kawaida communists anadanganya afrikans kwamba sijui ilikuwa ni unyonyaji mara ukoloni ndiyo to some extent lkn haikuwa sababu kuu kwa nini Christians walikuja kwetu, sababu KUU ilikuwa ni ku-fight na kuzuia spread of islam, hivyo muslims wako vitani ever since, rejea waziri wa tanzagiza alisema live kwamba ilipojengwa ikulu yetu ilikuwa madrasa kwa nini alisema vile na lengo ni nini? mwingine akasema bandari yetu mwarabu amerudia kuchukua bandari yake, watu kama hawa wenye mawazo aina hii ndiyo mnafikiri mko nao pamoja kwenye mapambano kwamba wote mna nia na lengo 1 ? ...
Umeongea wazi sana, hili uliloliongea nililiona pale Bandari ilipotolewa kwa dipiwedi, moja kwa moja kilichotokea na kinachoendelea ni matokeo ya mpango mzima wa kupunguza nguvu ya adui wa Uislamu, Kwa mtizamo wangu ile hoja ya kubadilishana kiti cha uongozi kati ya dini zetu inaweza isiwe na nguvu 2030, hapo kuna mawili,
1.Kutakuwa na jitihada za makusudi za kumleta mgombea ambaye atakuwa anasadifu ajenda yao bila kujali mabadilishano, kwa maana Rais ajaye si lazima awe Mkristo
2.Italetwa hoja na kukuzwa ya kumtaka aliyepo aendelee ili kuhakikisha hayo yote uliyoyaangaziwa yanalindwa bila kubadilishwa kwa miaka mingi ijayo, ikiwa Roadmap kuelekea kwa lengo mahususi.
Tujiandae kwa lolote linalowezekana.
 
wamejipanga wa muda mrefu haya yote yanayotokea yamepangwa, maraisi Christians wote hawapo siamini kama imetokea tu kikawaida kuna uwezekano mkubwa wa foul play pia na kwa mfumo wa ccm raisi anayemalizia muda wake na raisi wastaafu wana nguvu kubwa sana kwenye kuamua mgombea ajaye, sasa wote wawili ni muslims.

hapo cha kuombea ni D.Trump aingilie kati kutibua their evil plan na karata kuchangwa upya tuanze moja i.e ccm kama ilivyo ife na mfumo mpya ambao ni fair na inclussive i.e Christian oriented uzaliwe na hili linawezekana kama tukielewa adui yetu ni nani, muslims waafrika can live even better and prosper in a Christian oriented system lkn Christians hawawezi ku-survive in an islamic caliphate, hivyo Christian system ni bora kwa kila mtu hata kwa muslims waafrika wenyewe hasa ambao ni maskini kupindukia na wanahitaji elimu (western) ili waweze kupanda daraja na kujinasua and only “mfumo Kristo” can deliver that vinginevyo wataishia madrasa kukaririshwa Kurani ili wawe recruited na islamists kama boko haram na kutumika “ kukata watu vichwa” kama somalia, nigeria, mali au sijui niger na sudani …
 
Sidhani kama CCM wanna language of the poor kumzidi Heche. Ukitazama vizuri. CCCm hakuna strategist kama alivyokuwa kipindi Cha kina Mukama kurudi nyuma. Aliyebakia peke yake ni Polepole ingawa na madhaifu yake mengi him alone would have tackled well the current opposition politics. Ndiyo maana akataka kuzima matobo mengi ambayo kimkakati yangempa ground kipambana na upinzani. Yakamkuta yamkumkuta. Bado, hao jamaa waliopo wanacheza ngoma ya CDM. Eti CDM wakianza mikutano na wao wanaanza. CDM wakifungiwa na wao wanatulia. Hamna planners. Huwezi kumchukua Mzee wa miaka 80 apambane na kijana kama Mahinyila mwisho wa siku Mzee atashindwa tu majukwaani na kupelekwa kutibiwa.
Mahinyila vz wassira nimecheka Sanaa,obvious wa miaka 80 ataishia kulazwa tu
 
Shukrani kwa maarifa Mkuu!

