Muhamad alimuoa Safiya Myahudi baada ya kumuua Mume wake kwa Mahari ya Tende na Samli

Hapa kuna shida gani ? Hii ilikuwa ni vita kufa watu ni jambo la kawaida, kuhusu mateka wa kike kufanywa mke pia ni jambo la kawaida mnacho shangaa hapa kama kuna kitu cha ajabu ni nini?
 
Kuna sehemu mtoa mada kaongopa?

Kwanini msikanushe kwa hoja kuwa ni uzushi

Hata sisi tujifunze kuhusu hii dini ya haki

Kubalini tu ujio wa Teknolojia ,utaziumbua sana hizi dini zenu maana mlikuwa mnafichwa vitu vingi
Mtoa mada katoa hoja gani? katoa taarifa alipaswa kusema kuwa hapo kulikuwa ni uwanja wa vita sio sokoni hapo kuwa utauliwa bila sababu
 
Hoja yako hapa ni nini kijana?
Dogo mbona nmetumia lugha nyepesi sana ambayo mtoto wa darasa la 3 hadi 5 E anaelewa kwa wepesi sana. Anyway tafuta mtu akusomee akueleweshe.yaani tunaandika kwa lugha hii adhimu na bado mnataka ufafanuzi? C'mon dont be that much lazy. Shake your brain a little bit. Hoja ipo very naked.
 
Wanakimbilia kwa moderator,kama huu ni uongo walete sources ambazo ni za ukweli. Ukweli huushinda uongo kiurahisi tu.
Mkianzisha hizi nyuzi mnitag mimi ndio napenda sana , kujibu watu ambao wanadandia mambo bila kuyajua kwa undani
 
Hapa kuna shida gani ? Hii ilikuwa ni vita kufa watu ni jambo la kawaida, kuhusu mateka wa kike kufanywa mke pia ni jambo la kawaida mnacho shangaa hapa kama kuna kitu cha ajabu ni nini?
Aliyefanya hivi alikuwa anajiita mtume,aliua mume wa mtu baada ya kutoa amri ateswe kwanza. Akamuoa mkewe,hakutoa mahari,hakusubiri hate Eda ipite.

Sio hivyo tu,usiku ule mmoja wa wafuasi wa Mohamed mwenye moyo wa kibinadamu alionesha nje ya hema ya Mohamed. Mohamed alivyomkuta nje asubuhi anamuuliza vipi wewe? Akajibu ,nilikuwa nahofia usalama wako kwa sababu huyu mwanamke tumeua mume,baba n familia yake yote.
 
Hoja yako nini kwenye hiki kisa? ebu sema upewe elimu maana kisa hakina tatizo zaidi ulitakiwa useme hapo palikuwa uwanja wa vita sio chooni
 
Sheikh mtu kachukuliwa mateka, kapelekwa utumwani, mumewe kauawa.,wazazi wake wameuawa, hana mbele wala nyuma. AKATE KUOLEWA NA MUHAMAD KWELI? ameshaona kilichotokea kwa WAZAZI WAKE, MUMEWE NA NDUGUZE? na imani hata wewe ungekubali kuolewa Yeshe.
 
Sasa ulitaka amchekee kwenye uwanja wa vita? adui anaeweza kukuua hata wewe unaweza kumuua, halafu huyo mwanamke akishakuwa mateka hana amri ni juu yake anae mmiliki mateka, akitaka atamuoa asipotaka basi huu ndio utaratibu wa mateka wa kivita, shida iko wapi?
 
Kama kweli alikuwa “huru”, basi uhuru huo ungetakiwa uanze kwa heshima ya haki zake za msingi—ikiwa ni pamoja na kutomchukua mateka baada ya vita. Huo ndio msingi wa hoja yangu,tukitumia mizani ya maadili ya sasa.

---
1. Kumchukua mateka ni uvunjaji wa uhuru wake tayari

Unapomchukua mwanamke mateka:

Unamtoa kwa nguvu katika jamii yake

Unamuweka kwenye hali ya kutegemea watu waliomshinda

Unamnyang’anya uhuru wa msingi wa kuchagua

Halafu baadaye ukamwambia, “nimekuacha huru, chagua unachotaka,” tayari huo si uhuru wa kweli—bali ni chaguo lenye kushinikizwa na mazingira ya kutokuwa na msaada wala njia mbadala.

Kwa hiyo:
Hata kama alipewa nafasi ya kuchagua baada ya hapo, chaguo hilo lilikuwa ndani ya kuta za udhaifu na kujeruhiwa kiakili. Hakukuwa na usawa wa uamuzi.

---

2. Kama angekataaa nini kingemtokea?

Hili halijasemwa wazi na vyanzo, lakini:

Kama angelikataa kuolewa na Muhamad, bado angekuwa mateka, au labda angepewa mtu mwingine.

Kusema kweli, hakukuwa na mfumo rasmi wa kuwahifadhi wanawake mateka waliokataa ndoa—isipokuwa Mtume angemtunza kwa hiari, kitu ambacho hakikuhakikishwa kwa wote.

Hii inaonesha wazi kuwa Safiya alikabiliwa na chaguo la “ndoa au kutupwa,” si “ndoa au maisha ya uhuru kamili.” Na hiyo si “hiari” kwa maana ya kweli.
 
Duh!
 
Well kama huoni shida katika hili basi kuna tatizo kwenye ufahamu wako,huyu mtu ni mfano wa kuigwa kwa vizazi vyote.

Ndiyo maana hata Islamic state walifanya hivyo kule Syria na Iraq. Waliteka wanawake wa kiyazid, wakristo nk.
 
