Muhamad alimuoa Safiya Myahudi baada ya kumuua Mume wake kwa Mahari ya Tende na Samli

Hujasahau ya kumi, unajitoa ufahamu tuu. Umeruka moja . USIFANYIE SANAMU LA KUCHONGA, WALA MFANO WA KITU KILICHO DUNIANI WALA MBIGUNI, USIVIABUDU WALA KUVITUMIKIA...
 
Sio uongo,hii ni habari ya kweli kabisa. Baada ya kuuawa mume (Kijana) wa safiya ambaye Mohamed alitoa amri ateswe mpaka aseme walikoficha fedha.

Safiya alikuwa binti mke wa Chief,mmoja ya askari wa Mohamed(Dihya) alimchukua kama mateka wake wa vita. Habari ilimfikia Mohamed kwamba Dihya amepata mwanamke mrembo kuliko wote.

Mohamed akatoa amri Dihya amlete Safiya ,kisha akamwambia ajichagulie katika watumwa wanawake wawili. Yeye akabakia na safiya,akamwoa bila hata kumtolea mahari .

Soma zaidi hapa,

Ibn Hisham, Conduct of the Messenger of Allah 764-5)

Safiya later said: “I did not hate anyone ass much as the Messenger of God, he killed my father and my husband.” A soldier by the name of Abu Ayyub had remained on guard in front of the tent, sword in hand, during the whole night when Mohammed was violating Safiya.

(At-Tabarani, Volume 24, p.67)

In the early morning, the Prophet asked him why he had remained in front of the tent. Abu Ayyub said, “I was afraid for you with this woman, because you killed her father, her husband, and her people, and until recently she was in disbelief, I was afraid for you .”

(Ibn Ishaq: sirat rasul allah – The life of Muhammad, p.517)
Imagine! How can you have sex with a woman when you have just killed her husband, her brother and her father? How could he have sex with her when she hated him with all her heart. Is not that a rape? Do not you call it rape, when you force someone who hates you to have a relationship?


View: https://youtu.be/kXSu00a_fno?si=m-pu0VYzitqvNpri
 
Nazani wanapenda kuchafua Imani za wengine ila mwenyezimungu ameshasema uislamu utaendelea kudhihiri hata kama makafiri watachukia.
 
mgen
 
Hujasahau ya kumi, unajitoa ufahamu tuu. Umeruka moja . USIFANYIE SANAMU LA KUCHONGA, WALA MFANO WA KITU KILICHO DUNIANI WALA MBIGUNI, USIVIABUDU WALA KUVITUMIKIA...

Amen amen amen.

Ahsante.

Basi huo ndo mwongozo ... Mtu awaye yoyote wa dini yoyote , dheheb au mrengo akisipotimiza hizo anakua hayupo kwenye mrengo sahihi.
 
Uongo mwingine huu. Mnadanganyana Basi ungeuliza watu wangekuelimisha ukaelewa vyema Kabla hujaandika hapa
 
@Moderator nyuzi kama hizi hamuezi kuziguza kwasbb zinadhalilisha Uisalamu zingekua zina gusa RC mnafuta au kuzihamisha mara moja, acheni kua na upande wa kidini tunawategemea muwe neutral......ni aibu uZi kama hu kua hapo ulipo
Kuna sehemu mtoa mada kaongopa?

Kwanini msikanushe kwa hoja kuwa ni uzushi

Hata sisi tujifunze kuhusu hii dini ya haki

Kubalini tu ujio wa Teknolojia ,utaziumbua sana hizi dini zenu maana mlikuwa mnafichwa vitu vingi
 
Moderator Active Paw Maxence Melo Huyu mtu mnamuachia anaota mbawa kila leo anaanzisha mada za kukashifu uislamu kwa copy na paste za uongo, tafadhali tuwe na fair play tusiharibu jukwaa letu kwa kuligeuza kijiwe cha kashfa kwa watu wetu wanaoheshimika zaidi.
 
Uongo mwingine huu. Mnadanganyana Bali ungeuliza watu wangekuelimisha ukaelewa vyema Kabla hujaandika hapa
Nikaulize watu wakati sources zipo kibao online!!!??!! We jamaa hauko serious kabisa, safiya alikuwa victim wa ukatili wa Mohamed. Alikchukia Mohamed kuliko mwanaume yeyote duniani,I bet ulikuwa hujui hata Jina la mume wa safiya (kinana).
 
