Muda umefika nchi za kiislamu na dunia iiambie Israel wacha na inatosha

Acheni uongouongo. Israel ilikuwepo kabla ya Palestina. Acheni uongo wenu ili muonewe hurumahuruma.Dawa ya mpuuzi kipindi fulani ni kipigo tu.Unapiga yeye hadi paka wake.
Huruma yananiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mwaka 1948 hua wanaadhimisha kuundwa kwa nini?
Hoja huna kapate baraka
 
Mkuu dunia haina cha kufanya! US,UK na nchi za EU,Waarabu,Russia,China,nk zote hazina cha kufanya!
Ni mpaka Netanyahu atakapoamua mwenyewe kusimamisha vita!
 
Tuliwaambia, October 17 mliposherehekea, mtalia hadi machozi yaishe. Hamkuamini.

Tulieni Israel haijasahau kitendo kile. Mtalipia zaidi ya mlivyochokoza.
 
Tuliwaambia, October 17 mliposherehekea, mtalia hadi machozi yaishe. Hamkuamini.

Tulieni Israel haijasahau kitendo kile. Mtalipia zaidi ya mlivyochokoza.
Huu mwaka israhell lazima atatema bungo lazima
Kuua watoto hakutamsaidia lolote maadam wanaume wanapiga kazi kama kawaida
 
Umekazania mwaka 1948 utadhani maisha yalianza mwaka huo.Hivi wewe upo sawa kweli?
Waulize wanaoshangilia kuundwa kwa taifa lao mwaka huo
Usinambie mimi wewe na wenye nchi yao ya wizi wanaoshangilia mwaka 48 wapi hawapo sawa?
 
Kabisa aisee, Dunia imechafuka kabisa.

Unyama wa Putin huko Ukraine unalaaniwa kweli kweli na wakubwa wa Dunia ila hapo Gaza unaambiwa Israel inajilinda.
Ni kweli anajilinda dhidi ya ugaidi
 
Nyie lgbtq+ mpaka sasa mmekomboa magaidi wenu wangapi
Si mmeisha waua! Sasa kichapo mtakipata mpaka Gaza ibaki mavumbi na huyo Shetani wenu Allah hana nguvu hizo za kuwakomboa; na kule Lebanon kila kukicha Hezibullah tunazidi kuangamiza viongozi wenu. Mlilieni shetani wenu awakomboe
 
Kesho uende na mwenzio mkapate baraka
Au uende ukanunue papae laki 7 ndio akili zenu zilipoishia hapa
 
Ndio maana papa anataka mubarikiwe nyie
Anajua kama anadili na misukule huko jumaapili
1948 ndio israhell ilitengenezwa uhishe kwakua jumaapilia group
Kwa hiyo,ukitulia na kufikiri kwa uzuzu wako uliopea viwango,unajua Israel "iliundwa" mwaka 1948?Jamaa zuzu wewe!Utakuwa umevaa nyanyapensi saa hizi unavuta uradi kwenye fensi ya masjid.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tulia Netanyahu apambane na magaidi. Unahorojoka nini?!
Au umesahau Hamas waliua Watanzania wenzetu bila hatia?
 
Kwa hiyo,ukitulia na kufikiri kwa uzuzu wako uliopea viwango,unajua Israel "iliundwa" mwaka 1948?Jamaa zuzu wewe!Utakuwa umevaa nyanyapensi saa hizi unavuta uradi kwenye fensi ya masjid.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ndio maana munauziwa papai laki tisa kwa hizi taka taka mlizojaza kwenye hayo marikiti
Baraka ushapewa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…