Muhammad El Wahad: What is behind Corona Virus is business and financial gains

Leta ushaidi ni genetic modified specie,vinginevyo ni porojo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli hata kidogo sikubaliani na point zako kbs!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka yote ya industrial revolution hakukuwahi kuwa na korona leo ndo uje kunambia hivi

Low thinking capacity

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Russia pia ni nchi ambayo inajitosheleza sana kwa rasimali na uzalishaji wa ndani,raia wake wengi wanasafiri zaidi Ulaya ambako ni wateja wao wakubwa wa gesi na mafuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
Russian Oligarchs ndio wameshikilia pesa ya Urusi, middle income wa Urusi wanasafiri lakini huwezi kulinganisha na wenzao wa US UK FRANCE au Germany.

Ukiangalia hii link utaona nani ameshika utajiri wa Russia.

Richest 3% Russians Hold 90% of Country’s Financial Assets – Study - The Moscow Times
 
Unataka kusema ni askari wa US tu ndio waliokuwepo huko Wuhan?

Chanzo kikuu ni ulaji wa popo mwenye virusi vingi vya Corona.

Mengine ni Propaganda tu.

Chanzo kikuu ni ulaji wa popo mwenye virusi vingi vya Corona.

Naomba reliable source ya hio taarifa.
 

Sasa kama hazitakiwi kabisa then kwanini zinatengenezwa?
 
Coronavirus cases, U.S.

New York: 2,914
Washington: 1,187
California: 690
New Jersey: 427
Florida: 327
Illinois: 288
Louisiana: 280
Massachusetts: 256
Colorado: 221
Georgia: 197
Pennsylvania: 133
Wisconsin: 114
Michigan: 110
Texas: 108
Tennessee: 100
Connecticut: 97

Always trust yr self.
 
Hawezi kupata picha hata kidogo kwa sababu hakuna facts zozote huko,ni kama vile kitabu cha riwaya ya kutunga.

Sent using Jamii Forums mobile app
.
You must be joking...unafkiria hizo ni habari za kutunga???...trump kaonekana live akipigana na foreign company Huawei ...kitu adimu sana duniani kwa serikali kupambana na kampuni zilizopo nchi zingne ...hapo lazma ujiulize kwanini....
Pili walipoanzisha Ile 5G ni Wuhan...ambapo ndipo first 5G testing bed.....halafu jiulize kwanini covid-19 ilianzia hapo hapo katika hilo jiji la wuhan...
Italy walikua washaanza ku install 5G katika mikoa Yao ya kaskazini kama Milan..ukifuatilia pia corona imepiga sana kaskazini ya Italy na ndo ilikoanzia pia...soo hii 5G ndio cha kwanza kinachopigwa vita hapa pamoja na walioitengeneza iyo network..
Ikumbukwe Nuclear war ikitokea Leo usifkirie itakua imesheheni mabomu kama yaliyopigwa Japan tuu,Bali vita kubwa itakayotokea itarindima kwa kurushiana magonjwa ya ajabu duniani...
Kuna kitu kinaitwa mind programming...ukiangalia zile movie za mazombie huoni kama ndio tulikua tunaanzaliwa kisaikolojia kupambana na magonjwa sugu yatayoadhiri watu wengi???.
Think outside the box mkuu
 
Wala nguruwe msijifariji. Kuna uwezekano huyo.mdudu wa nguruwe. Biblia inakataza, Yesu aliwaangamiza nguruwe, Qur'an imekataza, nyie mnaojidai ujanja kufakamia nguruwe mmelikoroga sasa mlinywe.
 
Wala nguruwe msijifariji. Kuna uwezekano huyo.mdudu wa nguruwe. Biblia inakataza, Yesu aliwaangamiza nguruwe, Qur'an imekataza, nyie mnaojidai ujanja kufakamia nguruwe mmelikoroga sasa mlinywe.
Hlo ni agano la kale agano jipya kila mnyama alipewa kibali kuliwa

Nguruwe mtamu aisee wacha kabisa
 
Watu wa hii dini siku zote wanapingana na sayansi na wanaamini kila kitu kinatengenezwa marekani dhidi yao
 
Lakini kweli inakuaje corona ishindwe kuwazingua wahindi na warusi ambao wamepakana na wana maingiliano makubwa na china
 
Kauli ya "mchumia janga hula na wakwao" ndipo inapofanya kazi usishangae maafa kwa US yakawa Makubwa kuliko kwa China.
Binafsi waafrika tunamwitaji Mchina zaidi kuliko USA. Vitu vinavyotumika Africa 80% is from China

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…