Hicho kibali atakipata wapi na wakati hali yake ni ya umasikini? Mnapitisha sheria za kipuuzi za kuwapendelea nyinyi peke yenu, halafu unaleta mambo ya vibali hapa!Soma habari vizuri,huyu hakuwa na kibali,hao wengine unaowataja itakuwa wana vibali,huyu angekuwa amekata kibali yasingemfika haya.Mnatakiwa muwafahamishe wananchi,kuwa ukifanya biashara ya wanyama pori uwe na kibali,na ukakate kibali na leseni, mahali fulani,ni sawa na dereva aendeshe gari bila leseni,au mfanyabiashara asiwe na leseni,au ufanyekazi ya udaktari bila leseni,uwe na duka la dawa bila leseni,wategemea nini,kama sio kuvunja sheria.
[emoji23][emoji23][emoji23] PhD kachafukwaKima mama yako mzazi kwa kuzaa Kenge kama wewe kumerlamamiyakow.
Wahuni hao, vibali vya halmashauri haina bei hizo.Wakuu, inawezekanaje kilo 32 za nyama ziwe na thamani ya milioni 7 na ushee? Wataalamu tunaomba ufafanuzi..
Nchi hii nikiwa Rais nitamwaga sana damu za wengi sana ikiwemo wanaotunga sheria za kujipendelea wao na kuwakandamiza masikini. Nasisitiza, damu nitaimwaga.Utafanyaje biashara bila kufuata sheria.Lazima uwe na kibali,je kama huyu mnyama alikufa kwa ugonjwa ambao ni hatari kwa binadamu,huyu muuzaji ni muuaji,maradhi yakiingia kwa binadamu,na kuuambukiza na kkua watu wengi.
Sheria gani zinawahusu masikini peke yao!! Vigogo wa CCM ndiyo wanaongoza kwa ujangili nchini, lakini huwezi kusikia wamehukumiwa vifungo jela, hata pale wanapokamatwa na vielelezo!Utafanyaje biashara bila kufuata sheria.Lazima uwe na kibali,je kama huyu mnyama alikufa kwa ugonjwa ambao ni hatari kwa binadamu,huyu muuzaji ni muuaji,maradhi yakiingia kwa binadamu,na kuuambukiza na kkua watu wengi.
Mmewe jela miaka ishirini, mke mtaani hana shughuli rasmi ya kipato, so anaachia pussy kwa pesa ya mbogaDuh why alikuwa analiwa hovyo sasa?
Wewe kama ni Mpemba hakuna ulijuwalo kuhusu nyama pori.Utafanyaje biashara bila kufuata sheria.Lazima uwe na kibali,je kama huyu mnyama alikufa kwa ugonjwa ambao ni hatari kwa binadamu,huyu muuzaji ni muuaji,maradhi yakiingia kwa binadamu,na kuuambukiza na kkua watu wengi.
So jamaa alitoka?Mmewe jela miaka ishirini, mke mtaani hana shughuli rasmi ya kipato, so anaachia pussy kwa pesa ya mboga
Ila ni mzuri flani hv daaah [emoji848]
Kudu.Tandala ndo mnyama gani?
Mkuu achana naye huyo. Unafikiri hajui hayo yote? Anajua sana tu. Ndiyo wale wale hao!.Sheria gani zinawahusu masikini peke yao!! Vigogo wa CCM ndiyo wanaongoza kwa ujangili nchini, lakini huwezi kusikia wamehukumiwa vifungo jela, hata pale wanapokamatwa na vielelezo!
Don't waste your time to that dude, man!Wewe kama ni Mpemba hakuna ulijuwalo kuhusu nyama pori.
Wenye Leseni za mabucha ya wanyama pori ni wachache sana Tanzania nzima, ila wawindaji wanatumia vibali halali ni wengi.
Binafsi huwezi kunifunga kwa kesi ya kipuuzi kama hiyo, nyama nimenunuwa kwa wawindaji ambao wamewinda kihalali na huu ni msomi wa uwindaji.
Nyama pori tunauziana mtaani kwa ajili ya kitoweo sawa na muuza utumbo au muuza mchicha hakuna kwenye Leseni ya kufanya hizo biashara.
Isitoshe siwezi kukaa kijiji Jirani na game reserve halafu nisile nyama pori wakati hivyo vitoweo katupa Mungu mwenyewe.
Ni sawa na watu wa pwani au ziwani uwaambie kuvuwa Samaki wavuwe kwa kibali ni upuuzi mtupu.
Huruma na huzuni sana. Hii nchi labda nisiwe Rais. Nitamwaga damu sana.Hapo unaweza kuta hakujua ni kinyume cha sheria na hakuwa na habari kuwa akikubali kosa atafungwa miaka yote hiyo.
Hapo unakuta kuna mwigine atakutwa na nyara za mamilioni atakana kosa, atatoka kwa dhamana, kesi itaenda weeeee mwishowe jamhuri itaamua kuachana nayo.Huruma na huzuni sana. Hii nchi labda nisiwe Rais. Nitamwaga damu sana.
Huyo aliyeuza nyama ya porini,bila kibali,ndio umtetee,ukisikia kibali,ni pamoja na nyama kupimwa na daktari wa wanyama,kua alikufa kibudu,na alikufa na maradhi gani,na pia kama kachinjwa,je hakuwa na maradhi ya kuambukiza binadamu?Nchi hii nikiwa Rais nitamwaga sana damu za wengi sana ikiwemo wanaotunga sheria za kujipendelea wao na kuwakandamiza masikini. Nasisitiza, damu nitaimwaga.
Hakuna huruma kwenye nchi yenye double standards.
Duuuh! Kumbe kuna kuitwa chemba na kutonywa kabisa kuwa kana kosa?Hapo unakuta kuna mwigine atakutwa na nyara za mamilioni atakana kosa, atatoka kwa dhamana, kesi itaenda weeeee mwishowe jamhuri itaamua kuachana nayo.
UMASIKINI NI JAMBO BAYA SANA. ANGEKUWA NA HELA HAPO MWANASHERIA ANGESHAMUELEKEZA KWANZA KANA KOSA.