Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Nimeusoma, kanisa letu limechemka kuandika haswa muda huu. Kuna wawekezaji wawili wengine wa sekta ya bandari zaidi ya huyo DP World.Waraka hujausoma
Kuweza kuutambua ujinga unaokuzunguka ni faida ya kufahamu namna ya kuishi nao pia, unakuwa ukiweza kuyaepuka madhara yote ya ujinga huo mapema kabisa.Ukiona umewajua wajinga unaoishi nao, ujue na wewe ni mjinga ila una nafuu kidogo
Nimeusoma, kanisa letu limechemka kuandika haswa muda huu. Kuna wawekezaji wawili wengine wa sekta ya bandari zaidi ya huyo DP World.
Ni suala la kiuchumi wao wanaliweka kiroho kwa kigezo cha sauti ya watu ni ya Mungu, wanamkwaza mheshimiwa SSH na kibaya zaidi wanasikiliza hizi akili za mitaani kwamba mwarabu anataka kurudisha tena utawala wa kiislam hapa Tanzania, ni akili za kijinga kuwaza namna hii.
Huyo mwarabu anamiliki bandari zaidi ya hamsini duniani, mbona huko kote asirudishe utawala wake?. Maaskofu wameendekeza uoga usio na faida yoyote,
Siyo Msogagang,,, Usichanganye hapoTatizo halipo kwa mama bali ni kikundi cha sukuma gang kina muingiza kwenye matatizo makusudi ili mwaka 2025 akataliwe
Jiongeze hapo itakuwaje Msoga wakati Msoga ndiyo wenye jamvi lao?Siyo Msogagang,,, Usichanganye hapo
Mkataba wa Kinyonyaji sanaa huo ndio ukweliii...!Shida ya mkataba huu hauna WIN WIN situation. Uangaliwe upya. Haya ni mambo ya kawaida kurudi nyuma kama kwenye front line ya vita ukipigwa.
Wewe akili yako haina afya. Hayo unayosema yapo kwenye hoja za Maaskofu? Chambua hoja zao sio porojo. Huu mkataba tumeshaukataa, akili nyingine ndogo kama zenu zitaelewa mbele ya safari.Nimeusoma, kanisa letu limechemka kuandika haswa muda huu. Kuna wawekezaji wawili wengine wa sekta ya bandari zaidi ya huyo DP World.
Ni suala la kiuchumi wao wanaliweka kiroho kwa kigezo cha sauti ya watu ni ya Mungu, wanamkwaza mheshimiwa SSH na kibaya zaidi wanasikiliza hizi akili za mitaani kwamba mwarabu anataka kurudisha tena utawala wa kiislam hapa Tanzania, ni akili za kijinga kuwaza namna hii.
Huyo mwarabu anamiliki bandari zaidi ya hamsini duniani, mbona huko kote asirudishe utawala wake?. Maaskofu wameendekeza uoga usio na faida yoyote,
Mwezi wa kumi mwishoni ndio tutajua nani mwenye afya njema ya akili.Wewe akili yako haina afya. Hayo unayosema yapo kwenye hoja za Maaskofu? Chambua hoja zao sio porojo. Huu mkataba tumeshaukataa, akili nyingine ndogo kama zenu zitaelewa mbele ya safari.