Muda ni Mwalimu mzuri sana: Siasa ni kama upepo, hubadilika wakati wowote

Haya maisha hayatabiriki kabisa, miaka michache iliyopita Humphrey Polepole alikua anawatukana sana Chadema na kuona Ccm ni watu wa maana sana... Leo hii hao hao Ccm wamemuua...
Dah!...acha tu mkuu....yashapita hayo na Kuna la kujifunza.
 
Nchi iliishi kwenye falsafa za Mwalimu Nyerere kwa miongo minne tu baada ya ikaingia kwenye mikono ya wahuni wanaoishi kwa mtazamo wa LIWALO NA LIWE.

2015 Mfumo ulituingiza chaka kwa mara ya kwanza nchi ikapata kiongozi mkuu kwa BAHATI MBAYA. yaliyofuata ni kulia na kusaga meno kwa kila mtu.

Nani atatutoa hapa ? Ni Mungu tu maana bado tuko shimoni.
 
Moja ya kosa kubwa ambalo sio vyombo vya usalama tu bali watanzania wengi tunafanyaga ni kuludia ludia mbinu iliyokuvusha wakati Fulani.
Sehemu uliyopaswa kutumia mbinu nyingine unalazimisha kutumia Ile ile unafikiri muda unakusubili.

Nakuunga mkono mkuu
 
Vipi kuhusu Profesa wa Majalalani na yule aliyekuwa Rais wa Maspika yote Duniani. Hawa wamevuka mto, je wapo ukingoni mwa mto? Au wapo mbali na mto???
 
Hili andiko limezidi kimo cha uelewa wako ww "kilamba mavi" wa Samia bora ungekaa kimya uendelee kubugia makombo ya mali za kifisadi anayawarushia Kahaba Chura..
Umejaa ujinga na chuki tu,chuki humuumiza aliyeihifadhi
 
Wakikuelewa siingii tena Jf 😀
Wabongo wanadhani CDM iko perfect ila usipofungamana na upande wowote ukatazama kwa utulivu Hamna kitu! Hamna kitu!!!! Watu watakuja tena hapa kulaumu wakipewa nchi
 
Nimesoma vitu ving Jf ila hili ni andiko bora kabisa nimelolisoma kwa umakini na hakika nimekubali bado hazina ya watu bora kwa taifa ipo.Hawa washenzi wanaotaka tuamini kutaka mabadiliko ni uhalifu watakoma tu ,siku yaja
 
Nimesoma vitu ving Jf ila hili ni andiko bora kabisa nimelolisoma kwa umakini na hakika nimekubali bado hazina ya watu bora kwa taifa ipo.Hawa washenzi wanaotaka tuamini kutaka mabadiliko ni uhalifu watakoma tu ,siku yaja
Shukrani mkuu 🙏🏽

Mabadiliko hayazuiliki ni aidha ubadilike au yabadilike
 
Wakikuelewa siingii tena Jf 😀
Wabongo wanadhani CDM iko perfect ila usipofungamana na upande wowote ukatazama kwa utulivu Hamna kitu! Hamna kitu!!!! Watu watakuja tena hapa kulaumu wakipewa nchi
CDM ilishafanya makosa makubwa sana na kwa sasa inaonekana ina nguvu kwa sababu CCM imetaitiwa.

Watu hawataki kulikubali hili, CDM inahitaji vichwa zaidi
 
Wakikuelewa siingii tena Jf 😀
Wabongo wanadhani CDM iko perfect ila usipofungamana na upande wowote ukatazama kwa utulivu Hamna kitu! Hamna kitu!!!! Watu watakuja tena hapa kulaumu wakipewa nchi
Kama kweli yupo anayeamini CHADEMA ni perfect huyo mtu ana tatizo kubwa. Kinachotakiwa ni tupate platform HURU na yenye HAKI kuweza kuchagua mtu sahihi na hata kama huyo mtu akizingua tuweze kumuondoa pia.
 
Bado wanajiaminishia kuwa nguvu ndio jibu pekee, i predict kutatokea civil unrest part II this time hawatoweza kuzuia
 
Uko sahihi sana.
Ila kwa upande fulani CDM haina mapya tena zaidi ya 29 October yaani kwa ufupi hakuna kitu mtanzania anataka kusikia zaidi nani kafanya nini wakati wa uchaguzi mwaka jana. Hakuna agenda yyte isiyogusa nchi ktk vurugu za mwaka jana. Kila mtanzania wa huku chini amesikitishwa na matukio ya mwaka jana. Kwa hiyo hata ufanye kamoeningani hakuna yanayozidi ya mwaka jana ndiyo maana hata wewe huoni tena katiba kichwani yapi matukio ya mwaka jana.
Sasa CDM wanaenda ktk mzizi wa tatizo wakati watu wengi wapo ktk tatizo.
Labda uniambie CDM wameshindwa ku link ya mwaka jana na katiba. Of which naona wanaharibu na wanakutana na barua nyingi tu za kujieleza.
 
Mimi naona CHADEMA wasijibu hizo barua, CHAMA chao kifutwe ili tuone kinachofuata.
 
Wakisha honga madini na rasilimali zote ni nini kitafuata? Ndiomaana nasema bado ipo siku Afrika itakuwa mikononi mwa wazungu kama koloni kwa mara nyingine tena
 

Ukiwa katika PR ama communications field , unachokisema hakina nguvu kama unakisemaje.

Sasa tatizo la CDM lipo katika kuchagua cha kusema na wanakisemaje. Lakini pia kufanya assumption kila mwananchi anajua kilichotokea 29 Oct au anajali sana. Ni kosa lingine pia kwa sababu kuna mikoa mingi hizo rapsha hazikutokea na kuna watu wengi ambao hawakuguswa directly lakini pia kuna kundi lililoikubali narrative iliyokuwa pushed na mass media

Imagine kwa hali unavyosema ipo, je inakuwaje Lissu yupo ndani almost mwaka lakini nguvu inayotarajiwa kumtoa ni ya nje zaidi kuliko wananchi husika.

Kama CDM ina nguvu na ushawishi huo ambao unadhani wanao. Kwa nini hakuna mitikisiko ama force kubwa kumtoa kutoka kwa wananchi ?..

Umeelewa point yangu sasa

Kama ningekuwa nipo ndani ya CHADEMA, nisingeongelea Katiba tu, ningejiumiza kichwa ni kwa nini watu wengi zaidi "wajali zaidi kilichotokea ama kinachopaswa kutokea"

Ndio maana sometimes siwaamini sana CDM kwa sababu kuna inconsistencies nyingi sana kwenye activities zao na sometimes wanabugi step au kubadili gia kirahisi. Pia Hit ikiwa kubwa ,viongozi huwa wanasaliti kambi kirahisi, rejea hali ya CDM baada ya uchaguzi wa 2020. Hii huwa inanipa mashaka kama kaburi lililopakwa chokaa, je ndani halina mifupa ya wafu ?....

Sipo CDM, sipo CCM , mimi ni mtanzania tu kwa hiyo sipo emotionally au mentally attached na hivi vyama. Nawe ukitoa kiasi hiyo attachment utaona picha halisi

I hope you do
 
Hatuhitaji lazima CHADEMA ifanikiwe, au ishinde ila SISI WANANCHI, tunachotaka WANANCHI wawe huru kuchagua viongozi wao wenyewe (siyo lazima wawe CHADEMA) na WATAWALA waache KUTEKA, RUSHWA, KUFIRA, KUUWA WATU, KUSWEKA WATU wasio na HATIA JELA, na KUIBA.

Mbona hii ni AKILI ndogo tu, kwanini haieleweki???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…