Hichi kisa Muhammad alikota kwenye stori za watoto za kiyahudi
Ndio maana ni ngumu sana kuaminisha mtu
Hamjui maandiko yenuHapo yeye ametaja malaika au mahuri sijui kama ulivyotaja wewe?
Nionyeshe ulipoyapata hayo maneno maana yeye hajayaweka ila yameonekana kwako tu
Hujataka kusoma historia ya maisha ya Mtume Muhammad kutokana na kiburi chako tu na hii ndio sababu ya watu wengi watakaingia motoni. Bado una chance ya kuutafuta ukweli na kuujua before it is too late.
Hutakuwa na wa kumlaumu siku hiyo ya Qiyama isipokuwa nafsi yako mwenyewe.
Kutokana na hicho kiburi na chuki zako hata kama ukisoma na kuona kuwa Mtume Muhammad (pbuh) alitenda miujiza mingi kwa uwezo wa Mungu bado hutoamini sanasana utaleta kejeli tu kama waliokufuru kabla yako ambao walishuhudia hiyo miujiza kwa macho yao ila waliikanusha
Hayo ni maelezo yakoHamjui maandiko yenu
Koran ( 21:17) " Had We intended to take a pastime (i.e. a wife or a son, etc.), We could surely have taken it from Us..... Kama Allah sio Hermaphrodite (Intersex) hiyo US ni kina nani?
From us , hao ni malaika na ma huri
Naona unaendelea kuruka ruka kama bisi kikaangoniUmerukaruka tu mkuu hujajibu hoja.
Huo mfano wako wa kwenye 19:90-91 hauonyeshi sababu ya Allah kutokuwa na mtoto. Hivi kama kuna mtoto Fulani wanasema ni wangu Kisha mi nikasema sio wangu, hiyo ni sababu ya kwa nini sina mtoto? Kuwa serious japo kidogo kuelewa mambo.
Tukija kwenye 6:101 Allah anasema kabisa hana mtoto kisa hana mke, na ile ya 39:4 Allah anasema anaweza kuwa na mtoto hata bila mke. Hapo unaelewa mkuu ama vipi?
112 imetoa sababu ya kwa nini Allah hana mwana?
Kuzaa ama kuzaliwa sio hoja ninayouliza, kwa sababu hata kwenye Biblia ambapo Mungu ana Wana hajazaa wala hajazaliwa alichokifanya ni kama kwenye hiyo 39:4 aliamua tu kuchagua akasema huyu ni mwanangu mpendwa.
Nenda basi ukasome walau lugha upate kuelewa unataka tukurudishe shule kijanaHamjui maandiko yenu
Koran ( 21:17) " Had We intended to take a pastime (i.e. a wife or a son, etc.), We could surely have taken it from Us..... Kama Allah sio Hermaphrodite (Intersex) hiyo US ni kina nani?
From us , hao ni malaika na ma huri
Swali hili apaNenda basi ukasome walau lugha upate kuelewa unataka tukurudishe shule kijana
Viongozi ama hata waheshimiwa wengi kama sio wote hapa duniani tu hua wanatumia nafsi ya wingi wakiwa wanaongea wao wenyewe kama wenyewe
Hii inaitwa Plural of majesty mfano rais samia atasema sisi tumeamua nchi ifanye jambo fulani wakati anaongea mwenyewe
Nenda kasome kidogo halafu urudi
Juu huko nakumbuka nilikwambia kama Qur’an ina kitu kinaitwa balagha hio ya (Us) badala ya (I) ni sehemu moja wapo ya balagha katika balagha nyingi zilizomo ndani ya Qur’an
Yaani mpaka wewe ushaanza kuyaona maajabu ya Qur’an sasa eenh safi sana
Alikuwa hana tofauti na hawa wanasiasa wa sasa unadhani hawa ndio wangekuwa kipindi hiko kama cha mtume tekinolojia hamna hamna.. si wangesema wao ndio Mungu na tuwaabudu hawa..Kila nikisoma kisa cha Mfalme Suleiman katika Quran tukufu huwa naona kiwango cha juu sana cha utunzi wa sanaa ya masimulizi kwa Mtume Muhammad (PBUH).
