Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Hicho kibali atakipata wapi na wakati hali yake ni ya umasikini? Mnapitisha sheria za kipuuzi za kuwapendelea nyinyi peke yenu, halafu unaleta mambo ya vibali hapa!Soma habari vizuri,huyu hakuwa na kibali,hao wengine unaowataja itakuwa wana vibali,huyu angekuwa amekata kibali yasingemfika haya.Mnatakiwa muwafahamishe wananchi,kuwa ukifanya biashara ya wanyama pori uwe na kibali,na ukakate kibali na leseni, mahali fulani,ni sawa na dereva aendeshe gari bila leseni,au mfanyabiashara asiwe na leseni,au ufanyekazi ya udaktari bila leseni,uwe na duka la dawa bila leseni,wategemea nini,kama sio kuvunja sheria.