Muhammad al-Jabari Kiongozi mkubwa wa magaidi wa Islamic Jihad anayeongoza kitengo cha kutengeneza silaha za maangamizi auawa leo asubuhi

Muhammad al-Jabari Kiongozi mkubwa wa magaidi wa Islamic Jihad anayeongoza kitengo cha kutengeneza silaha za maangamizi auawa leo asubuhi

Wadau hamjamboni nyote?

IDF yaendelea kutembeza kichapo kwa Viongozi wa magaidi Mashariki ya kati

Muda mfupi uliopita gaidi mmoja anayehusuka na kitengo cha silaha na fedha za kikundi hatari cha Islamic jihad ameuawa kwa kombora la ndege.

IDF inasema kwamba al-Jabari alikabidhiwa idara/ kitengo cha uzalishaji wa silaha katika Ukanda wa kaskazini wa Gaza, usambazaji wa mishahara na pesa kwa magaidi wa kikundi hicho , na alishiriki kikamilifu katika jaribio la kurejesha uwezo na miundombinu ya kikundi hicho kutengeneza roketi.

Hakuna gaidi aliyehusika kuongoza su kupanga shambulizi la Oktoba 7 nchini atakayesalimika na mkono.imara wa Wana wa Yakobo

Taarifa kamili hapo chini

A senior Palestinian Islamic Jihad commander was killed in an Israeli airstrike in the Gaza Strip, the military says, as troops continue operations in Rafah and the Netzarim Corridor.

Muhammad al-Jabari was the deputy head of an Islamic Jihad weapons manufacturing unit, and responsible for the unit’s finances, according to the IDF.

The IDF says that al-Jabari “was entrusted with the organization’s production of weapons in the northern Gaza Strip, distribution of salaries and money to the organization’s terrorists, and took an active part in the attempt to restore the organization’s rocket production capabilities and infrastructure.”

Meanwhile, the IDF says that troops with the 162nd Division killed more than 30 gunmen in close-quarters combat and by calling in airstrikes in southern Gaza’s Rafah in the past day.

Netanyahu anagandamiza msumali wa moto. Halafu kuna wajinga wanajisifia kama vile kwenda Israel kupigana ni sawa na kwenda kijiweni kula tende na kahawa.
Sipendi kuona mauaji yanayoendelea na nina wacheka wale wanaotaka kutuaminisha wao ni speacial kwahiyo wanaweza kumuua yoyote
 
Waache wafie humo humo na ajuza wao Faiza fox ili wamgeuze kitoweo( kama wale bikira 72)

YESU KRISTO NI MTUME WA MUNGU.

Sisi WAISLAMU TUNAAMINI , sawa na QUR'AN TUKUFU kwamba BWANA YESU KRISTO [ ISA bin MARIAMU ] alikuwa MTUME wa MWENYEZI MUNGU.

Kama MWENYEZI MUNGU alivyosema katika QUR'AN TUKUFU [ 4:172, 5:76, 61:7 ].

WAKRISTO WANAMPANDISHA YESU KRISTO DARAJA la JUU kuwa MWANA wa MUNGU na MUNGU.

Bado HATUJAELEWA ni kwa MISINGI GANI WAKRISTO WANAMPENDELEA hivi ambapo BIBLIA inaeleza VIZURI SANA kwamba:

Akajibu, akasema #SIKUTUMWA ila kwa KONDOO WALIOPOTEA wa NYUMBA ya ISRAELI.
[ MATHAYO 15:24 ].

2. Na UZIMA wa MILELE ndiyo huu, WAKUJUR wewe, MUNGU wa PEKEE wa KWELI , na YESU KRISTO #ULIYEMTUMA.
[ YOHANA 17:3 ].

3. ... bali YEYE ndiye #ALIYENITUMA. [ YOHANA 8:42 ].

4. ... Bali baba #ALIYENIPELEKA.
[ YOHANA 14:24 ].

