Muda umefika nchi za kiislamu na dunia iiambie Israel wacha na inatosha

Muda umefika nchi za kiislamu na dunia iiambie Israel wacha na inatosha

Umechanganyikiwa?! Kunywa maji
Nyie waoga mko tayari nchi kuwaachia wahamiaji ndio ukweli huo akati sisi ni dhambi kubwa kuachia ardhi yako unapovamiwa hutaona muislam akiondoka wataondoka wazee na watoto sisi tunaongea na JW mafunzo ya wiki tayari tunaingia mzigoni mpaka kieleweke maana hizo ni thwabu za bure na ukifa peponi tena nazikwa bila kuoshwa raha ilioje
 
inachofanya Israel sasa kwenye jimbo la Gaza ni unyama ambao unapaswa kuzuiwa kivitendo na si kwa lawama za mdomo tu.

Kwa muda wote wa miezi 9 ya vita Israel imeachwa ifanye inavyopenda kwa watu wa Gaza.Wamehamishwa mara mia na sasa wamechoka na hata mikoba yao ya kuhama hama imewapotea.

Iwapo Israel inachotafuta haijakipata basi ni wakati wa kushikwa na kuambiwa inatosha na wacha.Ni kawaida ya binadamu kumzuia mtu katili anapoonekana anamuumiza mwengine kwa sababu yoyote ile.Hali ikifikia hapo huwa hatuanzi kuuliza nani mkosa bali tunazuia uovu na ukatili unaofanyika.

Hukumu za mahakama na lawama nyepesi hazina maana yoyote.Hata wale wanaojidai kuitambua Palestina hawajafanya lolote la maana kuwasaidia watu wa Gaza ambao hata sauti na machozi vimewakauka mwilini.
Bila kufanyika hivyo adhabu za kutoka kwa muumba tunaomba ziwashukie kila mmoja mwenye uwezo wa kuishika mkono Israel lakini amekaa kimya bila kufanya chochote cha maana.

Leo hii watu zaidi ya 70 wameuliwa eneo la Mawasi ambalo watu waliambiwa wakimbilie na ni sehemu salama.Watu na watoto wamebakia vipande vipande

An Israeli attack targeting the Hamas military commander kills at least 71 in southern Gaza

Kwani waliokufa si wanaenda mbinguni shida iko wapi??

Au hakuna mbingu?
 
Nchi za kiislamu zilizojaa wanaume wanawaza kuoa wake wanne na kuacha kwa talaka. Kisha waoe wengine. Ndio hao unataka wamkemee ama wapigane na muisrael.

Mamamae watachinjwa kama kuku. Myahudi huwa halei wazembe
 
Waisrael wenyewe wanawaza kuingiliwa hao si ndio matope kabisa lini watawashinda wanaume wa kweli yan gorila war imewaacha taabani leo wameamua kushusha bomu kwenye mkusanyiko wakitegemea atapatikana walau hamas mmoja humo, mbinu zimeisha zayuni anachomeka vibaya mno N,B nazungumzia IDF
 
Walishindwa Iraq,libya,chechinia,na Syria waende palestina wanaumwa , Israel 1967 aliwatwanga wote wanamjua ndio maana unasikia matamko tu kama bawacha

USSR
Nyie watu mmezidi sasa, hata ukiletewa mavi ya mzayuni uambiwe uyale utapata baraka kutoka kwa myahudi, utaamini sio! Ndio hayo sasa mnaaminishwa uongo nanyi mmeishikilia sana, AFRIKA NI AFRIKA tu, ndio maana tulitawaliwa na wakoloni
 
Waisrael wenyewe wanawaza kuingiliwa hao si ndio matope kabisa lini watawashinda wanaume wa kweli yan gorila war imewaacha taabani leo wameamua kushusha bomu kwenye mkusanyiko wakitegemea atapatikana walau hamas mmoja humo, mbinu zimeisha zayuni anachomeka vibaya mno N,B nazungumzia IDF
Umelishwa ujingaujinga mwingi sana.Kwa hiyo Waisraeli wote wanaingiliwa?Kwa ushahidi na takwimu zipi?Tulia na ujieleweshe mambo.Chuki zisikutawale kwa kurithishwa adui.
 
