muhamar Gadaf
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 1,101
- 1,050
not possible
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TUtaonaIt's soon gonna be history.
Bora hivyo, kuliko kuendelea na huu mkataba wa kipumbavu au kwanini DPW atembeze hongo? kuna nini?Akiwatosa ajue atalipa mabilioni ya dola na warudisge chao 1T wamesunda.....muda mwalimu mzuri
Wanaomdanganya wanamshauri aendelee nao.Be the first to know... muda wowote kuanzia sasa Rais Samia atauzima rasmi mjadala unaochukua sura mpya kila siku nao si mwingine bali ni DP World!
Vyanzo vyangu toka ndani ya Chama na Serikali vinabainisha joto la mjadala linaelekea pabaya hivyo busara imetumika kufunika kombe mwanaharamu apite!
Hongera samia kwa usikivu kumbe zile R nne zinatoka moyoni!
Ahsante kwa kuwakumbusha ila hapa tatizo sio waislam bali ni watu wachache waliongwa tende na harua ndio wanataka kuvuruga nchi kwa kisingizio cha dini kama ni dpw ndiye amepenyeza hiyo kitu basi amebugi.Achague mawili kuufuta au marekebisho kupitia wananchi na Sio wabunge.
Waislamu someni mkataba muuelewe acheni porojo za kuegemea dini.
Kama ni dini mbona waislamu ndio wanajenga reli na ndio wanaojenga bwawa la umeme.
Udini upo wapi.
Kinaangaliwa kesho yetu na usalama nchi na raslimali zetu.
Wajinga kweli jamaa, hahahaNa uvccm na cccm itatoka barabarni kumpongeza rais kwa ujasiri huo wa kufuta mkataba huo na azimio litafanywa bungeni kumpongeza kwa hatua hyo
Kama itatokea Hilo Basi ndo hvyo
Tulishajua nia yako nini, ongelea mkataba mambo ya chadema wasukuma tupa kule.![]()
Ni yupi kati ya hao mezani.
Mmeishiwa na hoja na sasa mmerudi Kusingizia Kabila la Wasukuma.!
Hakuna genge wala Gang yeyote linaloitwa Sukuma Gang Tanzania. Kuna kabila la WASUKUMA.
CHADEMA Wacheni Ugaidi na lugha za Kiutenganishi. Wacheni GENOCIDE!
Chuki za kibinafsi baina ya Mbowe na Lissu dhidi ya Hayat Rais ibakie huko huko. Chuki hizo zisiingizwe kwenye wanja la siasa Tanzania.
CHADEMA stop your Seccesionist agenda. stop your Terorrism tacts. Stop the GENOCIDAL agenda against the WASUKUMA tribe and peoples.
CHUKI dhidi ya Kabila la Wasukuma zikomeshwe.
Uongo mtupu, hakuna kurahisisha wala nini bali ni watu wanatafuta uraji.Vyanzo vyako feki vyote. Muda huu wanasheria wapo ughaibuni wakiandaa mikataba ya consession na lease na wakirudi wanamaliza biashara ya DP World.
Lengo la uwekezaji ni kurahisisha maisha ya wafanya biashara, kama wewe Lusungo nimfanyabiashara wa bandari huwezi kuwa na mawazo ya aina hii.
Siwezi kupinga maoni yako mkuu sengobad, japokuwa ninajua nini ninachokiongea.Uongo mtupu, hakuna kurahisisha wala nini bali ni watu wanatafuta uraji.
Kuna magati sita ya TPA yanahitaji uwekezaji pia kuna bandari nzima ya Bagamoyo inakuja mwaka huu, hivyo kama DPW mmoja anawekewa mizengwe namna hii vipi kuhusu wawekezaji wa magati namba tisa mpaka kumi na mbili wa pale bandarini. Vipi kuhusu uwekezaji mzima wa Bagamoyo utakuwa vipi?.Ahsante kwa kuwakumbusha ila hapa tatizo sio waislam bali ni watu wachache waliongwa tende na harua ndio wanataka kuvuruga nchi kwa kisingizio cha dini kama ni dpw ndiye amepenyeza hiyo kitu basi amebugi.
DuuuuuKumetajwa muda? Au uko kwenye joto?
Tutaona mkuuUmeanza kuona?