MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
Yeah kumi la mwisho Kuna baadhi ya misikiti wanakesha kufanya Ibadan misikitini,Saa 7 Mchana
Saa 10 jioni
Saa 12 jioni
Saa 2 usiku
Saa 11 asubuhi
Siku hizo za karibuni hio swala ya saa 11 asubuhi walikua wanaanza ku-test maiki saa 9 usiku sababu ya Idd saa 10 na dakika 30 wanaanza zile za kutishia muislamu amka kitanda chako ndio kaburi lako
Kila siku wanaswali yaan ibada zote nazijua mawaidha yote hua nayafuatilia
nachosikitika mimi kesho ni jumamosi, ilibidi leo iwe alhamis ili mapumziko yaanze leo mpaka jumapili π€£Hao BAKWATA hawana Eid na hatuna habari na Eid ya BAKWATA
ππππ,Wamefunga na mawingu yamefunga, Idd itakua keshokutwa wanunuliwa Darubini yao waliyoiomba
Wataelewa tuKuwaelewesha hao ni KAZI ngumu,,Eid ni Leo,,maana wengi wameswali Leo,
Upande wa government ata watoto waliambiwa wasiende mashuluni Leo ni Eid,ata karenda yao inasema Eid ni Leo
Wenzio Leo wamefungaπWataelewa tu
Eid Leo
Tunafinya pilau na kufurahia
ππ π Mufti kaharibu mnonachosikitika mimi kesho ni jumamosi, ilibidi leo iwe alhamis ili mapumziko yaanze leo mpaka jumapili π€£
Kufunga hakuna aliyefungaWenzio Leo wamefungaπ
Bakwata wanachokifanya sio vizuri.Kufunga hakuna aliyefunga
Watu wamejaa barabarani na kanzu zao wanafurahi
Nadhani BAKWATA wamejipotezea heshima Kwa waislam
Waislam wa Tanzania waoga sana,dawa ya mtu kama huyu ni kumsusia Eid, asherehekee yeye na mke wakeDini zenu ni utapeli
Mtu ana ghairisha sikukuu ya allah , halafu Allah nayeye yupo kimya tu ana mtazama
Halafu sio mara Moja ! Hii inafikirisha sana Kwa mtu mwenye Akili timamu kisawa sawa
BAKWATA ni taasisi ya kisiasa tuBakwata wanachokifanya sio vizuri.
Na iwe hivyo Mkuu, japo vita ni kubwa kwenye kulifanikisha hiloSahihi nadhani waislam waungane na Chadema tupate katiba mpya, tufanye uchaguzi huru na haki tuitoe CCM madarakani,
Waislam nao wapate taasisi Yao ya kuwawakilisha
Nasubiri kuswali kesho Mjukuu, ninatii mamlaka ya Mufti wetuMie nishaswali Leo,,wasubiri kesho eeehπ
Pole,
Ankoo heri ya mfungoInashangaza sana
πππ,wazee na bakwata tena π,hakuna Cha kuwatenganisha.Nasubiri kuswali kesho Mjukuu, ninatii mamlaka ya Mufti wetu
Si wajua tumezeeka siye, hatutaki heka heka na Serikali π
Hawawezi kuelewa,tokeapo tunazaliwa hii kitu ipo,inaendelezwa.BAKWATA ni taasisi ya kisiasa tu
Waislam waelewe hilo
Hahaha......si wajua siye tumezaliwa enzi ya TANUπππ,wazee na bakwata tena π,hakuna Cha kuwatenganisha.
pasaka ipo systematically haitegemei mwandamo wa mwezi, na yenyewe pia ni public holiday, ni ya serikali inaitambuaJe kwa pasaka vipi nako serikali ndo upanga
Na hapo mpo kwenye vijiwe vya kahawaππHahaha......si wajua siye tumezaliwa enzi ya TANU
BAKWATA na sisi, sisi na BAKWATA π