Muda umefika nchi za kiislamu na dunia iiambie Israel wacha na inatosha


View: https://www.tiktok.com/@hananyanaftali/video/7293085826391543058?is_from_webapp=1&sender_device=pc
 
Wewe ni Muislam mpya enh.. uongo uongo tokea mnapoanza madrassa.. Wenzio wameshindwa kuonyesha hao watoto wala majina ya watoto wanaosemwa kila siku wamekufa.. Statics zilionesha Gaza watoto wameisha wote.. so Muslim mnatumia Taqiyya kuhadaa ulimwengu..

Majuzi tu nimesikia Mohamed Dief mtoto wake kafa akiwa na umri wa Miezi nane... inamaana Gazans wapo free kutiana na kuzaliana tofauti na news tunazopokea kutoka kwa mashehe aljazeera wazee wa fix.. mara njaa watu wanakufa mwenyewe kwa kukosa chakula... Hesabu zikapigwa chakula kilichoingizwa Gaza kinazidi idadi kwa wingi kuliko kabla ya vita... Huko mahakamaniGeigi wanaona aibu tu.. wameshindwa kuwashawishi hamas wao waachie mateka me nadhani mateka wengi wapo Misri ushenzini..
 
Hebu tupatie japo kapicha kamoja ka mama aliyekufa na hao watoto wakiwa maeneo yasiyo na vita.. au Hamas kutumia shield wanadhani watapona enh
 
Nimesoma english translations kuna sehemu eti Hakuna God and kuna sehemu Allah eti ana knowledge hahaha tokea lini sanamu Allah linalomiliki mjengo wake pale kaaba likawa na akili? labda linalo Knowledge ila linautindio wa ubongo kwa kusahau halijui kipi liliumba kwanza kati ya mbingu au nchi Quran ni kidhibitisho cha uongo mmelipandikiza sanamu pale Kaaba na kulipa sifi zisizo zake ndio maana mnapagawa na kujitetea hamuwezi zaidi ya kuzidisha uoongo zaidi yaani tetezi zenu zina haribu zaidi

Surah 41:9 aliumba Dunia kwanza then Mbingu

Surah 79:27-30 Aliumba mbingu kwanza ndipo Dunia hahahaha
Quran nayo ni Dhaifu hadith hahahahaha

Alafu nilishakuambia mara nyingi Allah sio self subsisting eternal = Kiti chake kimebebwa na 8 angels tena wana vicha kama vya ndege same na zile sanamu za Egypt
 
Nakumbuka oktoba 07 mwaka jana humu ukijiita ALWAZ kabla ya kubadilisha jina ya ID yako webabu ulikuwa unakata mauno kweli kweli.

ISRAEL DON'T SORT THEM JUST KILL THEM ALL.
 
Hao wajanja wanatafuta baraka. Mungu mwenyewe kasema ukiibariki Israel utabarikiwa ukiilani utalaaniwa. Angalia sasa wanailaani taifa teule hata Allah mungu wa kiarabu kashindwa.
 
kweli hawajajifunza lolote? sidhani
Hivi wewe unadhani Hamas hawakujua kinachofuata baada ya kuchukua hao mateka? ... in simple logic they knew that they were going to war with Israel, USA and all their allies. Unadhani hawajui kuwa wao ni inferior kijeshi na wanaopigana nao? ... it's very obvious wanalijua hilo, wao wakiwa kama jeshi tu kujiiba iba na kujitolea haliwezi kupigana na majeshi imara zaidi duniani!

Hao ni watu wanaopigania uhuru wao! ... ni dhahiri kwao wao kifo ni bora kuliko utumwa na udhalili wanaouishi!

Ukimaliza kuishabika Israel na washirika wake kwa kuichakaza Gaza pia anza kusherehekea ukoloni wa wazungu kwa mababu zako. Mababu zetu waliposhindwa nguvu na wazungu walikubali kuwa watumwa (na hatuwezi kuwalaumu) ila sisi kama kizazi cha watu tuliopitia utumwa tunapaswa kuthamini ujasiri waliokuwa nao wapalestina kwa kufanya kile ambacho mababu zetu hawakuweza kukifanya.

Hii si vita kati ya Israel na Hamas, hii ni vita kati ya Israel, USA na washirika wao dhidi ya raia wa wakazi wa Palestina! ... This is ethnic cleansing!
 
Hao wajanja wanatafuta baraka. Mungu mwenyewe kasema ukiibariki Israel utabarikiwa ukiilani utalaaniwa. Angalia sasa wanailaani taifa teule hata Allah mungu wa kiarabu kashindwa.
Such a brain washed minded person! ... tawala nyingi za mataifa ya kiarabu ni allies wa USA, either waliwekwa madarakani na western power ama wanabakia madarakani kwa kulindwa na western power! ... mmoja wao ni Saudi Arabia.