5. ... WEWE ndiye #ULIYENITUMA.
[ YOHANA 17:8-14, 21-22 ]

6. Mimi #SIWEZI kufanya #NENO_MWENYEWE , kama #NISIKIAVYO ndivyo #NIHUKUMUVYO.

Na HUKUMU yangu ni ya HAKI , kwa sababu #SIYAFUATI mapenzi YANGU mimi, bali mapenzi yake #ALIYENIPELEKA.
[ YOHANA 5:30, 6:38, 4:36 ].

Isitoshe SIYO hayo TU , bali INJILI zote ZIMEJAA AYA ZINAZOELEZA kwamba #YESU_ni_MTUME_tu.

ninataja hapa AYA chache tu ZINAZOTHIBITISHA UTUME WA YESU.

MATHAYO 21:46, 21:11, 9:37.

MARKO 9:35,

LUKA 4:43, 24:19.

YOHANA 13:20, 12:44-50, 7:16-17, 6:44, 7:28-33, 8:1618, 26-29, 9:4,19:17, 6:14, 15:22, 16:5,17:21-25, 4:1924-44.

WAKRISTO KUJIFUNZA NJE YA KANISA KUNA MANUFAA MAKUBWA KULIKO NDANI YA KANISA ,SABABU NDANI YA KANISA HUWEZI KUELEZEWA MAMBO KINAGAUBAGA.

NI MPANGO WA SIRI WA KISHETANI KUWAPOTEZA WALIO WENGI MIONGONI MWA WAKRISTO

TUMIA AKILI YAKO HURU ,MACHO YAKO NA NEEMA YAKO YA UZIMA ,KUJIFUNZA ILI UWEZE KUITAFUTA KWELI NA NJIA YA HAKI.
 
Ulishaungama kwa yule padri shoga ?
😇😆😆😆😆
Ile nawaitu raafal hadatha dole la kati Ndani kutwa mara.5 kuanzia utotoni Hadi Hapo ulipo una Linda lililo Baki+mipulizo ya shehetan??🎤
 
Attachments

  • Screenshot_20240227-190855~2.jpg
    Screenshot_20240227-190855~2.jpg
    58.9 KB · Views: 2
Hivi mwanamke wa kiislam akifa anapgania dini ndo anageuka bikira kwa ajili ya kuliwa na shaidi wa kiume? Msaada tafahali kwenye tuta
Fikra hizi za kiduwanzi umezitoa wapi?
Na hilo neno la bikra 72 wewe umetoa wapi?
Maana katika uislam hatuna hiko kitu.
 
Fikra hizi za kiduwanzi umezitoa wapi?
Na hilo neno la bikra 72 wewe umetoa wapi?
Maana katika uislam hatuna hiko kitu.
Basi sitaki tena kufa kama shahidi....kumbe bikira 72 ni ulongo tu
 
Hii siyo bure, labda wale vijana wa kipalestina waliokamatwa na Israel watakuwa wanatoa siri za hamas
Soma hapa uone Pegasus spyware inavyowa identity by location, picture and messages

IMG-20240801-WA0016.jpg
 
Netanyahu anagandamiza msumali wa moto. Halafu kuna wajinga wanajisifia kama vile kwenda Israel kupigana ni sawa na kwenda kijiweni kula tende na kahawa.
Sipendi kuona mauaji yanayoendelea na nina wacheka wale wanaotaka kutuaminisha wao ni speacial kwahiyo wanaweza kumuua yoyote
Unavyoongea kana kwamba hiyo Israel haijaguswa na kuumia.
Hivi unajua Israel ina askari 70000 walemavu wa kudumu hadi sasa kulingana na vita ya Hamas na mashambulizi ya Hizbollah!??
Usiwaweke hao Israel kuwa ni special.
 
