Muhammad alikuwa mtunzi mzuri sana wa sanaa ya masimulizi

That Pedophile man alikuwa mastermind.

Kama alifanikiwa kutengeneza ideology yake ya kipekee kwa stori za kutunga na mambo ya kufikirika ambayo hadi leo watu wako tayari kuua wengine ili kutukuza jina lake basi the guy was not a simple man
ch0k0 umeshaongea na mabasha zako naona, muda huu unaukalia mkunyenge
 
Ch0k0 wewe ni shoga mmoja yule yule umeomba watoe madongo haya ya uso



Maandiko mawili ya msingi ya apokrifa yanayohusiana na Mfalme Sulemani ni Hekima ya Sulemani naAgano la Sulemani . [1, 2]

1. Hekima ya Sulemani (Kitabu cha Hekima)
    • Uandishi na Asili: Imeandikwa kwa Kigiriki karibu karne ya 1 KK (karibu 130 KK - 70 BK) huko Alexandria, Misri, na mwandishi Myahudi asiyejulikana ambaye anaandika kwa sura ya Mfalme Sulemani ili kutoa mamlaka kwa mafundisho yake. [1, 2]
    • Maudhui ya Msingi:
      • Sura ya 1–6 inawahimiza watawala na mahakimu wa ulimwengu kupenda uadilifu na kufuata hekima.
      • Sura ya 6–10 zinamhusu "Sulemani" akielezea jinsi alivyotafuta na kuongozwa na hekima, ikiwa ni pamoja na sala maarufu ya kumwomba Mungu hekima.
      • Sura ya 11–19 zinasimulia tena sehemu za historia ya Israeli (kama vile Kutoka) kupitia lenzi ya ulinzi wa hekima. [1, 2, 3]
    • Mada za Kitheolojia: Inachanganya hekima ya jadi ya Kiebrania na falsafa ya Kigiriki (Uplatoni wa Kati na Ustoiki) na inasisitiza sana kutokufa kwa roho. Inakubaliwa kama Maandiko Matakatifu katika mila za Wakatoliki wa Kirumi na Orthodox wa Mashariki, huku ikichukuliwa kama ya apokrifa/deuterokanoni na Waprotestanti na Wayahudi. [1, 2]

2. Agano la Sulemani
.
  • Maudhui ya Msingi:
    • Inaelezea kwa undani simulizi la hadithi kuhusu jinsi Mfalme Sulemani alivyojenga Hekalu la Kwanza huko Yerusalemu kwa kuamuru na kuwatiisha mapepo .
    • Kulingana na hadithi, malaika anampa Sulemani pete ya kichawi yenye pentagramu na muhuri wa Mungu.
    • Sulemani anatumia pete hiyo kukamata pepo—akianza na pepo Ornia, na hatimaye kumlazimisha Beelzebuli (mkuu wa pepo) na wengine kukata mawe, kutengeneza chokaa, na kufanya kazi ya ujenzi wa hekalu
 
Kwa hiyo waliamini amefunga kula mwaka mzima ? Mbona na kuna wenzako apa niliwaambia alisimama wakabisha ?
 
Kwa mujibu wa Koran malaika na majini yametokana na maji?
Bila ya shaka nilitegemea hili swali kwako

Malaika na majini wameumbwa kwa moto na nuru ila kiasili kila kitu chenye uhai asili yake ni maji sababu kabla ya kuumbwa kitu chochote cha kwanza kuumbwa kilikua maji

Kwahio hapo kwenye hayo maji ndio kilitokea kila unacho kijua wewe na usichokijua wewe maadam tu kina uhai

Mfano mtu katokana na maji akaja akatengeneza gari basi gari asili yake maji sababu alolitengeneza alitokana na maji

Hongera kwa kujitahidi ukiwahiwa unapona
 
Naona unaruka ruka kijana ila ndio kama maharage yakiwa yanaruka ruka yanaelekea kuiva

Matukio ya miaka 600 kabla yake yeye aliyajuaje na hakuwahi kufika misri na hakukua na tech kama hii ya leo

Pia akatupa habari za majambo yalokuja kugunduliwa miaka 1400 baada yake au pia alikua time traveller alikuja mwaka 2000 akachunguza yatakayokuja halafu akarudi

Juu kule nilikutolea qisa cha israa na miiraj s a w kutoka makka mpaka Palestine ndani ya usiku mmoja akatumia muda kadhaa na kurudi zake makka

Makafiri wenzenu wa makka walibisha kwa muda ule safari miezi miwili kwenda kwa siku moja na kurudi

Ila s a w alikua mbele ya muda leo unaweza kwenda Palestine kutokea marekani hata mara nne na kurudi bila wasi

S a w na Qur’an aloteremshiwa ni balaa jengine 🙌🏿🫡🙌🏿
 
Malaika na majini wameumbwa kwa moto na nuru ila kiasili kila kitu chenye uhai asili yake ni maji sababu kabla ya kuumbwa kitu chochote cha kwanza kuumbwa kilikua maji
Kati ya maji na kalamu ya Allah kipi Cha kwanza?

