MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
Yeah kumi la mwisho Kuna baadhi ya misikiti wanakesha kufanya Ibadan misikitini,Saa 7 Mchana
Saa 10 jioni
Saa 12 jioni
Saa 2 usiku
Saa 11 asubuhi
Siku hizo za karibuni hio swala ya saa 11 asubuhi walikua wanaanza ku-test maiki saa 9 usiku sababu ya Idd saa 10 na dakika 30 wanaanza zile za kutishia muislamu amka kitanda chako ndio kaburi lako
Kila siku wanaswali yaan ibada zote nazijua mawaidha yote hua nayafuatilia
Mawaidha ni mazuri eeh,Kila ulitaka kufanya ovu unakumbuka,shekhe kasema .