Muda sahihi wa kuiweka Dar es Salaam kwenye “lockdown” ni sasa

Kuna uwezekano watu wengi wanakimbia Dar kukimbilia walikozaliwa kwa maana ya vijijini. Watu hawa wanaenda wakiwa hawajui status zao kiafya zipoje. Kwa maana hiyo siku si nyingi Corona itabisha hodi vijijini ambako ndio maeneo yenye wazee wengi above 70 years.

Vijijini hakuna Barakoa, Wala vitakasa mikono, na watu vijijini wanaishi kijamaa Sana. Kwa maana hiyo Corona ikifika kwenye vijiji vyetu tutalia kilio kikuu. Tukumbuke kuwa kila Kijiji nchi hii kina watu Daresalam.

Viongozi wetu watoe tamko la lock down kwa Mkoa Daresalam kwa wiki tatu watu wake wasitoke kwenda kwanza mikoani. Pili ikiwezekana wakae ndani kwa Muda kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Meko roho yake ni mbaya na ni mkaidi.. anapenda kuona mfe wengi ndio roho yake inakuwa na amani. Au anapenda mtaabike.. refer back heslib kaongeza makato huku mishahara iko pale pale.

Refer waalimu....wahanga wa mafuriko.
Roho mbaya fc.. haiwezekani nchi nzima hutaki kusikia ushauri wa mtu hata mmoja
 
Wangeweka kituo cha upimaji pale Ubungo Bus Terminal ingesaidia sana, na hao wakimbizi wote wavae mask, sio kukimbia Corona Dsm, halafu wanaenda ambukizana ndani ya Bus then wanaipeleka vijijini kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
too late
 
Dar kwa sasa ni mzee wa ku - supply virus......mikoani nako vimeana kutema tu.
 

Ni upumbavu mkubwa zaidi kutochukua hatua kwa wakati sahihi. Mbona sasa watu wanakatazwa kukusanyika kwenye bar, au kuendesha bar sio kufanya kazi? It is just a matter of time, lockdown ya kulazimika itatokea.
 
Nchi iwekwe karantini na kwa kuanzia Mkoa wa Dar es salaaam ili ugonjwa usisambae nchi nzima ,Mungu anawaona.
 
kama umefika huko tabora ni hatari tupu
 
Sw
Wangeweka kituo cha upimaji pale Ubungo Bus Terminal ingesaidia sana, na hao wakimbizi wote wavae mask, sio kukimbia Corona Dsm, halafu wanaenda ambukizana ndani ya Bus then wanaipeleka vijijini kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Swali fikirishi je tuna kipimo cha kupata majibu ndani ya dk 15 km nilivyo ona china
 
Hello ndugu.
Nimesikia tetesi watu wengi wanaondoka Dar wanakuja mikoani kisa Dar maambukizi ni makubwa.
Sijathibitisha hili ila kama ni kweli serikali iliangalie hili kwamba wote wanaokuja mikoani wapimwe kwanza maana mtu anaweza sema anakimbia corona kumbe ndio anausambaza.
Kamati ya janga tunaomba mliangalie hili kwa upana.
 
Hao walijazwa uoga na Mabeberu

Rais Magufuli amefanya maamuzi sahihi Mungu anatupesha na corona

Wabaki Dar
 
Jirani na ninapokaa kuna mtu karudi kutokea Dar na kwa mujibu ya maelezo yake amekimbia Corona.

If you can't beat them join them.
 
Mwingine aliloweaga Dar miaka mingi kakuta nyumba ya babu yake alipokulia ilishakuwa Guest House huku Mwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…