Fikiria Muhammad anasema Suleiman alikuwa anaweza kuwasiliana na wanyama wote, ndege mpaka siafu alikuwa anawasikia.
Suleiman anahadithiwa aliweza kuhamisha kiti cha Ufalme wa malkia wa Sheba kutoka Yemen mpaka Israel kufumba na kufumbua. Mtume alikuwa anajua "time travel" enzi hizo
Muhammad anasema Sulemani alikuwa ana amri juu ya upepo (upepo enzi hizo ilikuwa ni kitu muhimu sana kwa jamii za Gulf zinazosafiri baharini)
Suleiman alikuwa ana amri juu ya majini/mapepo na hata aliwatumia kujenga msikiti wa Al-Aqsa.
Suleiman alipokufa majini na watu hawakujua mpaka alipoanguka kutoka kitini mwake na hapo ndipo ilipogundilika kwamba majini hayaoni mambo ya mbeleni.
Hii ni kama riwaya ya kubuni (fiction novel) ya hali juu sana.
Kwa hiyo Allah nae anatumia plural majestic kama viongozi wanadamu?Hii inaitwa Plural of majesty mfano rais samia atasema sisi tumeamua nchi ifanye jambo fulani wakati anaongea mwenyewe
Kutoka kwake usichoelewa ni nini?Swali hili apa
Kama Allah sio Hermaphrodite (Intersex) hiyo US ni kina nani?
Kwa maana ya us ni Allah mwenyewe akitaka mke anajichukua mwenyewe
Allah ni hermaphrodite
Sasa cha kushangaza nini kwani lugha anayotumia si ndio hiihii ya wanadamu?Kwa hiyo Allah nae anatumia plural majestic kama viongozi wanadamu?
Na wanadamu akisema sisi jua kuna wasaidizi wake wengine wanafanya nae kazi
Ndio maana juu kule nikakwambia kama mwalimu wako alipata shida sana kukufundisha wewe jamaaSwali hili apa
Kama Allah sio Hermaphrodite (Intersex) hiyo US ni kina nani?
Kwa maana ya us ni Allah mwenyewe akitaka mke anajichukua mwenyewe
Allah ni hermaphrodite
Wewe ndie unashindwa kujibu maswali yangu,Ndio maana juu kule nikakwambia kama mwalimu wako alipata shida sana kukufundisha wewe jamaa
Nimekujibu swali kisomi kabisa bado hujaelewa
Basi mara moja moja nenda hata kwa Ai akusaidie maana huku unaruka ruka tu nakujionesha kua una ubongo mzito sana
😁😁😁Kwa hiyo Allah nae anatumia plural majestic kama viongozi wanadamu?
Na wanadamu akisema sisi jua kuna wasaidizi wake wengine wanafanya nae kazi
Sasa si kutoka kwake kwani wewe unajua kiswahili gani tofauti na wenzio🤣🤣?Wewe ndie unashindwa kujibu maswali yangu,
Allah kasema akichukua mke atachukua kutoka sisi
Nimekuuliza ao sisi ni kina nani
Ukajibu ni Allah mwenyewe, Sasa Allah akitaka mke anajichukuaje mwenyewe?
Sasa si kutoka kwake kwani wewe unajua kiswahili gani tofauti na wenzio🤣🤣?
Maana yake anatoka kwake kwa kukurahisishia
Ukisema unachukua nyanya kutoka kwako kwa hiyo wewe ndio nyanya mwenyewe?Kwa anachukua mke kutoka sisi yani yeye mwenyewe anajichukua kuwa mke
Maana mwenzako kasema sisi ni Allah mwenyewe anatumia plural majestic
Nimefunga kazi yangu
Shida wewe ndio huelewi ama hutaki kuelewa ama hutakaa ueleweWewe ndie unashindwa kujibu maswali yangu,
Allah kasema akichukua mke atachukua kutoka sisi
Nimekuuliza ao sisi ni kina nani
Ukajibu ni Allah mwenyewe, Sasa Allah akitaka mke anajichukuaje mwenyewe?
Kwa hiyo Allah kwenye uwepo wao wako kina Allah wangapi, ambao sio wadhaifu?Na hapo mke kamaanisha kutoka kwenye uwepo wao huko walipo sio kwa sisi binaadamu wadhaifu