Umeeleza mambo mengi yenye tija kwa wenye mamlaka, bahati mbaya masikio yao wameweka pamba

Nchi yeyote isiyo na Viongozi wenye maono na uzalendo, huishia kupiga hatua 3 mbele na kurudi hatua 10 nyuma

System ikiendelea kukumbatia na kutuletea viongozi wa aina hii tuliyonayo, tutaendelea kuwa hivi hivi hadi mwisho wa Dunia
 
Sidhani kama CCM wanna language of the poor kumzidi Heche. Ukitazama vizuri. CCCm hakuna strategist kama alivyokuwa kipindi Cha kina Mukama kurudi nyuma. Aliyebakia peke yake ni Polepole ingawa na madhaifu yake mengi him alone would have tackled well the current opposition politics. Ndiyo maana akataka kuzima matobo mengi ambayo kimkakati yangempa ground kipambana na upinzani. Yakamkuta yamkumkuta. Bado, hao jamaa waliopo wanacheza ngoma ya CDM. Eti CDM wakianza mikutano na wao wanaanza. CDM wakifungiwa na wao wanatulia. Hamna planners. Huwezi kumchukua Mzee wa miaka 80 apambane na kijana kama Mahinyila mwisho wa siku Mzee atashindwa tu majukwaani na kupelekwa kutibiwa.
Kwa sasa CCM imepoteza dira hilo lipo wazi lakini pia CDM ambayo ina upper hand imejikita kwenye harakati ambazo hazimgusi mwananchi wa chini moja kwa moja.

Ni sawa na mtu kumchukia jirani yako na baadae upate jirani yako mwingine anaemchukia yule. Kinachofuata wote mtaungana kumchukia huyo mmoja. Huo ndio mfumo wa CDM na wananchi Vs CCM ila amini, akitokea mtu ndani ya CCM akawa popular , niamini wananchi watamuungua mkono tena maana CCM ina power na imejikita mizizi sehemu baadhi ambazo CDM bado haijaweza kufikia

Na kwa bahati mbaya muda huu ambao walitakiwa kuikita kirahisi, bado wanafanya moves zile zile

Connection ya CDM na Elites ipo very strong ila CDM na wananchi wengi bond yao ipo conditional. Yani kuwe na kitu flani ndio wataungwa mkono..

CDM ya katiba haiwezi kupata momentum ya CDM ya ufisadi kwa sababu wananchi wanaelewa impact ya "ufisadi" Kwenye maisha yao Kirahisi kuliko "katiba" Iliyopo

So CDM nao bado sijaona kama wana upper hand kihivyo kama wengi wanavyoamini maana inategemea kuvurunda kwa CCM ambayo inaweza kujivua gamba tena wakileta watu wanaoweza wawin wananchi kirahisi. Japo Gen Z kiasi nawaamini kutoingia huu mtego
 
Mkuu Enzo kwanza amini nakwambia, mimi ningekuwa Raisi wa Tanzania nchi isingefika hapa ilipo leo.
=======================================================================
Nafahamu jinsi hili dude linavyofanya kazi NJE-NDANI, na sidhani hao wanaojiita watoto wa mjini kama kuna hata mmoja angenishinda mimi. Hata siku moja. Awe ni Rostam, Jakaya, Makamba, Kinana, Rugemalila, Mufti Mkuu au Kadinali, wasingenithubutu hata kuinua kidole. Never On Earth!!! Kiukweli mnapowalalamikia wahuni wa nchi hii na WANAMTANDAO huwa nawashangaa mno. Binafsi nisingewasazia hata mjusi anayekaa kwenye dari za nyumba zao.

Sema tu, UPELE HUWA HAUMKUTI MWENYE KUCHA........

