Tetesi: Muda wowote kuanzia sasa Samia ataachana na DP World!

Tetesi: Muda wowote kuanzia sasa Samia ataachana na DP World!

Be the first to know... muda wowote kuanzia sasa Rais Samia atauzima rasmi mjadala unaochukua sura mpya kila siku nao si mwingine bali ni DP World!

Vyanzo vyangu toka ndani ya Chama na Serikali vinabainisha joto la mjadala linaelekea pabaya hivyo busara imetumika kufunika kombe mwanaharamu apite!

Hongera samia kwa usikivu kumbe zile R nne zinatoka moyoni!
Vipi tamko la ChiChiEmu, bado
 
Mpaka hatua hii hatufai kuwa msimamizi wa rasimali zetu! Ili jambo ni lake na ndiyo maana wakina Lissu wakisema anapaswa kuwajibika maana mle ndani kuna sahihi yake! Asingeweka sahihi yake mle ndani angemtoa mtu kafara mambo yaende! Lakini kitendo cha yeye kuweka sahihi ni sawa tuseme yeye mwenyewe hajui vitu gan anasaini na hana umakini wowote katika kazi zake.
Ndio maana tunapigania katiba mpya!
 
Haya

Wenzenu Akina Salah na Neymar wanakimbilia Arabuni Kule Ulaya na Marekani wazungu wamefirisika Lakini Nyie mnapishana na Gari la hela 😄😄😂🔥
Hilo gari la hela liache lipite tubaki na Bandari zetu! Kazi iko kwa Samia na genge lake jinsi watakavyozirudisha hizo $$ za waarabu walizokomba! Itabidi lazima wazitapike!!
Nchi haiwezi kuruhusu ndege ya Rais tulioinunua kwa "KULA MAJANI" itumike kama collateral kwenye ufisadi huu!
 
Hilo gari la hela liache lipite tubaki na Bandari zetu! Kazi iko kwa Samia na genge lake jinsi watakavyozirudisha hizo $$ za waarabu walizokomba! Itabidi lazima wazitapike!!
Wahenga walisema hela ya hongo ni tamu pale tu unapotakiwa usiirudishe!
 
Hata Ikulu hapamfai tena nako angeachia tu tujue Moja, nchi imemshinda mama wa kudemka
 
nauona ukweli wa uzi huu
Sasa ni rasmi. Baada ya Kanisa kuzungumza na Wahaini kuachiwa bila kufika mahakamani.... Ni swala la muda tu utajua ni jinsi gani wametumia kujitoa kwenye mkataba. Maana hata ile team ya Chongolo na Bwana mdogo Slaa imeingia mitini kimya kimya siku nyingi tu.
 
Akiwatosa ajue atalipa mabilioni ya dola na warudisge chao 1T wamesunda.....muda mwalimu mzuri
Aisee bora kulipa kuliko kuuzwa...No way! Anyway, ili walipwa 1Trilion waonyeshe kwanza waliwekeza nini hadi zikafika hizo.., ofcourse tutalipa in lost possible revenues.., ila pia uonyeshe ulichowekeza
 
Wanafamilia tuna Mzigo mkubwa wa madeni!!!

Mkataba ni Fake na BATILI, atalipwa nani ilhali kiongozi wetu amesaini Kwa niaba ya Tz na Dubiei!!!

Hatulipi sent Tano!!!!

Pesa zetu tunazipata Kwa JASHO, walipe waliotufikisha hapo.

Wabunge wakatwe viinua mgongo Ili kulipa waliyoyapitisha bila tafakuri Ili iwe fundisho Kwa wabunge wajao!!;
 
Hii pesa walipe akina Kitenge, na lile kubwa jinga Zembwela, pamoja na Musukuma na Kibajaji
 
Back
Top Bottom