Hii kitu hata mimi nimewaza hivyo!Tahadhari ni muhimu,
Huenda mambo yakawa tofauti zaidi kuliko ilivyokuwa hapo awali.
Huenda hata hiyo tarehe tajwa isifike watu wakashtukiza hivyo kama ulikuwa hujajiandaa kimahitaji kikamilifu utakufa njaa.
Nunua umeme wa kutosha angalau wa miezi miwili,
Jaza jaza mavyakula hayo maana kuna wauzaji wana tamaa soon wataanza kuuza kwa bei ya juu kabla hata hiyo lockdown haijafika.
Kama ni gesi nunua ya kutosha,
Acha kupiga stori barabarani na watu usio wajua ,na hata pia unaowajua ila sio kivile chuja maongezi yako usioneshe interest yako kwamba upo upande gani.
Kama wewe ni mpenda starehe nunua vinywaji vyako pendwa vya kutosha angalau kreti 30 weka ndani.
Kama mvuta shisha nunua fleva ya kutosha angalau box 5 kubwa .
Mambo yamebadilika jiandae sasa usingoje mpaka kinuke ,
Huenda jambo likaanza hata kabla ya mwezi wa 12 haujafika.
Jichunge na uchunge unaowapenda .
Usipojiandaa kikamilifu utashangaa bia uliyokuwa unauziwa elfu 2 dukani kwa mangi ukaambiwa elfu 10 na ubaya ni kwamba mtu huwezi kunywa bia moja hamna hamna tano😂😂😂😂😂😂Huyo anaekuja kampani ya kunywa kreti zima na tupo lock down aje na makreti yake 😃
Nkimuonea huruma sana nampa cocktail ya konyagi na bongodon azime.
Hii nchi sasa hivi imekuwa kama bomu la kutegwa, watu wanaishi kwa machale! CCM wametufikisha pabaya sana.Circular imetoka serikalini kuwa shule zote zifungwe tarehe 02 Dec badala 06 Dec iliyokuwa imepangwa
Lazima kuwe na akiba nyumbani, utatoka kukinukisha then unarudi nyumbani kuendelea na mambo mengine ya kifamilia.Sasa wote tukijiandaa kujifungia ndani nani atakinukisha?
Kila upande unajipanga kikamilifu.Hii kitu hata mimi nimewaza hivyo!
Mambo yanachemka sana chini kwa chini!
😂😂😂😂😂😂😂Hii nchi sasa hivi imekuwa kama bomu la kutegwa, watu wanaishi kwa machale! CCM wametufikisha pabaya sana.
😂😂😂😂😂😂😂Nawaza elfu sabini yangu benki jamani isije ikafyekwa kwa kisingizio cha "ulinzi na usalama".
Kwahiyo wenzako wanatoka ww unajifungia ndani au sio !?Tahadhari ni muhimu,
Huenda mambo yakawa tofauti zaidi kuliko ilivyokuwa hapo awali.
Huenda hata hiyo tarehe tajwa isifike watu wakashtukiza hivyo kama ulikuwa hujajiandaa kimahitaji kikamilifu utakufa njaa.
Nunua umeme wa kutosha angalau wa miezi miwili,
Jaza jaza mavyakula hayo maana kuna wauzaji wana tamaa soon wataanza kuuza kwa bei ya juu kabla hata hiyo lockdown haijafika.
Kama ni gesi nunua ya kutosha,
Acha kupiga stori barabarani na watu usio wajua ,na hata pia unaowajua ila sio kivile chuja maongezi yako usioneshe interest yako kwamba upo upande gani.
Kama wewe ni mpenda starehe nunua vinywaji vyako pendwa vya kutosha angalau kreti 30 weka ndani.
Kama mvuta shisha nunua fleva ya kutosha angalau box 5 kubwa .
Mambo yamebadilika jiandae sasa usingoje mpaka kinuke ,
Huenda jambo likaanza hata kabla ya mwezi wa 12 haujafika.
Jichunge na uchunge unaowapenda .
Sasa tarehe 06 ni Jumamos ww huoni haijakaa sawa hiyo tareheCircular imetoka serikalini kuwa shule zote zifungwe tarehe 02 Dec badala 06 Dec iliyokuwa imepangwa
Duh,Huenda jambo likaanza hata kabla ya mwezi wa 12 haujafika.
Mnakutana kvp ilihali wote tutakuwa kapunKreti 30 mbona ndogo sana.
Humo ndani mkikutana walevi angalau watatu kreti tano zinaisha ndani ya siku 2 .
Kama watu ni waoga kutoka, hivyo kitendo cha kuwalazimu kuwa ndani watakuwa bored , mtu mmoja peke yake kwa siku ni kawaida kunywa bia 15 , wakiwa watatu je itakuwaje?
Bado kuna wale wanaopenda kampani kwenye majumba ya watu ,mwisho unajikuta na wageni kama 8 wote wapo kwako.
Ni JumanneTarehe 2 mbona kama wkend kiongozi
Hakiwezi nuka wakulinukisha Tanganyika hayupo bakabaka wenyewe washatepetaTahadhari ni muhimu,