====================================================================================

HAYA KUJIBU SWALI LAKO: Kwenye masomo ya usalama hasa STATE-CRAFT & STRATEGY nchi huwa inafananishwa na meli ya mizigo iliyopo baharini (This is allegorical). Ambapo tunafahamishwa kabisa kwamba Meli ya Nahonda(A Ship Belongs to the Captain), lakini bahari ni ya MUNGU (But the Sea belongs to GOD). Hapa akimaanisha kwamba wewe unaweza ukawa nahonda bora kabisa, mwenye manowari mpya, lakini uwezo wako huishia ndani ya meli yako tu. Kufika kwako salama kunategemea mwenye bahari kaamuaje wewe ufike. Akichafua tu bahari inakula kwako na ujuzi wako.

Sasa kwenye usafiri wa baharini kuna kitu tunakiita JETTISON IN MARINE INSURANCE, ambao huelezea nini nahodha anatakiwa kufanya kuzuia meli yote isizame na kuokoa maisha ya watu na baadhi ya mali za thamani zilizopo ndani ya meli.

Bahari inapochafuka jambo la kwanza Nahodha anatakiwa kufanya ni kuhakikisha anapunguza mizigo mizito isiyo ya thamani ambayo inaelemea meli. Hii mizigo kitaalamu tunaiita SCRAPPERS au SACRIFICED GOODS, ambayo hutupwa ili kulinda mizigo yenye thamani zaidi ndani ya meli. Hichi kitendo kitaalamu tunakiita JETTISON.

Wanausalama wa nchi za Magharibi (Judeo-Christian States) au watu waliobahatika kupata mafunzo ya usalama nchi za Magharibi lazima wanafahamu huu mfano naoenda kuuzungumzia. Mfano wa Jettison mara ya kwanza kabisa, unaonekana kwenye kitabu cha NABII YONA ambapo, yeye alitumwa na MUNGU aende Ashuru (Ninawi) lakini yeye akaenda Uhispania (Tashishi) kwa ukaidi ili ajifiche na uso wa MUNGU. Kumbuka, meli ilikuwa ni ya Nahodha wa Yona, lakini bahari ilikuwa ni ya MUNGU.

Baada ya ukaidi wa NABII YONA, MUNGU alichafua bahari na meli ikaanza kuzama. Jambo la kwanza kabisa nahonda alianza kufanya ni kutupa shehena ya mizigo baharini (Jettisoning), lakini wapi, bahari ikazidi kuchafuka tu. Mwishowe wakafahamu kwamba mle ndani lazima kutakuwa na mzigo ambao wakiutupa basi meli yote inaweza kupona. Uzuri YONA akasema ukweli, kwamba ametenda dhambi na mwenye bahari anamuwinda, hivyo akitoswa yeye majini lazima bahari itatulia.

Nahonda alitaka kumlinda YONA na ukaidi wake, lakini bahari ikazidi kuchafuka. Hivyo akawa na ETHICAL DILEMNA: Either let the whole ship sink by saving one rebellious prophet or sacrifice one rebellious prophet to save the lives of every person on the ship. Baadaye nahonda alikubaliana na ukweli akamkamata YONA na kumtosa baharini. Ghafla, baada ya YONA kutoswa baharini, dhoruba ikatulia na meli yote ikapona.
================================================================================

Sasa kwenye MARINE INSURANCE kuna kanuni iitwayo, SUE AND LABOUR ambayo inamwondolea Nahodha uwajibikaji wowote ule wa kisheria na kimaadili, endapo ataamua kutosa baharini bidhaa zisizo na thamani, zenye hatihati ya kuzamisha meli yote (SCRAPPERS & SACRIFICED) kwa kuongeza uzito wakati wa dhoruba kali. Mwisho wa siku mashirika ya bima yatachangia nusu kufidia gharama ya mizigo iliyotupwa baharini endapo itathibitika kwamba bidhaa zilizotupwa baharini (Jettisoned Goods) zina sifa zifuatazo:

1. Dangerous Goods (Bidhaa Hatari)
2. Heavy Goods (Bidhaa nzito sana)
3. Non-Essential Goods (Bidhaa zisizo na thamani kwa matumizi)
4. Perishable Goods (Bidhaa ambazo zinaharibika kwa haraka)

====================================================================================
TAFAKARI, CHUKUA HATUA...
​
Umekieleza kisa cha Yona kwa namna nzuri sana ukilinganisha na kiongozi anachopaswa kufanya.
 
