Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Chakula chako cha kila siku, unakipataje?Mimi kama little boy nipo huru kwa jina la YESU mkuu
Hatuishi kwa mkate tu bali kwa kila neno asemalo MUNGU, pata chakula kisicho haribikaChakula chako cha kila siku, unakipataje?
Acha tu maisha ni kuchagua unaweza kuamua kuwa huru wakati wEnzio wanahangaika!
Kuwa huru sana pia ni kufa mapema, mwili uchangamke ili utengeneze mmeng'enyo wa chakula, hamu, kinga za mwili ziimarike, uchovu upatikane ili upumzike vizuri usingizini na kuzalisha seli zitazosaidia kazi mbalimbali mwilini.Sehemu kubwa ya maisha ya mwadamu yametawaliwa na maangaiko. mfano:-
Kuanzia umri wa miaka 0-5 yupo huru Miaka 6-25 au zaidi yupo kwenye miangaiko ya shule Miaka 25-70 yupo anapambana na kazi ili apate mkate wa kila siku. Miaka 70-75 yupo huru Baada ya hapo ni kifoKwa hiyo, muda wa kuwa huru kwake ni mchache sana.
Aya chagua mwenyewe, kuwa huru au kuangaika.
Maangaiko mengine ni mboga mboga wamewasababishia makusudi tu
Ni heri sana tulipo duniani tusiongeze watu wengine duniani ili kuepusha mambo kama haya....Acha tu maisha ni kuchagua unaweza kuamua kuwa huru wakati wEnzio wanahangaika!
Achana na mambo ya imani/kusadikika; China iliweka pembeni imani, sasa hivi ni nchi yenye viwanda vingi vya kila aina.Hatuishi kwa mkate tu bali kwa kila neno asemalo MUNGU, pata chakula kisicho haribika
Sasa unamzalia nani hao future kidsChukueni hii..
Ili yaitwe maisha hayo mambo yanahitaji kuwepo!Ni heri sana tulipo duniani tusiongeze watu wengine duniani ili kuepusha mambo kama haya....