Muda wa kuwa huru duniani, ni mchache sana kuliko muda wa miangaiko

Ndio, lakini hakuna faida yoyote zaidi ya hasara.... Wewe hapo ukipewa option ya kuzaliwa au kutokuzaliwa utachagua kutokuzaliwa.

Kwanini basi utembee na hisia badala ya ufahamu?
Kwanini nichague kutozaliwa?

Kutumia ufahamu lazima
Uweze ku reason kwa kutumia logic, tofauti na hapo wote tutabaki kwenye hisia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…