Muda umefika wajumbe wa nyumba kumi wapatikane kwa kushindanisha vyama vyote kama ilivyo kwa viongozi wa mtaa, Kijiji na kitongoji

Muda umefika wajumbe wa nyumba kumi wapatikane kwa kushindanisha vyama vyote kama ilivyo kwa viongozi wa mtaa, Kijiji na kitongoji

Du! Elimu ya uraia ngumu sana kwa baadhi ya watu. Toka 1 Julai 1992 hatuna mabalozi kiserikali
Mimi nilipoenda kusainisha fomu ya bodi ya mkopo(HESLB) kwa mwenyekiti wa mtaa nilitakiwa barua ya balozi!
 
Balozi ndio mtu wa kwanza anayefahamu wananchi wake wanaomzunguka .. System yote ya serikali na sekta binafsi inawatambua.. wewe unayesema hawapo kwenye katiba na ukienda serikali ya mtaa unahudumiwa vizuri wanakuchekea wanaokuhudumia mm ukija kwangu huna barua kutoka kwa balozi sikusaidii chochote na nenda popote unapotaka ata ..mahakaman kwenyewe bila barua ya balozi upati dhamana..
Balozi wa nyumba 10 hayupo kikatiba.
 
Ni kweli.
Muundo wa serikali unahitaji kushuka chini Kwa ngazi ya ubarozi.
Kwa Sasa chama tuu ndo kina mabarozi serikali Haina mabarozi.
serikali inapiga kimyaaa... inaogopa kuombwa mshahara punde tu ikiwatambua ki hivyo mtakavyo
 
Back
Top Bottom