Mwaka 2024 ungefanya majadiliano na makada wa CCM na Maafisa Usalama wa Tanzania kwamba kuna siku watanganyika wanaweza kufanya vurugu za kutisha, na serikali kufanya mauaji makubwa ya kutisha kwa raia wake, wanufaika wakubwa wa mfumo kama Kikwete, Rostam, Harbinder, pamoja na walinda malango wa mfumo kama Mkuchika, Luhavi, Mombo, Sirro, Mafwele, Nkunda, Makonda na wengine wangekucheka na hata kukuita mwendawazimu. Hayo mambo yaliaminika ni ya Rwanda, Kongo, Somalia, Kenya, Burundi na Sudan, sisi watanzania amani ni haki yetu ya kuzaliwa hivyo hayawezi kabisa kutokea.

Mwaka 2020 ungeonana na kina Humprey Polepole, Bashiru Kakurwa, John Kijazi, Diwani Msuya na wafuasi wao wengine, na kuwaambia kwamba huu uchaguzi ambao mnatumia nguvu sana kuuvuruga na hii mifumo mnayoitengeneza itakuja kuwaumiza na Raisi Magufuli hawezi kuvuka 2021 ungeonekana Mwendawazimu. Nakumbuka mwaka 2019 kuna Mzee aliwahi kuniambia kwamba Uchaguzi wa 2020 hautakuwa na vurugu kwasababu pande zote hasimu zina cha kupoteza, na wanafahamu fika kwamba wakilianzisha basi wanaweza wakamshindwa JPM kwasababu alikuwa ni mtu asiyeogopa kumwaga damu. Raisi kufia madaraka ni jambo ambalo Tanzania lilikuwa haliwaingii kabisa kichwani watawala, zaidi-zaidi raisi kufariki kwa kifo chenye utata. Ugonjwa mkali kuwaruka watu wa MBAGALA na kumfikia yeye aliyekuwa kwenye SAFE-ZONE QUARANTINE.

Aliniambia vita ya JPM itakuwa baada ya uchaguzi, wakati ametulia, amejisahahu na kudhani kwamba ameshashinda kabisa vita hapo ndipo atashambuliwa vibaya. Huu ni wakati mzuri kwasababu joto la uchaguzi huwa linakuwa limeshuka na kile kohoro na kimuhemuhe cha ushindi kinakuwa kimewakaa watawala kichwani. Kama ambavyo alisema Shakespeare "Beware of the Odes of March" JPM alichomoka, na hakuna aliyeamini mpaka leo. Mimi niliposikia nikaona labda huyu Mzee anasema tu, lakini yalipotokea alikaa kimya na katika kumuuliza kwangu hajajibu mpaka leo kama hakuwahi kuongea na mimi. Nilifahamu kwamba kuna watu WAKO MBELE YA MUDA.

=============================================================================
Kuna msemo uko kwenye kitabu cha "The Art of War" ambapo Sun Tzu aliandika hivi "After Crossing the river, you should get far away from it". Jambo ambalo MAMA YENU na wenzake halijawaingia vizuri kichwani. Wameshavuka mto, lakini bado wamejenga mahema kwenye ukingo wa mto.

