Muda upi ni sahihi kwa mume kurudi nyumbani?

Muda mzuri kurudi nyumbani baada ya kuwowa ni saa saba mchana, hapo utafurahia ndoa mnoooo
 
Ikiwa ww ni muislam unatakiwa kurudi nyumbani kabla ya saa 2 ucku. Japo kuna dhalula inaweza ikakufanya uchelewe zaidi ya hapo, muda unaomaliza kazi , umbali kutoka kazini hadi nyumbani , foleni barabalani lkn kama huna ch muhimu , kupiga soga na marafiki, kupitia bar nk rudi kabla ya muda huu na unaswali insha na mke wako inapendeza zaid
 
Utiifu na kupendana ni muhimu.. mke inabidi amtii na kumpenda mmewe na hivyo hivyo kwa mme.. so mda wowote ataoamua kurudi mme .. mke inabidi atii ili asianzishe migogoro ndoani
 
Imekaa vizuri sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukimaliza kazi rudi nyumbani hata kama ni saa sita mchana rudi kwa mkeo kwanza.
 
Saa 12 jioni na kutoka hadi asubuh full stop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…