Muda wa mapinduzi vyamani ni sasa

Ili watz akili zao zizibuke
Ajabu na kweli nyuzi za wazi kama hizi wenzetu kabisa kindaki ndaki huwezi kuwaona. Wanapita juu kwa juu kimya kimya. Hofu na mashaka kuwaudhi wakubwa. Kwa lipi?

Usiku ni usiku wala hautabadilika kuwa mchana kwa kujidanganya tu.
 
Wapinzani SAsa wanalamba asali, Lisu kapewa pesa zake, Mbowe account zake zimefunguliwa, wahangaike na nini na watu wasiojitambua wakati 2025 goli lipo wazi.
 
Wapinzani SAsa wanalamba asali, Lisu kapewa pesa zake, Mbowe account zake zimefunguliwa, wahangaike na nini na watu wasiojitambua wakati 2025 goli lipo wazi.

Kulamba asali ni kuikosea sana jamii ya wanaoporwa haki zao kila leo.

Usiwasemee wengine kwenye hilo kama vile wamekutuma. Jisemee mwenyewe na nafsi yako.

Kama wewe ni mlamba asali hilo ni wewe. Tulia tuli, mtusubiri - mbona mtaitapika.
 
Nadhani wanahitaji kufanya zaidi ya hicho tunacholalamika kuwa sasa hivi hawakifanyi, maana kwa huko kukusoa kwao tu serikali kumeshindwa kuwafanya watanzania kuzinduka ni kama wanaonekana ni kundi tu fulani la watu lenye matatizo na serikali na ndio maana hata majaribio ya kuhitisha maandamano hufeli ambapo inafanya itafsirike ni uoga au ujinga wa wananchi.
 
Kumbe na wewe Ni mwoga sema muda wa mapinduzi ya watawala wa Tozo ndio huu.
 
Kumbe na wewe Ni mwoga sema muda wa mapinduzi ya watawala wa Tozo ndio huu.

Niogope wapi au nini mkuu? Tunaitisha busara kutamalaki tangu lini? Nisome vyema kuniona:

Upinzani, Aluta Continua! Ni lazima kupigania kupata haki, uhuru na maendeleo japo haitakuwa rahisi

Zingatia Rawlings anasema:

"Ni lazima ifikie pale ambapo hata kama shweitani atakuwa ndiye mtawala (rais), itakuwa ni lazima afanye kile ambacho Waghana (wananchi) wanataka na wala siyo kile ambacho yeye shweitani na genge lake wanataka."
 
Afadhali waliopo hawakuigioa kutekwa, kupoteza, kununuliwa na finally kuuawa. Sasa hao unaowapendekeza Wana guts za kuhimili hizo "torture" tatu? Afadhali shetani unayemjua kuliko malaika usiyemjua
 
Kumbe na wewe Ni mwoga sema muda wa mapinduzi ya watawala wa Tozo ndio huu.
Retired mkuu huu msimamo wa wastani wewe haukuhusu ,,wewe Ni muumini wa jino kwa jino....Sina uhakika Kama nawe Ni mfuasi kindakindaki.....wewe unaamini mtawala mkandamizaji hawezi kuacha kwa maneno yenye sukari....
 
Afadhali waliopo hawakuigioa kutekwa, kupoteza, kununuliwa na finally kuuawa. Sasa hao unaowapendekeza Wana guts za kuhimili hizo "torture" tatu? Afadhali shetani unayemjua kuliko malaika usiyemjua

Sijapendekeza mtu mkuu. Ila ninaamini japo wavumao baharini papa na wengine wapo.

Huu ukimya una afya kweli?

Hudhani mwenye majibu hapa awe ndani au nje atatuvusha?

CHADEMA: Bila kuwapa Makavu hakuna Katiba Mpya
 
Retired mkuu huu msimamo wa wastani wewe haukuhusu ,,wewe Ni muumini wa jino kwa jino....Sina uhakika Kama nawe Ni mfuasi kindakindaki.....wewe unaamini mtawala mkandamizaji hawezi kuacha kwa maneno yenye sukari....

Mkuu Nurain ninadhani Retired tuko pamoja hapa:

Uanaharakati ndiyo njia pekee ya kuipata katiba ya wananchi

Ila sina hakika kama tunaonana macho kwa macho hapa:

Magumu yetu Viongozi wa Upinzani mkwepe lawama vipi?

Ninakazia koleo haliwezi kuitwa kijiko kikubwa.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Exactly.
 
Watu wanajadili mambo ya simba na Yanga, huku kwenye maumivu wameamuachia Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…