MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
Kuwaelewesha hao ni KAZI ngumu,,Eid ni Leo,,maana wengi wameswali Leo,Labda hauko Tanganyika
Waislam wengi sana Leo ndo wamekula Eid
sasa mbona haitangazwi kwenye tv na redio, hakuna salamu za iddi? Labda ungesema ni iddi ya answar, iddi yan huwa haivumi sanaLabda hauko Tanganyika
Waislam wengi sana Leo ndo wamekula Eid
Kwa hio pilau haliliki leo maana sioni fujo za kuunguzana pua kumetulia km tupo lock down hakuna fujo za magari yanaelekea beach sijui kufanya nini kimyaNyie kuwaelewesha bakwata ni KAZI ngumu,,
Eid MubarakKutoka hapo sio rahisi, wameshagawanywa (kuna watu wa mfumo mule wamejazwa)
Infact sio rahisi kupambana na system, angalia anachopitia Lissu na ukumbuke kilichowakuta masheikh wa uamsho
Tunachinja kwanza kuku,pilau baadae.Kwa hio pilau haliliki leo maana sioni fujo za kuunguzana pua kumetulia km tupo lock down hakuna fujo za magari yanaelekea beach sijui kufanya nini kimya
Hapana ninaishi karibu kabisha na msikiti leo hawajaswali ibada ya Idd zile pilikapilka za Idd leo sijaziona maana nazijua siku ya Idd huku nilipo kunakua hakupoi yaan km Mwaka mpya coasters zinaongozana zinaelekea beach watu wanafurahi km wanaenda uwanja wa mpira kushabikia simba na YangaKuwaelewesha hao ni KAZI ngumu,,Eid ni Leo,,maana wengi wameswali Leo,
Upande wa government ata watoto waliambiwa wasiende mashuluni Leo ni Eid,ata karenda yao inasema Eid ni Leo
Uongo wa Mufti ndiyo umewanyima Waislam kusherehekea Idd yao leo.Kwa hio leo Idd au sio Idd mboni sisikii vurugu za pilau huku nilipo inamaana wamesusa?
Watakuja kuswali,Leo ni ijumaa.Hapana ninaishi karibu kabisha na msikiti leo hawajaswali ibada ya Idd zile pilikapilka za Idd leo sijaziona maana nazijua siku ya Idd huku nilipo kunakua hakupoi yaan km Mwaka mpya coasters zinaongozana zinaelekea beach watu wanafurahi km wanaenda uwanja wa mpira kushabikia simba na Yanga
Kumepoa sana watu wametulia tu nyumbani kwao wanashinda na njaa leo kisa Mufti kasemaTunachinja kwanza kuku,pilau baadae.
siku 30 si ndo kurudi pale pale kwenye kuanza kuhesabu, maana wanaosherehekea kesho leo ndo 30Eid ni Leo mkuu
Quran inasema ' ikifinga siku ya 30 katika mfungo hata msipoona mwezi basi laZima iwe Eid '
Sasa siku 30 zilitimia Jana kwaiyo automatically Leo ni Eid
Aisee hapana,mufti kasema wafunge Leo,,Kumepoa sana watu wametulia tu nyumbani kwao wanashinda na njaa leo kisa Mufti kasema
Nyie mmeswali Eid leo?Eid Mubarak
Saa 7 MchanaWatakuja kuswali,Leo ni ijumaa.
Leo ndo Eid na hakuna mtu ambaye anangoja Eid ya kesho ya BAKWATAsasa mbona haitangazwi kwenye tv na redio, hakuna salamu za iddi? Labda ungesema ni iddi ya answar, iddi yan huwa haivumi sana
Je kwa pasaka vipi nako serikali ndo upangaPublic holidays zote ni za umma na hupangwa na serikali, sikukuu zote za kidini ni za serikali, serikali ndiyo inayoamua lini sikukuu hizo zifanyike. Mwezi tayari umeandamana ila idi ni kesho kwa waislam wa BAKWATA
Mie nishaswali Leo,,wasubiri kesho eeeh😁Nyie mmeswali Eid leo?
Mimi nasubiri kuswali kesho Mjukuu!
Eid Mubarak
Hao BAKWATA hawana Eid na hatuna habari na Eid ya BAKWATAsiku 30 si ndo kurudi pale pale kwenye kuanza kuhesabu, maana wanaosherehekea kesho leo ndo 30
mzozo wote ni kwenye kuhesabu na vigezo vyake
Wamefunga na mawingu yamefunga, Idd itakua keshokutwa wanunuliwa Darubini yao waliyoiombaAisee hapana,mufti kasema wafunge Leo,,
Sisi kwetu sikukuu Leo.