Muda wa kuwa huru duniani, ni mchache sana kuliko muda wa miangaiko

Ili yaitwe maisha hayo mambo yanahitaji kuwepo!
Gen Z ni janga la kidunia, kila kitu wanataka kurahisishiwa tu yani, huko mbeleni kuna majitu hata kujamiiana yatakuwa yanaona ni kazi ilihali wahenga wa 1920 - 1990 ni starehe.

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…