SIERA
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,789
- 3,413
Kabisa na hata kufika kilele akikosa hisia na wewe atachelewa sn au hata asifike. Ila akiwa na hisia na wewe achelewi kabisaaaa
Ndio Sayansi ya mapenzi iko hivyo ik wengi hawalielewi hilo, wanafikiri mwanamke ni mtu anaweza kulainika kwa mwanaume yoyote tu kisa umemchezea[emoji3] Sio kweli , mwanamke hisia zake kwako Ndio zitakufanya na wewe uenjoy akiwa hana hisia na wewe hata iyo game utaiyona ya hovyo