Mwaka 2021, mwezi MAY, ungemfuata Membe, Makamba, January, Nape, Rostam, Ridhiwani, Kikwete na kuwaambia kwamba kufika MAY 2026, watu wataikumbuka Tanzania na JPM na kutamani hata ule ukatili wake urudi kuliko hii serikali yenye matumanini ambayo imegeuka kuwa serikali inayochukiwa na kudharaurika ndani na nje ya mipaka ya Tanzania, sidhani kama kuna mtu angeamini. Ungemwambia Membe na January, binadamu ambao walikuwa na tamaa kali ya Uraisi wa JMT, kwamba miaka michache ninyi mtageuka kuwa wahanga wa hii serikali ambayo mnaamini uwepo wake ni tiketi zenu kisiasa, basi wangekuona una wazimu na kichaa. Membe na Makamba, walivuka mto, lakini bado wakajenga mahema kwenye ukingo wa mto (YAKAWAKATUKA WOTE)

Wachache ndani na nje ya mfumo mbali na kumchukia JPM, walipovuka mto waliondoka kabisa lile eneo na kufahamu hatari yake. Marehemu Lukuvi mbali na madhaifu yake, alikuwa moja kati ya watu waliousoma mchezo wiki chache tu baada ya JPM kufa, kwamba nchi inaenda kupoteza mwelekeo. Mbali na ujehuri (Kidada cha kihehe), tamaa za kupenda fedha na roho ya choyo, Lukuvi was an extemely competent and effective bureaucrat. He understood how systems work. Alifahamu fika kwamba MAMA YENU is a bad Gambit. Alivuka mto, akaenda mbali ya ukingo, lakini tamaa zikamrudisha pale-pale. Angekuwa na hekima angestaafu, maana alikuwa na ukwasi, heshima na mali. (YAKAMKUTA)

Mwingine ni Tundu Lissu, alimsoma MAMA YENU mapema kabisa na kumpa jina Malkia Mdanganyifu Mwenye Maneno Mazuri. Aliingia kwenye mtafaruku mkali, lakini huyu ni moja kati ya binadamu wachache mno hapa nchini Tanganyika mwenye uwezo wa kuyatazama mambo kama yalivyo, hata kama ni machungu. Hii sifa watanganyika asilimia 99% hawana. Bwana amevuka mto, na akaondoka kwenye ukingo. Mpaka sasa kuna jitihada za kumrudisha ukingoni lakini hazijafanikiwa.
=============================================================================

Mwezi April 2022, akipokelewa Marekani na wabunge na msululu mkubwa wa vigogo wa dunia, MAMA YENU ungemwambia kwamba kuna siku hawa hawatataka kuzungumza nawewe asingekuamini. Marekani alipokelewa na Makamu wa Raisi Kamala Harris kwa bashasha na upendo. Kwenye mkutano wa WTO na IMF alipokelewa na Kristalina Gorgieva kwa kumbato kubwa la upendo. Akapokelewa na Ngozi Okonjo-Iweala kwa furaha kubwa mno. MAMA YENU, wafuasi wake na dunia ikaamini kwamba yeye ni viwango vya kina Kamala Harrs, Kristalina Gorgieva, Ngozi Okonjo-Iweala na Mia Motley. Lakini mwaka 2026 inakuwa ngumu kuamini kwamba MAMA YENU yuko kiwango kimoja na wahuni wa ukanda huu kama Rutto, Musseveni, Kagame, Munangagwa na Tinubu.

===================================================================================
Jambo ambalo wenzetu wa Magharibi walipewa NEEMA NA MUNGU kulichunguza, kulifahamuni, kulielewa na kuliheshimu sana ni suala zima linaloitwa MUDA. Hii ni rasilimali ya bure ambayo hairudi mara mbili. Hii rasilimali huleta kitu kinachoitwa MABADILIKO (Changes). Kitaalamu hakuna mwanadamu ambaye anaweza kupinga mabadiliko. Awe MWEMA au Awe MBAYA, lazima atakutwa na MABADILIKO.

