Muda wa kuchukua fomu ya urais ACT bado unaendelea? Nguvu kutoka ndani inaendelea kunisukuma

Muda wa kuchukua fomu ya urais ACT bado unaendelea? Nguvu kutoka ndani inaendelea kunisukuma

Mohamed Abubakar

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2014
Posts
1,127
Reaction score
1,290
Mimi si mwanachama wa chama chochote. Hata hivyo ninawito kutoka ndani ya nafsi ikinitaka nigombee nafasi ya Urais wa JMP.

Nafsi yangu inaniambia niwatetee CHADEMA, WAISLAM NA WAMASAI DHIDI YA HISIA ZA KIBAGUZI ZINAZODAIWA KUWAKANDAMIZA DHIDI YA USHIRIKI HURU KATIKA SIASA, MAKAZI NA SHERIA ZA KIBAGUZI.

Nafsi yangu inaniambia kupitia kauli mbiu ya
"Pamoja dhidi ya Ubaguzi"

"Haki kwa Waislamu, Chadema, Wamasai, na Kila Mtanzania"

Kauli hii ndio itakayolinda Kura zao.

Suali: Je muda kuchukua fomu nafasi ya Urais kupitia ACT bado haujafungwa?

Pili: Kwa kuwa huu ni wito kutoka kwa Mungu nahitaji likes 1000.

Comments:

STICTLY kwa wanaounga Mkono hoja tu.
 
Back
Top Bottom