Muda wowote kuanzia sasa huenda kikanuka, jaza mahitaji muhimu sasa usisubiri mpaka tarehe 8 December

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,968
Reaction score
36,044
Tahadhari ni muhimu,

Huenda mambo yakawa tofauti zaidi kuliko ilivyokuwa hapo awali.

Huenda hata hiyo tarehe tajwa isifike watu wakashtukiza ,hivyo kama ulikuwa hujajiandaa kimahitaji kikamilifu utakufa njaa.

Nunua umeme wa kutosha angalau wa miezi miwili,

Jaza jaza mavyakula hayo maana kuna wauzaji wana tamaa soon wataanza kuuza kwa bei ya juu kabla hata hiyo lockdown haijafika.

Kama ni gesi nunua ya kutosha,

Acha kupiga stori barabarani na watu usio wajua ,na hata pia unaowajua ila sio kivile chuja maongezi yako usioneshe interest yako kwamba upo upande gani.

Kama wewe ni mpenda starehe nunua vinywaji vyako pendwa vya kutosha angalau kreti 30 weka ndani.

Kama mvuta shisha nunua fleva ya kutosha angalau box 5 kubwa .

Mambo yamebadilika jiandae sasa usingoje mpaka kinuke ,

Huenda jambo likaanza hata kabla ya mwezi wa 12 haujafika.

Jichunge na uchunge unaowapenda .
 
Tahadhari ni muhimu,

Huenda mambo yakawa tofauti zaidi kuliko ilivyokuwa hapo awali.

Huenda hata hiyo tarehe tajwa isifike watu wakashtukiza hivyo kama ulikuwa hujajiandaa kimahitaji kikamilifu utakufa njaa.

Na. Bado
 
Mchumia tumbo kweli wewe unawaza kula tu
 
Kreti 30 😂😂 utadhani kuna ubarikio kwa mzee massawe
Kreti 30 mbona ndogo sana.

Humo ndani mkikutana walevi angalau watatu kreti tano zinaisha ndani ya siku 2 .

Kama watu ni waoga kutoka, hivyo kitendo cha kuwalazimu kuwa ndani watakuwa bored , mtu mmoja peke yake kwa siku ni kawaida kunywa bia 15 , wakiwa watatu je itakuwaje?
Bado kuna wale wanaopenda kampani kwenye majumba ya watu ,mwisho unajikuta na wageni kama 8 wote wapo kwako.
 
Tahadhari ni muhimu,

Huenda mambo yakawa tofauti zaidi kuliko ilivyokuwa hapo awali.

Huenda hata hiyo tarehe tajwa isifike watu wakashtukiza hivyo kama ulikuwa hujajiandaa kimahitaji kikamilifu utakufa njaa.

Nunua umeme wa kutosha angalau wa miezi miwili,

Jaza jaza mavyakula hayo maana kuna wauzaji wana tamaa soon wataanza kuuza kwa bei ya juu kabla hata hiyo lockdown haijafika.

Kama ni gesi nunua ya kutosha,

Acha kupiga stori barabarani na watu usio wajua ,na hata pia unaowajua ila sio kivile chuja maongezi yako usioneshe interest yako kwamba upo upande gani.

Kama wewe ni mpenda starehe nunua vinywaji vyako pendwa vya kutosha angalau kreti 30 weka ndani.

Kama mvuta shisha nunua fleva ya kutosha angalau box 5 kubwa .

Mambo yamebadilika jiandae sasa usingoje mpaka kinuke ,

Huenda jambo likaanza hata kabla ya mwezi wa 12 haujafika.

Jichunge na uchunge unaowapenda .
Circular imetoka serikalini kuwa shule zote zifungwe tarehe 02 Dec badala 06 Dec iliyokuwa imepangwa
 
Kreti 30 mbona ndogo sana.

Humo ndani mkikutana walevi angalau watatu kreti tano zinaisha ndani ya siku 2 .

Kama watu ni waoga kutoka, hivyo kitendo cha kuwalazimu kuwa ndani watakuwa bored , mtu mmoja peke yake kwa siku ni kawaida kunywa bia 15 , wakiwa watatu je itakuwaje?
Bado kuna wale wanaopenda kampani kwenye majumba ya watu ,mwisho unajikuta na wageni kama 8 wote wapo kwako.
Huyo anaekuja kampani ya kunywa kreti zima na tupo lock down aje na makreti yake 😃

Nkimuonea huruma sana nampa cocktail ya konyagi na bongodon azime.
 
Kuna watu wanaishi maeneo hatarishi mbaya zaidi nyumba wanazoishi hazina fensi wala security ya aina yoyote ile , hivyo kama sehemu unapoishi ni nyumba kubwa na ina ulinzi wa kutosha ,suala la kupokea wageni halikwepeki.
 
Back
Top Bottom