Nchi za kiislamu zilizojaa wanaume wanawaza kuoa wake wanne na kuacha kwa talaka. Kisha waoe wengine. Ndio hao unataka wamkemee ama wapigane na muisrael.

Mamamae watachinjwa kama kuku. Myahudi huwa halei wazembe

Wewe sijui upo dunia ya wapi, wanajeshi wa israel wanakufa sana, sema media zetu zinaficha, ingia eye palestine, aljazeera n.k uone media zinatoa ukweli, achana na media za akina milard ayo n.k

Wao wanauwa watoto, wamama na wazee ndicho wanachoweza, na leo kama sikosei wamelipua jengo kwa kutumia bomu katika mabomu aliyopewa na kafiri mwenzie marekani
 
Mkuu dunia haina cha kufanya! US,UK na nchi za EU,Waarabu,Russia,China,nk zote hazina cha kufanya!
Ni mpaka Netanyahu atakapoamua mwenyewe kusimamisha vita!
Hii ni mbaya kwa mustakbali wa dunia.Watu wanyonge watapata akili na hakuna cha kuwaambia upuuzi wa UN na mahakama za kijinga jinga.
Mtu anaachiwa anauwa na kugaragaza akinamama kama watu hawapo au wamelala.Hakuna eneo salama wala nini anauwa tu.
Huo sio ushujaa ni uwendawazimu
 
Tuliwaambia, October 17 mliposherehekea, mtalia hadi machozi yaishe. Hamkuamini.

Tulieni Israel haijasahau kitendo kile. Mtalipia zaidi ya mlivyochokoza.
Watoto na akinamama ndio wanalipia unyama wa israel ?
Hajafikia malengo akae chini ajiulize tena.Nini kimempata.
 
Hii ni mbaya kwa mustakbali wa dunia.Watu wanyonge watapata akili na hakuna cha kuwaambia upuuzi wa UN na mahakama za kijinga jinga.
Mtu anaachiwa anauwa na kugaragaza akinamama kama watu hawapo au wamelala.Hakuna eneo salama wala nini anauwa tu.
Huo sio ushujaa ni uwendawazimu

View: https://www.instagram.com/reel/C9YCHFcKRh_/?igsh=MWJnNGF1ZDhjOGdocw==

Ndicho wanachoweza, ila kupambana na wanaume ni ZERO ZERO

View: https://www.instagram.com/reel/C9XwVYTtoe-/?igsh=MWR3enhsMGlhcDk3aQ==

Israel imetumia mabomu ya mk84 ya mmarekani, mabomu ya kg2000 yenye vilipuzi vya kg400, katika mauwaji ya Mawasi khan younis leo
 
Kesho uende na mwenzio mkapate baraka
Au uende ukanunue papae laki 7 ndio akili zenu zilipoishia hapa
Islam inapumulia mashini, ICU wewe fuatilia pale speakers corner utaona mnavyo lose debate kwa sasa-kwishne mmebaki kushabikia Kamasi zenu za Gaza. Na leo the second ranking Kamasi leader in Gaza, Mohammed Deif amepelekwa mawinguni akakutane na mabikira wenu 72. Mtaisha mpaka Gaza iwe vumbi
 
Bora wanaokazana na swala tano kuliko mnaoenda kupeana baraka makanisani
Ushapata baraka?🤔
MimI siendi kanisani kupata baraka ninenda kuboresha mahusiano yangu na Mungu wangu. Mtu anakazania mtoto Madrasa kuliko shule. Mtu anaitwa sheikh anatoa mahubiri hana hata degree ya theology au philosophy. Kuna kuijenga jamii hapo ? Kama uislamu uko vizuri kwa nini wakimbizi wa Syria,Iraq, Libya , Afghanistan na Lebanon wanakimbilia Ulaya na Marekani na sio Uarabuni.
 
Back
Top Bottom