Moto asili yake ni maji?
 
Sasa mara kakopi mara kabadilisha mambo tushike lipi au alikopi bila ya kupest

Hayo unayoyasema ama kuyaona hayawezi kutokea ndio maana halisi ya miujiza

Miujiza ni jambo ambalo kwa akili ya kikawaida haliwezekani

Ila kwa uwezo wa Allah s w ni si lolote si chochote

Wewe hushangai wewe kukaa tumboni miezi tisa mpaka unakuja kuzaliwa🤷🏿‍♂️
 
Kati ya maji na kalamu ya Allah kipi Cha kwanza?

Moto asili yake ni maji?
Naona unaruka ruka kijana soma vyema maelezo yangu ya hapo juu utaelewa

Kabla ya kuumbwa kila kitu kulikua na maji na katika maji hapa ndio Allah akajaalia kila kitu kua hayyi ikiwemo hio kalamu unayoiulizia
 
Naona unaruka ruka kijana soma vyema maelezo yangu ya hapo juu utaelewa

Kabla ya kuumbwa kila kitu kulikua na maji na katika maji hapa ndio Allah akajaalia kila kitu kua hayyi ikiwemo hio kalamu unayoiulizia
Unasema Allah kaumba maji kabla ya kalamu yake ?
Na je Kati ya kiti chake na maji kipi kiliumbwa kwanza ?

Unaweza kuthibitisha moto umeumbwa kwa kutumia maji?
 
Kwa hiyo waliamini amefunga kula mwaka mzima ? Mbona na kuna wenzako apa niliwaambia alisimama wakabisha ?
Ndio maana yake kilipita kitambo..na ALLAH ni mjuzi zaidi maana muda aliokaa hautusaidii lolote ila mafundisho makubwa ni kuwa majini hawana uwezo wa kujua mambo yoyote yajayo au yaliyofichikana.

Wayahudi kipindi hicho walikuwa na imani kuwa majini walikuwa na uwezo wa kujua ghayb (unseen) ama mambo yajayo...hivyo hili tukio liliwafedhehesha mno.
 
Binadamu waliomzunguka Allah alikuwa anawajuza Nini ? Maana na wao wamekaa mwaka mzima mtu hali chakula na Wala haendi chooni na haongei
Watu gani walokua karibu yake 🤷🏿‍♂️🤷🏿‍♂️🤷🏿‍♂️
Suleiman a s alikua na majini na hakua na watu

Jini moja ya sifa yake yupo tofauti na mwanaadam
 
Watu gani walokua karibu yake 🤷🏿‍♂️🤷🏿‍♂️🤷🏿‍♂️
Suleiman a s alikua na majini na hakua na watu

Jini moja ya sifa yake yupo tofauti na mwanaadam
Kwa hiyo unasema hakuwa na wake , watoto, wafanyakazi au jeshi lake?
Unatuambia alikuwa anaishi na majini tu ?
 
Unasema Allah kaumba maji kabla ya kalamu yake ?
Na je Kati ya kiti chake na maji kipi kiliumbwa kwanza ?

Unaweza kuthibitisha moto umeumbwa kwa kutumia maji?
Kwanza umeelewa kuhusiana na hoja yake s w kuhusiana kila kitu kimetokana na maji

Angalizo asili ya kitu chochote kilicho hai ni maji

Huko kwengine ni yeye mwenyewe ndio mjuzi zaidi

Asili ya moto kua ni maji unatokana na kwamba unatengenezwa na mwaanadam ambae asili yake ni maji ila sio kama moto wenyewe umeumbwa kwa maji
 
sio miaka 600 ni zaidi ya 2600
 
Hawezi kua na mke sababu sio mwanamme na sio kiumbe

Ametakasika s w
Kwanini alisema hawezi kuwa nawana kwa sababu hana mke? Wakati anajijua hana jinsia

Kwa Nini hakusema Sina mtoto kwasababu Sina mume ?

Na kuna aya nyingine kasema akitaka mke atachukua malaika au huri, na unajua kabisa ma huri ni wanawake wenye macho makubwa na wapo kama jelly fish
Na ma huri ni Moja ya zawadi Allah atawapa wanaume waislamu.
 
mh....h umejuaje kama haiozi mkuu
 
Quran sio ya mtume Wala Hana hati miliki nayo na hawezi kusema ni yake.ndo maana hakujua kusoma Wala kuandika lakini amesimulia mambo yaliyopita
Huhitaji kujua kusoma na kuandika kusimulia hadithi za kidini zilizopita na kubumba mpya za kwako kutokana na hadithi zilizopita.
Hata hivyo kuna mjadala kuhusu kama kweli Muhammad alikuwa hajui kusoma na kuandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…