Mufti anapata faida gani kusema uongo kuhusiana na mwandamo wa mwezi?

Mufti anapata faida gani kusema uongo kuhusiana na mwandamo wa mwezi?

Saudia Arabia nchi yenye Uislamu wake leo ni Eid, ila wataalam wa masuala ya Uislamu hapa nchini wamesema sio Eid 😂

Ila kwenye kuswali muelekeo n Saudia 😂
 
Public holidays zote ni za umma na hupangwa na serikali, sikukuu zote za kidini ni za serikali, serikali ndiyo inayoamua lini sikukuu hizo zifanyike. Mwezi tayari umeandamana ila idi ni kesho kwa waislam wa BAKWATA
Exactly Kwa waislam wa BAKWATA.
 
wachambuzi watuletee listi ya nchi zinazosherehekea leo na kesho

na sababu ya hiyo tofauti, alafu waumini wataamua nani yupo sahihi au wote wapo sahihi
Saudi Arabia nyumbani kwa dini ya Uislamu wanasherehekea leo, mdengereko hawezi kuijua dini kuliko Saudia nyumbani kwa mtume.
 
Back
Top Bottom