Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Mimi nilipoenda kusainisha fomu ya bodi ya mkopo(HESLB) kwa mwenyekiti wa mtaa nilitakiwa barua ya balozi!Du! Elimu ya uraia ngumu sana kwa baadhi ya watu. Toka 1 Julai 1992 hatuna mabalozi kiserikali