USA controls the middle east, na wale ambao walishindwa kuwa-control wanawa-eliminate i.e. Saddam Hussein!
 
Qur'an 41:9 imesema wazi kabisa aliumba ardhi na vilivyo ndani ya ardhi kisha akaelekea kwenye mbingu.

Hio Surah 79:27 sio kumba bada ya kumaliza kutengeneza mbingu alirudi kuitandaza ardhi sio kumba kuna tofaouy kati ya created and spread the earth. wewe dogo vipi lakini ulishia dara la tano tu ndio mana unapata shida kufahamu.

Kuhusu swali la Quran kusema Hakuna Mungu zaid ya Allah, hio iko wazi kabisa hakuna Mungu mwingine zaidi ya Mungu aliye umba kila kitu si Yesu, si ngo'mbe si Sanamu au sijui nini nyoka, sijui nani au binadamu.

Mungu hafananishwi hazai wala hazaliwi nyie mnao sema Yesu ni mtoto wa Mungu je mliona kama Mungu ana Gender ya kiume?

Nyie bakini mnafananisha mkisha ingia kaburini ndio, ukweli mtaufahamu si Yesu au hayo mnayo abudu kama yatawasaidia endeleni kumzulia Yesu kafa kwa ajili ya dhambi zenu 😄

Aliye kuambia Kaaba ni sanamu nani wewe hivi unajua nini sanamu? Sanamu ni mfano umejenga kitu ukakifananisha na binadamu, ngo'mbe, nyoka ufananishe na kitu kina roho eti Kaaba ni sanamu 😄

Masabamy yapo kanisani dogo sio kwenye Masajidi
 
Wapalestina ni makatili awe ni mtoto, mwanamke wa hijjab na ha dume terrorists. Hamna wa kumuonea huruma.

View: https://x.com/LizaRosen0000/status/1812585559707238526
Nimeipata hii video ambayo inaonyesha Huyu Isalamis mwanamke anamchoma kisu Askari wa Israel baada ya hapo akachezea kichapo cha maana
Hebu faidini hiyo sinema; maana hii mijitu si ya kuionea huruma
Your browser is not able to display this video.
 
Haya bwana, mimi sitaki kuwa DEAD HERO! You can achieve the same results through safe means. Najua ni ngumu na inachukua muda, lakini mateso ninayayaona Aljazeerah kwa wapalestina hayana sifa ya ujasiri!
Sipendi wanachokifanya Israel, lakini Hamas vile vile this is not the right way kudai haki yao!
 
Hivi hao Mateka Wana Faida Gani Kwa Mfano hivi Naomba ufafanuzi Maana hapo IDF ndio inapata Sababu ya Kuua Hovyo
 
Kwanza walishikiana na Idd Amin pamoja na Ghaddafi kwenye vita vya Kagera na juzi Oct 7 waliua Watanzania wenzetu wawili. Waliwauwa kama vibaka.

Washughulikiwe bila huruma
 
Yaani mtu anajifahamu ndio master mind na stategy wa hiyo vita ya watu hao unaowatetea

Halafu unqjificha kwao ukijua kabisa unahatarisha jamii yako pia

Kama kweli ana nia nzuri ya kinamama na watoto wanauwawa kwanini anajificha katikati yao huo bdo uharifu wq kivita
 
Hakuna anaependa kuona mauaji kamanda, na binafsi pia sishabikii ujasiri wa wapalestina kwasababu kushabikia ni rahisi kuliko uhalisia wanaopitia wao pale Gaza. Ila ninachopinga ni pale mtu aliefungwa minyororo ya akili na wazungu kushabikia wapalestina wanavyouliwa, tena kwa hoja dhaifu kabisa ya eti Israel ni taifa la Mungu!

Ndo pale ninaposema kama huwezi kukemea mauaji haya ya kinyama basi angalau thamini ujasiri waliokuwa nao hawa watu. Sisi Afrika ya leo ni matokeo ya kushindwa kwetu kujipambania dhidi ya hawa hawa wazungu tunao washerehekea leo kuua na kukalia kimabavu watu wengine.
 
Shida hata huyu mwandishi mwenyewe anaamini Hamas wanapigania Dini yao

Sababu Dini yao pamoja inawafundisha Wayahudi ni Maadui wao na Wakristo.

Guerilla war haipigwani Urban area karibu na wananchi akajifunze ANC na Makaburu, Samora Machel na Portuguese na vita za Angola

Vita ya Hamas na Israel ni ya kidini zaidi ndio maana mmoja anaopt misamiati ya Dini yao akiamini watu kufa wengi ni kupata Huruma na Kuhamsha wafia dini kupambana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…