Wenzetu wazungu walichotushinda ni hapa tu: NIDHAMU KWENYE MUDA, kwasababu wanafahamu muda huleta kitu kinachoitwa MABADILIKO katika nyanja zote za maisha: Binafsi, Kijamii, Kisiasa, Kiroho, Kiuchumi na Kitamaduni. Hivyo basi kuweza kukabiliana na MABADILIKO yanayoletwa na MUDA, wenzetu wakabuni kitu kinaitwa MPANGO MKAKATI (STRATEGIC PLANNING). Wenzetu walifahamu kwamba hawawezi kuzuia MABADILIKO lakini wanaweza kuyaratibu (MANAGE). You cannot stop changes, but you can manage and mitigate them.
================================================================================

Tanzania tumefika hapa tulipo kwasababu ya haya yafuatayo:
1. Hatutambui kwamba MUDA (An Independent Unit) ni rasimali inayoshikilia rasilimali zote.
2. Hatuukomboi MUDA/WAKATI (Sisi ni bora liende, ponda mali kufa kwaja)
3. Mabadiliko yanayoletwa na MUDA/WAKATI huwa yanatukuta tumelele usingizi wa pono.
4. Tunaamini kwamba utajiri wa nchi ni rasilimali watu na rasimali asilia pekee.
5. Hatufahamu kwamba, kama binadamu taifa nalo lina MUDA wa kuishi na kufariki.

Ndiyo maana wenzetu baada ya kufahamu haya, wakaanzisha taasisi za PREDICTIVE SCIENCES ambazo zina wataalamu ambao kazi yao kubwa ni kuweza kutengeneza PREDICTIVE MATHEMATICAL MODELS zilizojikita kwenye Wealth (Economy), Health and Weather ambayo wanasayansi wanaviita viashiria vikubwa mno vya maisha ya binadamu kwa miaka ijayo. Mwaka 2007, Prof David Orrell alindika kitabu kiitwacho
"Apollo's Arrow: The Science of Prediction and The Future of Everything" ambacho kimechambua vitu vingi sana na kuonesha jinsi gani MABADILIKO yanaweza kumvamia binadamu hata yule ambaye amejipanga vizuri kwa kutaka kutabiri nini kitatokea.

Hichi kitabu kilileta ushawishi mkubwa sana nchini Marekani, hadi kupelekea baadhi ya vyuo vikuu na taasisi kukifundisha kama kozi maalumu na hata baadaye idara nyeti za nchi zikaanza kufuatilia mapendekezo yake. Ukweli mchungu hata ambao Proff David Orrell anasema kuhusu MABADILIKO ni kwamba huwa hayagondi hodi. Akitolea mifano mingi kama Venezuela ya Hugo Chavez na majanga ya hali ya hewa yaliyoikumbwa nchi hiyo mwaka 2001. Kitu kama hichi msomi Philipp Coggan ambaye ni mchumi na mwandishi wa habari nguli kutoka The Financial Times/The Economist anasema kwamba huwezi kubashiri uchumi kwa asilimia 70% sahihi, mabadiliko huja bila hodi.
=================================================================================

Hivyo nini kifanyike hata kama hatuwezi kubashiri kwa usahihi nini kitakachotokea ???

Ni lazima tujipange, ili MABDILIKO yakifika tusichanganyikiwe na kuleta taharuki. Watawala wasiokuwa na ufahamu na uelewa huwa wanajidanganya kwamba watazuia mabadiliko. Kilichotokea 29 OKTOBA 2025 ni sehemu ya mabadiliko. Bahati mbaya serikali haikujipanga endapo jambo kama lile lingetokea, ikaadhimu kuua watu wake kikatili kwasababu ilichanganyikiwa (Panicked) kwasababu ilikutwa imelela usingizi wa pono.

Hili la vikwazo limewakuta vibaya, mmelala kwenye ukingo wa mto. Sasa imetokea taharuki kubwa ambayo badala ya kupunguza tatizo, inaonesha wazi kabisa kwamba serikali haina mbinu mbadala zaidi ya kuhonga madini na rasilimali. Hatujajipanga, na tumelela kando ya mto.

