Vifaa hivyo ndio vinasema Jua halizami kwenye matope

Wabusu jiwe
Mtaviamini vipi ?
 
Hii misleading inaathiri hadi wasio waislam,

Imagine kama kweli uliandama Alhamis Eid ikawa Ijumaa Baraka ingekuwa Kwa wote hata wasio Muslims kwa bonus ya siku ya Ijumaa,

Watu wangeweza kupata muda wa kupumzika au kufanya jambo lingine la manufaa.
 
Yaani kweli BAKWATA wanashindwa kununua hii telescope hadi waombe msaada wa serikali? Mbona wanamapato makubwa sana na waumini wenye kujiweza.
Wana uwezo wa kununua mabomu tu na kulipuana kama ilivyo Sudan kwa sasa
 
Kapitiwa tuu tumsamehe.. Lakini kwa mtazamo mpana kamaanisha BAKWATA
Kuomba kununuliwa Darubini au Telescope na serikali ni KIAMA katika UISLAM

Kwanza Serikali iliyojaa Wagalatia

Astakhafirrullah....haijawahi kutokea katika Uislam
 
Kwanini Waombe? Hawakusanyi Swadaka?

Na Wakristo waombe serikali iwanunulie fimbo ya Askofu?

Ni jukumu la serikali?
Kuna shida gani kuomba? Mbona Waroma waliomba Rais awafutie Kodi kwenye masuala ya vifaa vya dini,waliomba eneo nk?

Acha ujinga
 
Kuna shida gani kuomba? Mbona Waroma waliomba Rais awafutie Kodi kwenye masuala ya vifaa vya dini,waliomba eneo nk?

Acha ujinga

Acha Upumbavu wewe

Kufutiwa kodi ni haki yao na dini au dhehebu lingine lolote

Hakuna kodi katika vifaa vya dini vinavyokuwa Imported, hili ni kwa dini zote

Inaelekea unaandika usivyovijua hata, Fanya tafiti
 
Acha Upumbavu wewe

Kufutiwa kodi ni haki yao na dini au dhehebu lingine lolote

Hakuna kodi katika vifaa vya dini vinavyokuwa Imported, hili ni kwa dini zote

Inaelekea unaandika usivyovijua hata, Fanya tafiti
Mpumbavu nini,ufanye biashara za Huduma kama shule, hospital,hoteli nk eti ufutiwe Kodi ni Haki Yao,kubwa jinga wewe..

Mwendazake zake mwenyewe Kwa kumtambua sio Haki alikataa kufuta hizo Kodi.
 
Kwani huyu mufti ameambiwa kwamba Tanzania ni Islamic State hadi ijihusishe na masuala ya uislamu? Huyu mhuni hatufai. Atupishe.
 
serikali inunuwe chombo kwajili ya dini??.
serikali inunuwe chombo kwajili ya dini?
 
Jukumu la bakwata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…