Kuna sehemu mtoa mada kaongopa?

Kwanini msikanushe kwa hoja kuwa ni uzushi

Hata sisi tujifunze kuhusu hii dini ya haki

Kubalini tu ujio wa Teknolojia ,utaziumbua sana hizi dini zenu maana mlikuwa mnafichwa vitu vingi
Wanakimbilia kwa moderator,kama huu ni uongo walete sources ambazo ni za ukweli. Ukweli huushinda uongo kiurahisi tu.
 
Hakuna kosa kafanya hapo, ni jukumu.lenu kujibu hoja

Hakuna sehemu katukana ,kakashfu

Inatakiwa mjibu hoja ,

Safia alikuwa mke wa nani

Je Muhammad alimpata vipi safia

Je kwanini bwana wa safia aliuwawa


Jibuni hoja sio kulialia kwa Moderator
 
Wanakimbilia kwa moderator,kama huu ni uongo walete sources ambazo ni za ukweli. Ukweli huushinda uongo kiurahisi tu.
Nashangaa page ya 3 sasa, hakuna aliyejibu hoja ,zaidi wanalia kwa Moderator afute Uzi
 
Hoja yako hapa ni nini kijana?
 
Hakuna kosa kafanya hapo, ni jukumu.lenu kujibu hoja

Hakuna sehemu katukana ,kakashfu

Inatakiwa mjibu hoja ,

Safia alikuwa mke wa nani

Je Muhammad alimpata vipi safia

Je kwanini bwana wa safia aliuwawa


Jibuni hoja sio kulialia kwa Moderator
Huyu Komeo Lachuma tunamfahamu kwa miaka hata siku 1 hajapata kuanzisha mada ili ajifunze, ama mama wa waumini swafiyyah bint huyyayi allah amridhie yeye alipatikana mateka wakati wa vita vya khaybar na baba yake na ndugu yake na mume wake waliuwawa katika vita hivyo na huyu swafiyyah alikuwa ni bibi harusi bado, mtume swala na amani ziwe juu yake akamchagua na akampa hiari achague kusilimu au kubaki katika dini yake ya uyahudi na khabari hii imeelezwa katika sira sahihi:

اختاري ، فإن اخترت الإسلام أمسكتك لنفسي – أي : تزوجتك - ، وإن اخترت اليهودية فعسى أن أعتقك فتلحقي بقومك
"chagua ukichagua uislamu nitakuoa, na ukichagua uyahudi basi hakika nitakuacha huru ukakutane na jamaa zako"
​
swafiyyah radhi za allah ziwe juu yake akasema katika jumla ya maneno yake "......وخيرتني الكفر والإسلام ، فالله ورسوله أحب إلي من العتق وأن أرجع إلى قومي
na umenipa hiari baina ya ukafiri na uislamu na allah na mtume wake wanapendeza zaidi kwangu kuliko kuachwa huru na kurudi kwa jamaa zangu.."

Mtume alayhi ssalaam akafunga nae ndoa kwa hiari yake na ni mama wa waumini tunampa heshima hiyo mpaka leo hii, hapo kuna mgogoro upi? ni haramu mtume kufunga ndoa?.

Na khabari hii ipo katika swahihul bukhaariyy.
​
 
Naona unawashwa sana na Mtume wetu. Siku utakapoondoka hapa duniani dakika sifuri utayakumbuka haya maupupu yako unayoyatuma humu. Hii ni dhambi unayojitengenezea ambayo itaendelea kukuandama hata utakapokufa.
Kila la heri katika juhudi yako ya safari ya kuelekea Jahanamu
 
@Moderator nyuzi kama hizi hamuezi kuziguza kwasbb zinadhalilisha Uisalamu zingekua zina gusa RC mnafuta au kuzihamisha mara moja, acheni kua na upande wa kidini tunawategemea muwe neutral......ni aibu uZi kama hu kua hapo ulipo
Nyuzi nyepesi hizi wala hakuna haja ya kulalamika majibu mbona yapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…