Maandiko ya Kiislamu yanathibitisha kwamba baba na mume wa Safiyya bint Huyayy waliuawa wakati wa vita vilivyoongozwa na Mtume Muhammad (SAW).

Baba wa Safiyya: Huyayy ibn Akhtab

Huyayy ibn Akhtab alikuwa kiongozi wa kabila la Kiyahudi la Banu Nadir. Baada ya kushindwa kwa Banu Qurayza katika Vita vya Handaki (627 CE), Huyayy alikamatwa na kuuawa pamoja na wanaume wengine wa kabila hilo. Tukio hili limerekodiwa katika vyanzo vya kihistoria vya Kiislamu, ikiwemo "Sirat Rasul Allah" ya Ibn Ishaq.

Mume wa Safiyya: Kenana ibn al-Rabi

Kenana ibn al-Rabi alikuwa mume wa Safiyya na mtunza hazina wa Banu Nadir. Baada ya ushindi wa Waislamu katika Vita vya Khaybar (628 CE), Kenana alikamatwa na kuteswa ili kufichua mahali pa hazina ya kabila lake. Alipokataa kutoa taarifa, aliuawa kwa amri ya Muhammad. Tukio hili limerekodiwa katika vyanzo vya kihistoria vya Kiislamu, ikiwemo "Sirat Rasul Allah" ya Ibn Ishaq.

Baada ya kifo cha Kenana, Safiyya alichukuliwa mateka na baadaye kuolewa na Mtume Muhammad. Maelezo haya yanapatikana katika vyanzo vya kihistoria vya Kiislamu, kama "Sirat Rasul Allah" ya Ibn Ishaq na "Tarikh al-Tabari" ya al-Tabari.
 
@Moderator nyuzi kama hizi hamuezi kuziguza kwasbb zinadhalilisha Uisalamu zingekua zina gusa RC mnafuta au kuzihamisha mara moja, acheni kua na upande wa kidini tunawategemea muwe neutral......ni aibu uZi kama hu kua hapo ulipo
Hujaona nyuzi zinazowakejeli Wakatoliki, Wasabato na Wagalatia wengine hapa jukwaa??
 
Mkianzisha hizi nyuzi mnitag mimi ndio napenda sana , kujibu watu ambao wanadandia mambo bila kuyajua kwa undani
Nitajitahidi maana jina lako ni geni ila nitapenda sana uje nikufundishe hadith za Quran na mambo ya Muhamad. Mimi nlipata hii Ilimu nikiwa mdogo nikakua katika hiyo mpaka sasa mzee.
 
Sheikh mtu kachukuliwa mateka, kapelekwa utumwani, mumewe kauawa.,wazazi wake wameuawa, hana mbele wala nyuma. AKATE KUOLEWA NA MUHAMAD KWELI? ameshaona kilichotokea kwa WAZAZI WAKE, MUMEWE NA NDUGUZE? na imani hata wewe ungekubali kuolewa Yeshe.
Siku nyingine uwe unasoma acha uvivu hivi vitu vya kawaida bora Mohamadi alioa kwa tende na Samli kuna hawa hapa sasa😀
Mshamuulia wazazi wake na ndugu zake vitani hiki ndio anapata kama mateka wa kike
KUMBU LA TORATI 20 : 10-13

10-Utakapokwenda vitani kupigana juu ya adui zako, na Bwana, Mungu wako, awatiapo mikononi mwako, nawe uwachukuapo MATEKA,

11-ukaona kati ya mateka MWANAMKE mzuri, ukafanya tamaa kwake, ukawaza kumtwaa kuwa mkeo;

12- ndipo umchukue kwenu nyumbani kwako, naye ATANYOA kichwa, AKATE na kucha;

13-avue na mavazi ya uteka wake akae nyumbani mwako, awakalie matanga babaye na mamaye mwezi mzima, kisha uingie kwake uwe mumewe, naye awe mkeo.


Mahari kunyoa nywele na kukata kucha
 
Nitajitahidi maana jina lako ni geni ila nitapenda sana uje nikufundishe hadith za Quran na mambo ya Muhamad. Mimi nlipata hii Ilimu nikiwa mdogo nikakua katika hiyo mpaka sasa mzee.
Nina miaka zaidi ya 10 humu siwezi kuwa mgeni hata siku moja
 
Soma hapa kwanza kabla hatujaanza kukufundisha kuwa mtumwa amri ni kwa anae mmiliki sio yeye
KUMB LA TORATI 20:10-11
Utakapokwenda vitani kupigana juu ya adui zako, na Bwana, Mungu wako, awatiapo mikononi mwako, nawe uwachukuapo mateka,

ukaona kati ya mateka mwanamke mzuri, ukafanya tamaa kwake, ukawaza kumtwaa kuwa mkeo;

Vitani hakuna hayo mawazo yako mfu , kwa wakati huu, huu ndio ulikuwa utaratibu kama hutaki matatizo acheni kuwaza vita
 
Ni kama kisa cha daudi tu alivyo muua mume wa abigaili nakumwoa abigaili , au alivyo muua uria mhiti na kujichukulia bathsheba.

Kwa Daudi huwa tunamsema kwenye huo uhuni licha ya kwamba aliaehibiwa, ila huyo mtume wenu huwa hamtaki atajwe kwenye hayo mauchafu yake, yaani huwa mnamuona kama mungu mtu, mtimilifu, mkamilifu, malaika yaani akitajwa huwa hata mnajilipua mabomu.
 
Hayo ni makosa kabisa. Hayakupaswa kuwa hivyo ndo maana kwa sasa hawafanyi tena hivyo.KUUA NI DHAMBI KABISA. NI USHETANI, UNYAMA. KWA SASA NI UPENDO TU. HAKUNA KUUANA UANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…