Tetesi: Muda wowote kuanzia sasa Samia ataachana na DP World!

Be the first to know... muda wowote kuanzia sasa Rais Samia atauzima rasmi mjadala unaochukua sura mpya kila siku nao si mwingine bali ni DP World!

Vyanzo vyangu toka ndani ya Chama na Serikali vinabainisha joto la mjadala linaelekea pabaya hivyo busara imetumika kufunika kombe mwanaharamu apite!

Hongera samia kwa usikivu kumbe zile R nne zinatoka moyoni!
Inaweza kuwa kweli. Mjadala huu lazima sasa ufike mwisho na ufungwe. Ni raisi pekee ndiye mwenye uwezo wa kuufunga. Ndiye refree atakayeamua mshindi ni nani. Baada ya hapo wote tunapaswa kutulia na kukubali matokeo. Hakuna sare kwani kama ni muda ulishaongezwa na penalty zimeshapigwa hivi karibuni.

Timu A washambuliaji nyota walikuwa Mwabukusi na Dr Slaa, mabeki hodari walikuwa Prof Shivji, TEC na Joseph Butiku. Timu B washambuliaji nyota walikuwa Tulia Ackson na Nape Nauye, mabeki hodari walikuwa Prof Mkumbo, Hamza Johari na Dr Msukuma. Mechi ilikuwa tamu na uwanja ulifurika hadi nje.
 
Wasamalia wema tunaomba mkataba mwingine huu wakwaza tumemaliza kusican virus, bado mingine 38 tunapitia kifungu kwa kifungu tunascan kwa untvirus.
 
Be the first to know... muda wowote kuanzia sasa Rais Samia atauzima rasmi mjadala unaochukua sura mpya kila siku nao si mwingine bali ni DP World!

Vyanzo vyangu toka ndani ya Chama na Serikali vinabainisha joto la mjadala linaelekea pabaya hivyo busara imetumika kufunika kombe mwanaharamu apite!

Hongera samia kwa usikivu kumbe zile R nne zinatoka moyoni!
Hoja 8 Muhimu za TEC

14. Ibara zifuatazo za Mkataba huu zina matatizo yatakayosababisha nchi kutofikia uhuru wa kiuchumi (economic independence):

14.1. Ibara ya 2 (1): inayohusu lengo la Mkataba huu ambalo ni kuweka utaratibu unaoibana Tanzania kisheria katika kuendeleza, kuboresha na kuendesha bandari zote za bahari na maziwa, maeneo maalum ya uwekezaji, maeneo ya usafirishaji wa mizigo, na maeneo mengine ya kiuchumi.

14.2. Ibaraya 4: inayohusu wigo wa Mahusiano na Utekelezaji unaoitaka Serikali ya Tanzania kuwajibika kuijulisha Dubai kila fursa ya uwekezaji inapojitokeza.Hiiinakinzana na baadhi ya sheria za nchi yetu, kwa mfanosheria ya ushindani na ile ya manunuzi.

14.3. Ibaraya 5: ambapo DPWorldimepewa haki ya kuendeleza, kusimamia na kuendesha miradi pekee yake, wakati Tanzania inabaki na wajibu wa kumwezesha kufurahia haki hiyo.

14.4. Ibaraya 6:inayoitaka Tanzania kuwajibika kuipatia DP World vibali na vivutio vya kutekeleza miradi yake kama Serikali. Hii inapingana na baadhi ya sheria za kiutaratibu.

14.5. Ibaraya 7: inayoitaka Serikali kuwajibika kutoa mamlaka yanayotakiwa na mwekezaji bila ucheleweshaji.

14.6. Ibaraya 8: Haki ya kutumia ardhi ambapo Mkataba unasababisha uvunjifu wa sheria za ardhi na sheria zinazohusu masuala ya ardhi.

14.7. Ibaraya 10: Usiri wa Mkataba ambapo Mkataba unazuia mamlaka nyingine kama TAKUKURU /BUNGE kufuatilia mikataba.

14.8. Ibara za 23 na 24: zenye ugumu wa kujitoa kwenye Mkataba
 
Tatizo halipo kwa mama bali ni kikundi cha sukuma gang kina muingiza kwenye matatizo makusudi ili mwaka 2025 akataliwe
Wewe ni mgeni tz? Unaujua mfumo wa ccm wewe? Pata picha huu mkataba ulivyopitishwa bungeni ile ndio ccm halisi, hawategemei kura zako kuwa madarakani
 
Inaweza kuwa kweli. Mjadala huu lazima sasa ufike mwisho na ufungwe. Ni raisi pekee ndiye mwenye uwezo wa kuufunga. Ndiye refree atakayeamua mshindi ni nani. Baada ya hapo wote tunapaswa kutulia na kukubali matokeo. Hakuna sare kwani kama ni muda ulishaongezwa na penalty zimeshapigwa hivi karibuni.

Timu A washambuliaji nyota walikuwa Mwabukusi na Dr Slaa, mabeki hodari walikuwa Prof Shivji, TEC na Joseph Butiku. Timu B washambuliaji nyota walikuwa Tulia Ackson na Nape Nauye, mabeki hodari walikuwa Prof Mkumbo, Hamza Johari na Dr Msukuma. Mechi ilikuwa tamu na uwanja ulifurika hadi nje.
Umemsahau kiungo mshambuliaji Prof Lissu.
 
Timu B mwishowe wakaingia mitini 😀😀😀
 
Dp world is here to stay waweke tu mambo sawa
 
Ni ngumu kutokea..., haya maziwa yameshamwagika wapo radhi hata kuwauwa ngombe wote ili kuficha kilichotokea....

Hawa sio watu wa kurudi nyuma na kukubali walikosea
DP World ndo imeisha hiyo.
 
Back
Top Bottom