Balozi ndio mtu wa kwanza anayefahamu wananchi wake wanaomzunguka .. System yote ya serikali na sekta binafsi inawatambua.. wewe unayesema hawapo kwenye katiba na ukienda serikali ya mtaa unahudumiwa vizuri wanakuchekea wanaokuhudumia mm ukija kwangu huna barua kutoka kwa balozi sikusaidii chochote na nenda popote unapotaka ata ..mahakaman kwenyewe bila barua ya balozi upati dhamana..