Muhammad alikuwa mtunzi mzuri sana wa sanaa ya masimulizi

Wewe ni mbumbu hizo habari za nabii Suleiman zipo katika vitabu vya Apoklifa vitabu ambavyo wajanja wenu waliyokuleteeni ukiristo wamevificha Ili msivisome

Na kazi Moja wapo ya Qurani ni kufichua Maneno ya Mungu ambayo makafiri wenzako wameyaficha
Sulemani kufa na kakaa kwenye kiti mwaka mzima , hapewi chakula haendi chooni ata kukojoa haongei na mtu

Wajanja walificha ili wafaidike Nini ?
Nipe faida Moja walipata
 
Kua na adabu dogo
 
Unayoyasema hayajajibu maswali yangu hata tone
Ilikuwaje watu ufalme wake wote hawamuoni na wapo kimya ? Watumishi ,mke watoto na ndugu mwaka mzima wapo kimya ? Mpaka mchwa wale fimbo yake ya miti , mfalme mzima ana fimbo ya miti?

Nyumba ya mfalme ni ya udongo?
Chooni haendi kula hali mwaka mzima na watu wapo wanaona sawa
 
Binadamu waliomzunguka Allah alikuwa anawajuza Nini ? Maana na wao wamekaa mwaka mzima mtu hali chakula na Wala haendi chooni na haongei
 
Sulemani kufa na kakaa kwenye kiti mwaka mzima , hapewi chakula haendi chooni ata kukojoa haongei na mtu

Wajanja walificha ili wafaidike Nini ?
Nipe faida Moja walipata
Ili wewe uwe msukule wao
 
Ili wewe uwe msukule wao
Kwa mimi kutokujua wamefaidika Nini ndio swali la msingi

Kwamba kutokujua kuna watu mtu hali na haongei na haendi chooni mwaka mzima na kakaa kwenye kiti na hapati chair sore
Na mfalme mkubwa ana fimbo ya miti na kuishi kwenye jumba LA udongo
Wamefaidika Nini?
 
😆😆😆
Kwahio pia kakopi vitabu vinavyopotosha ama???
Ndio maana nikakuambia hujui Biblia na Quran.

Visa vya mitume wa Biblia. Jamaa kavigeuza.
Mfano.
Mussa alichinja Ngombe mwekundu. Na akamwaga damu chini.
Miaka 600 mbele , Mohamed kasema Mussa alichinja ngombe wa njano. Na nyama yake ilikatwa na kumpiga maiti. Na maiti ikafufuka.
Na maiti ikasema nani alimuua na maiti ikafa tena.

Ni kisa kimoja. Sema Jamaa yenu kaigeuza zaidi . Tena baada ya miaka 600.

Visa ninavyojua viko zaidi ya 30+ . Vimegeuzwa.
Na ndio kitabu mnachokiamini.
Kwamba kimekamilika.

Wakati kwa akili ya kawaida tu unaona upotofu wake. Maana source iko. Na iko na historia. Ila jamaa akasema yeye ameoteshwa source ya kweli,.

Miaka 600 mbele.
hauwezi kuwa serious kaka.
 
😆😆😆
Kwahio pia kakopi vitabu vinavyopotosha ama???
Kwenye Biblia Nuhu anaandikwa kuwa aliingia kwenye safina yeye na watoto wake watatu.

Miaka 600 mbele. Jamaa akaja kusema Nuhu aliingia na watoto wawili.
Mke wake na mtoto wake mmoja alimuacha.

Yaani jamaa hapa hakufikiria vizur.
sasa huko kwenye safina, babu Nuhu alikuwa analomba wanyama?.
Yaan ameachaje kiburudisho chake ?.

Hapana sio kweli.
 
Muhammad ni muongo ajabu,amini usiamini huyu wanayemuita Allah ni jini mkuu aitwaye subiani.Allah na majini wenzake walimtumia Muhammad kuupotosha ulimwengu ili kumpinga mwana wa Mungu aliyekuja kuwaokoa wanadamu,amini usiamini huu ndio ukweli uliojificha.
 
Yaani kwa kuandika hivyo tu bila ushahidi wowote wa maana ndio tukuamini?
 
Wewe cumah na macumah wako wote waliochangia huu ucumaha ulioleta unaonekana ni cumah kilaza huna ufahamu wowote na vitu unavyojiaminisha unasoma cumah wewe
Hivyo ulivyosoma vimeaandikwa kwenye Apokrifa ilikuwepo kabla hata ya huyo Shoga mnaemuabu alekuwa anapelekewa moto na paulo maana huyo sio Yeshua wa wayahudi wala Isa wa waislamu.

Ulivyo cumah mpumbavu maana bicwa hili limjaa mavi na kamasi wala huna akili ya kutafuta hadidu za rejea ya ulichokisema cumah wewe

Maandiko mawili ya msingi ya apokrifa yanayohusiana na Mfalme Sulemani ni Hekima ya Sulemani naAgano la Sulemani . [1, 2]

