Akili za kutanguliza mwekezaji ni mnyonyaji ni za kina Julius Nyerere, akili zilizopitwa na wakati kitambo sana.
Serikali ina mpango wa kuwa na wawekezaji watatu sio huyo DPW mmoja tu, kuna mwingine atakuja pale gati namba tisa mpaka kumi na mbili na kuna mwingine atakuja Bagamoyo.
Mnavyosema vifungu vya kinyonyaji mfanye pia kazi ya kuviweka hadharani hivyo vifungu viweze kujadiliwa, sio kuishi kuwajaza uoga wananchi wa kawaida wakati lengo haswa ni serikali kuweza kutumia fursa zilizopo za Tanzania kuhudumia nchi nane zinazotuzunguka.