Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Nimeusoma, kanisa letu limechemka kuandika haswa muda huu. Kuna wawekezaji wawili wengine wa sekta ya bandari zaidi ya huyo DP World.Waraka hujausoma
Ni suala la kiuchumi wao wanaliweka kiroho kwa kigezo cha sauti ya watu ni ya Mungu, wanamkwaza mheshimiwa SSH na kibaya zaidi wanasikiliza hizi akili za mitaani kwamba mwarabu anataka kurudisha tena utawala wa kiislam hapa Tanzania, ni akili za kijinga kuwaza namna hii.
Huyo mwarabu anamiliki bandari zaidi ya hamsini duniani, mbona huko kote asirudishe utawala wake?. Maaskofu wameendekeza uoga usio na faida yoyote,