Hebu fikiria ikatokea kweli Marekani imepitisha ule MUSWADA kuwa sheria. Tanzania mmejipanga namna gani kukabiliana na hizi changamoto ??? Binafsi nasema ombeni sana isitokeaa, maana ikitokea, sijui aiseeeh.

=================================================================================
ENIWEI najua mada hii ni ngumu, lakini naamini wahusika wataelewa nachokisema.

Lakini ombeni sana maana yajayo yanafurahisha.

View attachment 3596335
​
👏👏👏
 
wamejipanga wa muda mrefu haya yote yanayotokea yamepangwa, maraisi Christians wote hawapo siamini kama imetokea tu kikawaida kuna uwezekano mkubwa wa foul play pia na kwa mfumo wa ccm raisi anayemalizia muda wake na raisi wastaafu wana nguvu kubwa sana kwenye kuamua mgombea ajaye, sasa wote wawili ni muslims.

hapo cha kuombea ni D.Trump aingilie kati kutibua their evil plan na karata kuchangwa upya tuanze moja i.e ccm kama ilivyo ife na mfumo mpya ambao ni fair na inclussive i.e Christian oriented uzaliwe na hili linawezekana kama tukielewa adui yetu ni nani, muslims waafrika can live even better and prosper in a Christian oriented system lkn Christians hawawezi ku-survive in an islamic caliphate, hivyo Christian system ni bora kwa kila mtu hata kwa muslims waafrika wenyewe hasa ambao ni maskini kupindukia na wanahitaji elimu (western) ili waweze kupanda daraja na kujinasua and only “mfumo Kristo” can deliver that vinginevyo wataishia madrasa kukaririshwa Kurani ili wawe recruited na islamists kama boko haram na kutumika “ kukata watu vichwa” kama somalia, nigeria, mali au sijui niger na sudani …
Kwani wewe jamaa waislamu walikufanya Nini?? Mbona unachuki nao kubwa hivyo??
Pengine Kuna kitu unakijua alafu sisi hatukijui.
 
Shukrani kwa maarifa Mkuu!

Umeeleza mambo mengi yenye tija kwa wenye mamlaka, bahati mbaya masikio yao wameweka pamba

Nchi yeyote isiyo na Viongozi wenye maono na uzalendo, huishia kupiga hatua 3 mbele na kurudi hatua 10 nyuma

System ikiendelea kukumbatia na kutuletea viongozi wa aina hii tuliyonayo, tutaendelea kuwa hivi hivi hadi mwisho wa Dunia
Mi nawashangaa sana mnavyokuwa mnasema system inakumbatia watu wa hovyo, watu wasiokuwa na uwezo, wala Rushwa.....!
Hivi mnashindwa kujua kwamba system ndio hao viongozi mnaowalalamikia? System itabadika siku CCM ikitolewa madarakani na SI vinginevyo..!
 
nielewacho ni kwamba muslims ni communists na communists ni wajanja sana, angalia tu jinsi kwa mf. mamdani alivyoshinda u-mayor wa New York City jamaa (mammdani ni muhindi/iranian) ila alikampeni kama muafrika na siyo indian/irani kwamba asili yake ni uganda na jina lake ni kwame (for real anaitwa kwame remmember kwame nkrumah?) ofcourse ni muongo hakuna muhindi anayeweza kuchukua jina la kiafrika si tunaishi nao hapa na tumekuwa nao ulishawahi kusikia hata mmoja ana jina la kibantu? sasa kwa nini mamadani kachukuwa jina la kiafrika? ni ili kupata black votes ambazo alizihitaji ili kushinda that's how smart communists and muslims are i.e wanajua jinsi ya kuishi tanzagiza, wanaendesha fatwa against non muslims huku waki-claim wao ni victims, ukiwa-call out wanakuita "mdini", they accuse you of what they are doing to you, clever tactic.