Unajijua unasakwa na IDF na mbele yake yupo marekani, unafanya fingerprint wakati unasaka passport, bado unasafiria passport, tena unatumia smartphone, unatumia email, unatumia google kusoma vitu, una account Facebook, insta na tiktok, hapo pote haujui kama jamaa wanakua wanakusoma ujinga wako wote kila dakika
Hawafanyi yote hayo, sio wajinga hata kidogo. Mfano Deif alikuwa anajificha sana. Hawatumii mawasiliano ya mtandaoni wala hawana utambulisho sahihi.

Hao magaidi wana nidhamu na commitment kubwa kitu chenye kuwaweka hatarini wanakikataa kwa moyo mmoja. Mullah Omar alitafutwa miaka yote haonekani akaja kufa kwa TB kisa kukaa mapangoni na kwenye mashimo miaka mingi havuti hewa safi. Magaidi wengi unakuta wana matatizo ya kifua, hawavuti hewa safi.

Kinachofanya wapatikane ni espionage kali ya Israel na kupata hints kwa kufuatilia members wadogo hasa mateka wa hii mission, na wanatumia akili haswa.
 
Unavyoongea kana kwamba hiyo Israel haijaguswa na kuumia.
Hivi unajua Israel ina askari 70000 walemavu wa kudumu hadi sasa kulingana na vita ya Hamas na mashambulizi ya Hizbollah!??
Usiwaweke hao Israel kuwa ni special.

Nimesema na narudi tena kusema. Salama yao sio kuiondoa Israel. Ni kuishi kwa pamoja. Haya mambo ya mtu mmoja na roho yake mbaya kutumia dini kukangamiza wengine, kwa mambo ambayo hata yeye anayafanya, haitaweza kubadili Israel na Mashariki ya kati.
Wakifa waisrael 20, kwa mfano, inatokea nini baadae? Namba haziongopi. Ila sisi huku tusiojua dunia inavyofanya kazi, kina maamuma, ndio tunajilisha upepo na kudanganyana
 
Wadau hamjamboni nyote?

IDF yaendelea kutembeza kichapo kwa Viongozi wa magaidi Mashariki ya kati

Muda mfupi uliopita gaidi mmoja anayehusuka na kitengo cha silaha na fedha za kikundi hatari cha Islamic jihad ameuawa kwa kombora la ndege.

IDF inasema kwamba al-Jabari alikabidhiwa idara/ kitengo cha uzalishaji wa silaha katika Ukanda wa kaskazini wa Gaza, usambazaji wa mishahara na pesa kwa magaidi wa kikundi hicho , na alishiriki kikamilifu katika jaribio la kurejesha uwezo na miundombinu ya kikundi hicho kutengeneza roketi.

Hakuna gaidi aliyehusika kuongoza su kupanga shambulizi la Oktoba 7 nchini atakayesalimika na mkono.imara wa Wana wa Yakobo

Taarifa kamili hapo chini

A senior Palestinian Islamic Jihad commander was killed in an Israeli airstrike in the Gaza Strip, the military says, as troops continue operations in Rafah and the Netzarim Corridor.

Muhammad al-Jabari was the deputy head of an Islamic Jihad weapons manufacturing unit, and responsible for the unit’s finances, according to the IDF.

The IDF says that al-Jabari “was entrusted with the organization’s production of weapons in the northern Gaza Strip, distribution of salaries and money to the organization’s terrorists, and took an active part in the attempt to restore the organization’s rocket production capabilities and infrastructure.”

Meanwhile, the IDF says that troops with the 162nd Division killed more than 30 gunmen in close-quarters combat and by calling in airstrikes in southern Gaza’s Rafah in the past day.
Ashapewa mabikira 72?
 
Huyo mwamba sisi waislam wa madhehebu ya Shia tunamtukuza sana.

Ni kipenzi chetu cha dhati. Alikuwa mjukuu wa mtume Muhammad mtoto wa binti ya Mudi Fatma. Baba yake alikuwa Ali binadamu ya Mudi.

Bila yeye kuupigania, kuutetea Uislamu, uislamu usengekuwepo.

Sunni wanamchukia bila sababu lakini sisi Shia ni kipenzi chetu cha dhati.

