Uchaguzi 2020 Mufti Mkuu wa Waislamu Sheikh Zuberi leo Korogwe mbele ya Rais Magufuli

Waislamu tuamkeni ...huyu si wa kututetea sisi...

Sheikh Ponda kashasema ukweli...twende na Lissu.

Tunamjua huyo Mufti wenu, hana alichofanya pale, wanapoteza muda tu. Sisi tuko na Lissu. Hawatubabaishi hao.
 
LISSU umepata kura za Waislam wote. Hawa wacha waendelee na sarakasi zao.
 
Tisiii waganga wa kienyeji ambao hawana hata shule?
Hiyo ni Tisii ya CCM,si ile niijuayo mimi.
Mufti mtaalam kitambo sana
Na kwake wkt yuko ufipa walikuwa wanakja watu mbali mbali Wanasiasa,wafanyabiashara wakubwa,Ma model,wanamichezo etc

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Tisiii waganga wa kienyeji ambao hawana hata shule?
Hiyo ni Tisii ya CCM,si ile niijuayo mimi.
Ndivyo CCM inavyotaka kuwafanya muelewe hivyo. Niambie kiongozi mmoja tu wa Bakwata ambaye hajaenda shule
 
Hii post ilipaswa kuwa na thread ya peke yake lakini nashangaa kwa nini Mods wameunganisha Uzi wako.
Hata hivyo kuhusu viongozi uchwara wa dini wasikushangaze, wanakemea vitendo vya upinzani na kunyamazia vitendo vya CCM. Wapuuzi wenzao wanakuja kuwatetea humu eti haipaswi kuchanganya dini na siasa.
 
Usijali Mkuu 'naheshimu' na nakuomba pia nawe 'uheshimu' huu 'utaratibu' au 'maamuzi' ya JF Moderators 'Kuunganisha' huu 'Uzi' wangu ile Jana.
 
Its on...

Mufti ameueleza umma wa waislam na watanzania loud and clear kwamba sheikh Ponda is right na kila mtu na lwake. Sisi waislam tupo na sheikh Ponda anayetetea maslahi yetu na tarehe 28.10.2020 frustrations zetu mtaziona kwenye sanduku la kura.
 
Hawa mashekh wanafiki wa BAKWATA wanamfanyia hujuma JPM kwa makusudi kwa kuacha kugusia kero za waislamu
Yule ponda anasema wazi wazi kero za waislam na kuvuta hisia zao
Waislamu wengi watapigia kura Lissu
Hilo halina ubishi maalim tupo na mwenzetu sheikh Ponda sio hao mabwanyenye wanaotafutiwa pesa za mfalme wa Morocco sisi tunachangishana michango ya kwenye kofia.
 
Kila chombo kilichosajiliwa kwa mujibu wa sheria kinatambulika ndio maana unamuona Ponda na chombo chake wanafanya harakati zao pia.
Mimi sio Muslim ,ila ninachojua Bakwata ndio chombo kinachotambulika na serikali yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…