hivyo hii vita ni ngumu sana kwani muslims wako kisayansi zaidi na wamejipanga for last 100 years against the so called "mfumo Kristo" whereas adui wa muslims wala hata haelewi kama yeye ni adui anafikiri ni vita ya demokrasia, uhuru sijui vyama hivyo adui wa muslims yuko neutral na anajaribu kuwa objective na hamjui adui yake lkn muslim anamjua adui yake na ame laser focus kummaliza.

mwisho wa siku muslims na communist (ndani ya commnunist kuna adui wa muslim pia hivyo adui wa muslim anamsadidia muslims kumamaliza adui wa muslim), after all said and done arabs, iranian, pakis wamemilikishwa uchumi wote, serikali imekopa deni la taifa limeongezeka kwa kasi ya ajabu fedha zilikoenda hatujui lkn ununuzi na uwekezaji wa kufuru unafanywa na muslims worth of hundreds of million of dollars (usd) ndani ya kipindi kifupi sana, hauna business wanayoweza ndani ya miaka 4 kuweza kufanya investments walizofanya.

mwenye financial musle ndiyo anayeshinda vita (mara nyingi), hivyo mwisho wa siku muslims ataishinda hii ngoma na kuanzisha caliphate in tanzagiza na road map ya caliphate tanzagiza tayari imeshawekwa, mambo mengi sana tayari yameshabadilihswa kuwa islamic au islam friendly ndani ya miaka 4 tu, what about 10 -20 years under islam.

wengi labda hawafahamu au hawalipi uzito sana hili swala lkn sasa hivi al kaida, isis na ilsamists wote waliokuwa middle east wamehamia afrika sahel region imegeuka middle east, hivyo vita kubwa islam vs civilized world inapiganiwa ndani ya afrika na tanzagiza ni islamic through through kupitia zanzibar na hiyo line inakwenda mpaka msumbiji.

wengi pia hawafahamu labda au hawajaambiwa ukweli, sababu kuu hasa ya Christians na kuja Afrika inayoitwa ukoloni ilikuwa ni to push back on islam, western Chnristians wamekuwa vitani against islam kuanzia kuanzishwa kwa islam karne ya 7, muslims walishachukuwa north afrika yote na west na ndiyo sababu ya unaoitwa ukoloni, ilikuwa ni kuzuia na kuikoa afrika na islamization, lkn kama kawaida communists anadanganya afrikans kwamba sijui ilikuwa ni unyonyaji mara ukoloni ndiyo to some extent lkn haikuwa sababu kuu kwa nini Christians walikuja kwetu, sababu KUU ilikuwa ni ku-fight na kuzuia spread of islam, hivyo muslims wako vitani ever since, rejea waziri wa tanzagiza alisema live kwamba ilipojengwa ikulu yetu ilikuwa madrasa kwa nini alisema vile na lengo ni nini? mwingine akasema bandari yetu mwarabu amerudia kuchukua bandari yake, watu kama hawa wenye mawazo aina hii ndiyo mnafikiri mko nao pamoja kwenye mapambano kwamba wote mna nia na lengo 1 ? ...
Hakuna Muslims Communists,
Ukomunisti wa kweli unaendena zaidi na atheism kwa sababu dini ni mfumo wenye madaraja au kuhamasisha madaraja ya kutenganisha watu kitu ambacho kinapingwa vikali sana na communists.
 
Mi nawashangaa sana mnavyokuwa mnasema system inakumbatia watu wa hovyo, watu wasiokuwa na uwezo, wala Rushwa.....!
Hivi mnashindwa kujua kwamba system ndio hao viongozi mnaowalalamikia? System itabadika siku CCM ikitolewa madarakani na SI vinginevyo..!
Umesema sahihi Mkuu, tatizo ni hao hao viongozi kujipenyeza na kuiendesha system
 
Back
Top Bottom