Kupitia yeye tumepewa Tawfiq tunauhakika wa jannah na firdaus.

Ni muhimu na lazima waislam wote wa Shia kwenda Karbala na Najaf kuhiji ambapo kipenzi chetu alikufa.

Allah amfanyie wepes na aendelee kumpa qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imam Hussein.

Chini hapo ni seal ya kipenzi chetu. Kila nyumba ya mshia utakuta imening'inizwa ukutani.View attachment 3059621

Na hii picha hapo chini naam ndiye mwamba mwenyewe.
View attachment 3059622

adriz ephen_ Malaria 2 Kinyungu Code 255
Mbona mnasema waislam nyote ni wamoja.
Kuna msikiti wa shia hapa karibu, jinsi wanavyotoa mawaidha kidogo nilistuka na kuhisi huko kwenye uislam nako kuna makundi.

Imam anauongelea ushia tu, sijui shia hivi mara shia vile, shia tuko sahihi sana, serikali imeanza kushikamana na shia nk.
Na ninyi shia mkiwa imam akiwa anatoa mawaidha ndo huwa naskia adhana za sunni.

Nilipo nimezungukwa na misikiti karibu 5. Kuna mingine naona ratiba za ibada zinatofautiana.

Shia na Sunni utofauti wake hasa ni kwenye hao wajukuu wa mtume tu au kuna mengine??
 
Unajijua unasakwa na IDF na mbele yake yupo marekani, unafanya fingerprint wakati unasaka passport, bado unasafiria passport, tena unatumia smartphone, unatumia email, unatumia google kusoma vitu, una account Facebook, insta na tiktok, hapo pote haujui kama jamaa wanakua wanakusoma ujinga wako wote kila dakika
Wanakudeku na kusema..."look at that bvstvrd doing in the dungeon "..!We are going to smoke out all of them. Horrible!
 
Nimesema na narudi tena kusema. Salama yao sio kuiondoa Israel. Ni kuishi kwa pamoja. Haya mambo ya mtu mmoja na roho yake mbaya kutumia dini kukangamiza wengine, kwa mambo ambayo hata yeye anayafanya, haitaweza kubadili Israel na Mashariki ya kati.
Wakifa waisrael 20, kwa mfano, inatokea nini baadae? Namba haziongopi. Ila sisi huku tusiojua dunia inavyofanya kazi, kina maamuma, ndio tunajilisha upepo na kudanganyana
Na hata hapa pia naona unatudanganya.
Waarabu sio kama hawataki amani na Israel,wanataka amani sana.
Ila Israel amekua ndio mkiukaji wa hiyo amani tokea 1947.
Ili amani ipatikanike Israel iache uonevu kwa Palestina pia iache kunyakua ardhi za Palestina na pia Palestina itambulike kama taifa huru la kujitegemea sio Occupied territory.
Shida kuu zipo hapo.
Hata hizi vurugu za sasa chanzo sio Oktoba 7 chanzo ni August 23 Israel ilipovamia mashamba ya Palestina na kuyahodhi.
Hivyo Israel iache ubabe wa kipuuzi na Palestina iheshimiwe kama taifa huru.
 
Mbona mnasema waislam nyote ni wamoja.
Kuna msikiti wa shia hapa karibu, jinsi wanavyotoa mawaidha kidogo nilistuka na kuhisi huko kwenye uislam nako kuna makundi.

Imam anauongelea ushia tu, sijui shia hivi mara shia vile, shia tuko sahihi sana, serikali imeanza kushikamana na shia nk.
Na ninyi shia mkiwa imam akiwa anatoa mawaidha ndo huwa naskia adhana za sunni.

Nilipo nimezungukwa na misikiti karibu 5. Kuna mingine naona ratiba za ibada zinatofautiana.

Shia na Sunni utofauti wake hasa ni kwenye hao wajukuu wa mtume tu au kuna mengine??
adriz Malaria 2
 
Back
Top Bottom