Muda umefika nchi za kiislamu na dunia iiambie Israel wacha na inatosha

Wanaojiita 'civilized world ' walishakosea toka awali....wao walisema Israel ina haki ya kujilinda wakasahu huko kujilinda kuna mipaka yake.

Kwa unyama uliofanyika hapo Gaza sidhani kama kuna hiyo inayoitwa 'International law order ' bado ipo.
Tukiangalia pia kile alichokifanya Putin kule Ukraine inatia mashaka kabisa kama International law order ingali bado ipo tena siku za hivi karibuni
 
Netanyahu ameshasema hata mateka wakiachiliwa haitasaidia kitu.Huoni kuwa ameshakuwa kichaa na ni lazima ashikwe mkono afungwe kamba.
Hii vita itakuwa ngumu kuisha kwa sababu kadri inayoendelea ndivyo inavyomuepusha Netanyahu na matatizo makubwa ya kisiasa ndani ya Israel na hata kufungwa jela kabisa. Hamas pia ni wapuuzi sana.
 
Hii vita itakuwa ngumu kuisha kwa sababu kadri inayoendelea ndivyo inavyomuepusha Netanyahu na matatizo makubwa ya kisiasa ndani ya Israel na hata kufungwa jela kabisa. Hamas pia ni wapuuzi sana.
Ina maana Netanyau anairefusha makusudi kwa manufaa yake binafsi...

Demokrasia ya Israel imetekwa na wahafidhina wenye siasa kali za mrengo wa kulia.
 
Imeisha kabisa. Sasa katika dunia kila mwenye nguvu hataweza kuzuiwa kimahakama.
Dunia inaelekea kuwa uwanja wa fujo.
Walaaniwe Netanyahu, Putin, Hamas, Hezibollah na utawala muovu wa Iran. Pia tuzikumbuke Sudan na Congo.
 
Ina maana Netanyau anairefusha makusudi kwa manufaa yake binafsi...

Demokrasia ya Israel imetekwa na wahafidhina wenye siasa kali za mrengo wa kulia.
Hakuna sababu yoyote ya hiyo vita kuendelea mpaka sasa hivi isipokuwa maslahi binafsi ya Netanyahu na far rights wa Israel. Vita ikiisha Netanyahu atakabiliwa zaidi na mbinyo katika mashitaka yake ya ufisadi , mgogoro wa kutaka kupunguza mamlaka ya mahakama ya Israel na pia uchunguzi maalumu iliwezekanaje Hamas wakafanya shambulio kubwa hivyo bila vyombo vyote vya usalama kung'amua mapema hiyo mipango.
 
Bip
Vip Hamas kile kichapo hapeleki tena mkuu
 
Punguza jazba! Acha magaidi washughulikiwe maana wao ndio walianza uchokozi Oct 7
Mimi na jazba wapi na wapi, nyie wafuasi wa taifa teule huwa magaidi kwenu ni wale wanao pigania haki zao.

America anaye tokea mbali kuja Middle East kupigana yeye sio gaidi, kavamia Iraq ohh ana mass destruction, kavamia Libya oh Gaddafi ni dictator anauwa watu wake.

Kavamia Syria kwa same story.

Kule Asia kavamia Vietnam sijui kwa reason ipi mpaa leo πŸ˜„ kavamia Japan na nchi ya kwanza kutumia Nuclear kuteketeza binadamu na bado mnamuona sio gaidi haha.

Kaenda Korea kugonbanisha ndugu mpaa leo nchi imegawanyika South na North yote sababu ya US

Kaenda Afghanistan oh sababu ya Osama, kwani Osama ni nchi yake Afghanistan yule nimkimbizi yeye madictotor wangapi wanakimbilia kwake kwa wengine kosa.

Kamtumia Ukraine kumgombanisha na Mrusi na anawapeleka Europe nzima wawe kitoweo kwa Mrusi yeye yuko mbali huyo si gaidi

Shoga yake Israel hivyo hivyo yeye akipiga ni self defense, wengine wakimpiga Terrorist group πŸ˜„

Hamasi haku uwa hata mtoto mmoja wa Israel, dunia nzima ilipiga kelele oh women ,children, toddlers and elderly were brutally butchered in an ISIS way of action na Hamasi, mpaa leo hakuweza kuonyesha hata picture au video hizo.

Biden na Western leader mpaa kule Canada walirukia kuzua uwongo huo, leo Israel anafanya ushenzi kuliko huo mmesikia kuna mmoja wao kaongea hivyo.

Ukristo na Uyahudi ni unafiki tu hawana lolote zaidi ya uwongo.
 
Nilichojifunza kwenye huu mgogoro ni kwamba Mwarabu anatofautiana rangi tu na Mtanzania, akili zao zinafanana. Haiingii akilini kwamba pamoja na chumi zao kubwa na bajeti kubwa za kijeshi, Waarabu wanashindwa kumsaidia kabisa Palestina. Kikubwa unachosikia kwa waarabu ni Bahrain kaungana na US na Uk kuwahujumu Houthis wasiwapambanie Palestines, kesho itasikia director wa Mossad alikuwa na vikao vya siri na viongozi wa kiarabu, siku haijaisha utasikia Jordan ime intercept makombora na drones za Iran zilizokiwa ziishambulie Israel, hujakaa sawa utasikia mataifa ya kiarabu yanayoiuzia mafuta Israel yamegomea proposal ya Iran ya kuwawekea oil embargo Israel nk nk. Mifano ni mingi inayodhihirisha kwamba huenda viongozi wq waarabu ni vimada wa Marekani so hawawezi kufanya chochote kumu upset bwana wao.
 
Na ndiyo maana nimeandika kwa ujumla. Siungi mkono mauaji. I wish dunia ingekuwa ni mahali salama kwa binadamu wote kuishi kwa amani.

Hili gazeti utasoma mwenyewe
 
Timeline ya huu mgogoro ikoje? Kwani unaanzia October 7? Si mgogoro kiumri ni mkubwa kuliko Hamas? How alichokifanya Hamas kiwe ndo sababu ya kutowatetea Palestines ambao wananyanyasika toka kuundwa kwa taifa lao?
 
Mgogoro umekuwa wa muda mrefu kwa sababu ya kuchukua mlengo wa kidini na siyo nchi kama wengi tunavyoaminishwa. Hivi waisrael wakisilimu na kuwa waislamu, huo mgogoro utaendelea?
Hamna mkuu hii unatengeneza mwenyewe kujaribu kukimbia hoja. Israel kama taifa lina raia wa kiisilam na Palestina ina raia wasio waislam so issue ni ardhi sio imani za kidini
 
Msikiti TV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…