1. Hekima ya Sulemani (Kitabu cha Hekima)
    • Uandishi na Asili: Imeandikwa kwa Kigiriki karibu karne ya 1 KK (karibu 130 KK - 70 BK) huko Alexandria, Misri, na mwandishi Myahudi asiyejulikana ambaye anaandika kwa sura ya Mfalme Sulemani ili kutoa mamlaka kwa mafundisho yake. [1, 2]
    • Maudhui ya Msingi:
      • Sura ya 1–6 inawahimiza watawala na mahakimu wa ulimwengu kupenda uadilifu na kufuata hekima.
      • Sura ya 6–10 zinamhusu "Sulemani" akielezea jinsi alivyotafuta na kuongozwa na hekima, ikiwa ni pamoja na sala maarufu ya kumwomba Mungu hekima.
      • Sura ya 11–19 zinasimulia tena sehemu za historia ya Israeli (kama vile Kutoka) kupitia lenzi ya ulinzi wa hekima. [1, 2, 3]
    • Mada za Kitheolojia: Inachanganya hekima ya jadi ya Kiebrania na falsafa ya Kigiriki (Uplatoni wa Kati na Ustoiki) na inasisitiza sana kutokufa kwa roho. Inakubaliwa kama Maandiko Matakatifu katika mila za Wakatoliki wa Kirumi na Orthodox wa Mashariki, huku ikichukuliwa kama ya apokrifa/deuterokanoni na Waprotestanti na Wayahudi. [1, 2]

2. Agano la Sulemani
    • Uandishi na Asili: Maandishi bandia (yanayohusishwa kimakosa na Sulemani) yaliyoandikwa kwa Kigiriki, huku hati zilizosalia zikianza kwa kiasi kikubwa kutoka kipindi cha mapema hadi katikati cha Byzantine (ingawa mizizi yake ni katika mila za awali za kichawi/ngano).
    • Maudhui ya Msingi:
      • Inaelezea kwa undani simulizi la hadithi kuhusu jinsi Mfalme Sulemani alivyojenga Hekalu la Kwanza huko Yerusalemu kwa kuamuru na kuwatiisha mapepo .
      • Kulingana na hadithi, malaika anampa Sulemani pete ya kichawi yenye pentagramu na muhuri wa Mungu.
      • Sulemani anatumia pete hiyo kukamata pepo—akianza na pepo Ornia, na hatimaye kumlazimisha Beelzebuli (mkuu wa pepo) na wengine kukata mawe, kutengeneza chokaa, na kufanya kazi ya ujenzi wa hekalu. [1]
    • Asili: Tofauti na Hekima ya kifalsafa ya Sulemani , Agano la Sulemani linasomeka kama agano la kichawi-uchawi na mwongozo wa hadithi bandia badala ya mafundisho ya kidini ya kisheria.
 
That Pedophile man alikuwa mastermind.

Kama alifanikiwa kutengeneza ideology yake ya kipekee kwa stori za kutunga na mambo ya kufikirika ambayo hadi leo watu wako tayari kuua wengine ili kutukuza jina lake basi the guy was not a simple man
Wewe ch0k0 mnuka mavi unaaanza kufanana na mleta mada punga wewe
Haya nenda kawaambie mabasha zako wanaokupelekea moto wanipige bani shoga mweusi wewe
 
Unaweza kupata kisa kirefu hivi cha kusisimua kwa muendelezo katika Biblia?
Wewe shoga unaongelea bibilia iliyotungwa na na mashoga wenzako wa vatikani?
Kwanini wayahudi hawaitambui hizo ngojera za mashoga ?
 
Miongoni
Nabii Suleiman (a.s) alifia katika chumba au eneo lake maalumu aliloliweka kwa ajili ya ibada zake lilioitwa Mihrab.Hapa alikuwa akijitenga kwa muda mrefu akiwa anafunga kula na kunywa.

Wasaidizi wake alikuwa wakimuona kwa mbali na ilikuwa marufuku kumkatiza akiwa kwa kwenye ibada zake za itikaf.Hivyo majini walikuwa wakiendelea kuchapa kazi kwa hofu wakidhani kuwa Mfalme Suleiman anawaona..

Pia mitume walikuwa wakiweza kufunga kula na kunywa kwa muda mrefu kuliko wanadamu wa kawaida. Mungu alikuwa anawaruzuku kwa aina tofauti na sisi tulivyozoea kula na kunywa. Kwahiyo kukaa muda mrefu pasi na kula au kunywa ilikuwa kawaida.

Mwili wake uliweza kukaa muda mrefu pasi na kuharibika au kutoa harufu kwasababu Miili ya Mitume na manabii wa Mungu huwa haiozi. Alikufa akiwa amesimama huku ameegemea fimbo yake hivyo wasaidizi wake walijua kuwa yupo kwenye ibada na majini waliendelea kupiga kazi mfululizo kwasababu ilikuwa marufuku kumsogelea akiwa kwenye ibada zake.


Kuhusiana na kuwa na fimbo ya mti hali ya kuwa ni mfalme. Ukisoma historia ya nabii suleiman utagundua kuwa licha ya kuwa alikuwa Mfalme mkubwa na tajiri ila alikuwa ni mtu mnyenyekevu mno na aliyeikinai dunia kwa kiislam kunaita zuhdi. Hivyo kuwa na fimbo ya mti si jambo la ajabu kwani hata Nabii Musa naye alikuwa na fimbo yake ya mti.


na ALLAH ni mjuzi zaidi.
 
Hakuna kilichobadilishwa kwenye bibilia kwenda kwenye Quran
Bibilia hasa agani jipya ni upupu uliotungwa na wa vatikani, hata kwa kihistoria wayahudi hawaikubali na luiamini, sasa kitu ambacho hakiamini na wenyewe nyie nyani weusi mliytumiwa ili kutawaliwa na kufanywa makondoo.
Hii bibilia yenye makosa zaidi ya 700, inakuwaje ndio ichukuliwe na kuingizwa kwenye Quran
Hasa agano jipya la vatikani ukilisoma ni kama ngojera za ushoga tu


Hata historia ya Tanzania inaonyesha jinsi wakoloni walivyoingia na kukuta pwani zote zimeshakuwa miji ya kibishara na kwenda maporini na kuwakuta mababu zako na kuwafanya watumwa kwa kutumia bibilia ambayo wayahudi anakotoka huyo yesu wa kubumba walishaikataa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…